Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
si lazima. Misri kwa mfano, makampuni makubwa yanayoilisha nchi na kuuingiza kipato cha maana ni makapuni ya jeshi. tatizo kubwa kwa tz ni ccm na sera zake za kipuuzi za kulindana na kuvimbisha matumbo yao tuTuna safari ndefu sana na ili tufike pale juu basi privatization ya maana inabidi ifanyike
Kwahiyo hii nchi wakipewa CHADEMA itakuwa mukide?si lazima. Misri kwa mfano, makampuni makubwa yanayoilisha nchi na kuuingiza kipato cha maana ni makapuni ya jeshi. tatizo kubwa kwa tz ni ccm na sera zake za kipuuzi za kulindana na kuvimbisha matumbo yao tu
inategemea na sera watakazokuja nazo. kupewa si issue, issue ni mikakati. uwe unawaza hilo kwanza kabla ya kuwaza kichukichukiKwahiyo hii nchi wakipewa CHADEMA itakuwa mukide?
Hilo ni jeshi la misri.si lazima. Misri kwa mfano, makampuni makubwa yanayoilisha nchi na kuuingiza kipato cha maana ni makapuni ya jeshi. tatizo kubwa kwa tz ni ccm na sera zake za kipuuzi za kulindana na kuvimbisha matumbo yao tu
maswali yako yote umejijibu wewe mwenyewe katika mstari wa nne. kwamba jeshini kuna pesa ya kutosha (neema kama ulivyoiita), kwa nini sasa jeshi lisijikite katika uzalishaji mali? limekalia kuajiri na kupandishana vyeo tuHilo ni jeshi la misri.
How about jeshi la TZ.
Je ni kiasi gani cha fedha unachojua JWTZ wanachukua kama bajeti.
Kwanini waTZ wanaona jeshini kwa sasa ni kama neema na ukifanikiwa kuingia tu umeula wewe na ukoo wako.
Ukijibu maswali hayo basi utanielewa kwanini nimesema privatization ya hali ya juu.
Jeshini pesa ipo ila unajua kazi yake.maswali yako yote umejijibu wewe mwenyewe katika mstari wa nne. kwamba jeshini kuna pesa ya kutosha (neema kama ulivyoiita), kwa nini sasa jeshi lisijikite katika uzalishaji mali? limekalia kuajiri na kupandishana vyeo tu
Ni kweli kabisa. Miradi ya kimkakati kama ule wa bandari tuwape vijana wa JKT. Hizo automated cranes na mifumo ya tehama inunuliwe na kufungwa na JWTZ. Tasisi ambazo zina poor performance ziendeshwe kijeshi jeshi.si lazima. Misri kwa mfano, makampuni makubwa yanayoilisha nchi na kuuingiza kipato cha maana ni makapuni ya jeshi. tatizo kubwa kwa tz ni ccm na sera zake za kipuuzi za kulindana na kuvimbisha matumbo yao tu
Currency haiusiani na uchumiUna uhakika na ulichoandika?
Nigeria thamani ya sarafu yake imeshuka kwa zaidi ya asilimi 50 kutoka 6.0-3.0 kwa Mabadilisho na Tsh
Hii habari imenisisimua sana. Kipindi cha Samia ndo tunaanza kuona wawekezaji wa Tanzania wakienda kuwekeza kwenye sekta kubwa za uzalishaji kwenye mataifa ya Nje.Ni kazi tuu
Uchumi wa Egypt unakua Kwa Kasi na uko mbioni Kupata wa Nigeria Ndio maana unaona IMF wameziweka at par.False information.
Nigeria na Egypt hazina gdp sawa. Nigeria ina gdp kubwa kuliko Egypt
Gdp ya tz ni more than 80 billion usd
Hii ndio yenyewe sababu tumewaamini kama wazalendo namba mojaNi kweli kabisa. Miradi ya kimkakati kama ule wa bandari tuwape vijana wa JKT. Hizo automated cranes na mifumo ya tehama inunuliwe na kufungwa na JWTZ. Tasisi ambazo zina poor performance ziendeshwe kijeshi jeshi.