Nchi zenye uchumi imara Africa 2023

 

Attachments

  • 7C1F0590-5250-4032-B1BF-E0AD792FDD17.jpeg
    47.7 KB · Views: 7
tulipofika ni bora kuindoa tu, tutajua mbele kwa mbele. Mungu atatusaidia kupata watu sahihi. Wapo watu sahihi hata ndani ya ccm hiyo hiyo tatizo wamevaa koti lililotapakaa mavi (ccm)
 
tulipofika ni bora kuindoa tu, tutajua mbele kwa mbele. Mungu atatusaidia kupata watu sahihi. Wapo watu sahihi hata ndani ya ccm hiyo hiyo tatizo wamevaa koti lililotapakaa mavi (ccm)
Of course na ccm haitokuja angushwa na wapinzani bali ccm wenyewe na kuna watu wamechoka kuona yanayotendeka na ccm na wako ndani yake.
Sema muda utaongea.
 
Lazima uwe mjinga kweli kulishangilia hili.

Hujiulizi kwa nini South Africa yenye watu takribani 50 milioni ina GDP zaidi ya dola bilioni 400. Kenya yenye population ya takribani 50 million ina GDP ya karibia dola 120 bilioni, halafu sisi ambao ni zaidi ya milioni 60 tuna GDP dola bilioni 75. Halafu punguani wanashangilia.

Bila kufahamu kuwa hizo nchi nyingine tunazodhani tumezipita ni pamoja na nchi ndogo zenye watu wachache sana kama Burundi, Rwanda, Equatorial Guenea, Botswana, Namibia, ambazo kimsingi zipo juu sana kwenye utajiri halisi, yaani human development.

Ni sawa na jitu liwe na wake 10, watoto 60, halafu kwa mwaka, wote kwa pamoja wanapata milioni 20, halafu linaamini limempita mwenzake mwenye mke mmoja na watoto 3, lakini wamepata milioni 15.
 
Wewe siku zote ni mpumbavu na wile wivu na chuki vinakusumbua basi ndio utakufa hivyo hivyo na upumbavu wako..

Samia Katia Nchi kwenye GDP ya $70bln miaka yoote ya Mwendazake ndani ya miaka 2 tuu uchumi umepata na kufikia bil.75 na Mwaka huu wa 2023 tutaenda kwenye 80 plus bln yet unataka tusifurahie Mafanikio,utakuwa una utaahira bila shaka..

Kwa taarifa Yako tuu Samia is here Hadi 2030 na atafanya wonders zaidi ya hizi.
 
Chumi hizi zinapimwaJe ?!
Ikiwa Ghana anazidiwa madeni na Ethiopia wananchi wake wanaikimbia kuhofia umasikini uliotamalaki !!.

Naomba kuelimishwa
 
Chumi hizi zinapimwaJe ?!
Ikiwa Ghana anazidiwa madeni na Ethiopia wananchi wake wanaikimbia kuhofia umasikini uliotamalaki !!.

Naomba kuelimishwa
GDP= thamani ya biashara, uzalishaji na Huduma zilizofanyika ndani ya mwaka husika zikibadilishwa Kwa Fedha bila kusahau uwekezaji wa Serikali.

Madeni sio sehemu ya hesabu Kwa sababu treatment ya Madeni ya Nchi ni tofauti na Madeni ya biashara au mtu.

Kumkimbia Nchi Kwa watu manake hicho kinachozalishwa hakiwatoshelezi hata kama wewe unaona ni kikubwa.
 
Nchi 10 zenye pato la juu Africa Kwa kila mtu ( per capita) ni:
Seychelles. $14,540
Mauritius. $9,920
Libya. $8,700
S.Africa. $6,530
Gabon. $6,440
Botswana. $6,430
Equt.Guinea. $5,150
Namibia. $4,650
Mbunge mmoja wa Uingereza aliwahi kusema " There are lies, damned lies, and statistics"
Kuchezea takwimu ni nyenzo moja ya propaganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…