Nchi zenye uchumi imara Africa 2023

 
si lazima. Misri kwa mfano, makampuni makubwa yanayoilisha nchi na kuuingiza kipato cha maana ni makapuni ya jeshi. tatizo kubwa kwa tz ni ccm na sera zake za kipuuzi za kulindana na kuvimbisha matumbo yao tu
Sera hatari ni sera za ujamaa ambazo ndio mindset za watu wengi hapa Tanzania matokeo yake ni umaskini uliotopea.

Fikra hizo ndizo zinaleta shida kwenye bandari Kwa sababu kanuni ya biashara ni toa nitoe.
 
JPM alizivunja kwa sababu tulikuwa tunaliwa. Ni afadhali kulipa hizo gharama za kuivunja kuliko kuendelea kuliwa.
Unaliwaje acha ujinga wako wewe mjamaa..

Yule mjamaa na Uchumi wapi na wapi zaidi ya propaganda na vitisho?

Ona kazi nzuri hii ya Rais Samia ambayo ilimshinda Mwendazake wako
 
TUSHUKURU SANA MUNGU,ANGEKUWEPO HAYATI MAGUFULI TUNGEKUWA WA 35 AFRICA,HAKIKA MUNGU NI MWEMA NA TAIFA LINASONGA MBELE,NAAMINI BAADA YA MIAKA 3,TANZANIA ITAKUWA KWENYE TOP 5.
 
Uchumi mkubwa sio uchumi imara.
 
Unaliwaje acha ujinga wako wewe mjamaa..

Yule mjamaa na Uchumi wapi na wapi zaidi ya propaganda na vitisho?

Ona kazi nzuri hii ya Rais Samia ambayo ilimshinda Mwendazake wako
View attachment 2698655View attachment 2698656
Sasa hivyo vinalingana na Fly over ya pale Ubungo, tanzanite bridge ya salender, stendi ya bus ya pale Mbezi, njia ya barabara kumi kimara hadi kibaha? Achilia mbali SGR ya umeme, JNHPP na kadhalika.
 
Sasa hivyo vinalingana na Fly over ya pale Ubungo, tanzanite bridge ya salender, stendi ya bus ya pale Mbezi, njia ya barabara kumi kimara hadi kibaha? Achilia mbali SGR ya umeme, JNHPP na kadhalika.
Unajua gharama ya huo mradi au ukisikia neno flyover unachanganyikiwa?

Flyover zimeanza na JK kule Kurasini ,shida ni ushamba unakusumbua.
 
Kwa hio tumeizidi hadi Libya na Tunisia!!! Sasa najiuliza kweli Maisha yetu kuanzia kula yetu, elimu, matibabu nk tumewazidi Tunisia na Libya
GDP haipimi welfare Bali Ukubwa wa Uchumi wa Nchi husika.Welfare Iko determined na HDI ambayo inatumia per Capita income against population.

Sasa Kwa kigezo hicho hatujawazidi Kwa sababu idadi yetu ni kubwa kuliko tunachozalisha,kiufupi tunahitaji walau tungekuwa na GDP size ya kuanzia Dola Bilioni 200 huko na idadi ya watu wasio zaidi ya mil.60 tungesema tumewazidi Kila kitu.

Kuzaa kuendane na uzalishaji
 
Kwamba Nigeria inaizidi SA...Hawa wachumi hawa.Hatuskii watu wakizamia kwenda Nigeria au Egypt kutafuta fursa za maisha na biashara..lkn kutwa kuchwa tunaona wanigeria na waafrika wengine wanamiminika SA...Viwanda pia SA kina mtu anajua jinsi walivyo na nini wanafanya...miji yao inatoa taswira ya maendeleo ya kiuchumi waliyonayo.

Hawa Nigeria na Egypt wana nini cha ziada??
 
GDP/Population ndio inaamua hayo malalamiko Yako
 
Nigeria hawana fursa nyingi kwasababu ya overpopulation, Ila mafuta ya waingizia kipato kikubwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…