Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k
Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja ya bara masikini zaidi duniani. Sasa najiuliza hivi waafrika tunajitambua?
Sie ni maskini Sana, tuna malighafi, dhahabu, chuma,mafuta, nk, Ila kuvifanya viwe pesa kutusaidia kutengeneza ajira, elimu Bora, Arya, hatuwezi, na kikubwa tunaviongozi waliooza u bongo, wao wanawaza kuiba tu, wakimiriki ma V8,na watoto wao wakajenga ma hotel, manyumba, nk, wanaona nchi imeendelea,
Uchumi wetudhaifu, hatuna viwanda, hatutengenezi magari, , simu, ndege, me like, engine, tv, hata sukari ya kutosha hatuwezi,
Mchina kufika hapo alipo, super power, alifanya hv, anakaribisha kampuni ya nje kama Ford, au BMW, anaweka Sera nzuri ili hayo makampuni yazalishe ndani ya china, anaingia ubia nayo,anaiba tekinolojia, akiipata tu, ama anataifisha hivyo viwanda, au anaweka mashariti magumu, ndani ya muda anaanza kutengeneza mwenyewe hizo bidhaa,ndivyo alivyoweza kutengeneza, Airbus, train za mwendo kasi, simu, nk
Sie hata kuiga jinsi mchina anavyotengeneza njia za mwendo kasi hatuwezi, tu najua, kuiga kutikisa makalio huko TikTok, na insta,