kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Ndio maana nawaambia muwe basi mnasoma kidogo. Urusi ana kampuni za kutosha hapo congo kila siku zinasafirisha madini pamoja na hao unaowaona wezi wamagharibi. China nae yupo muarabu hasa Qatar ndio mnunuzi mkuu wa madini anayoiba kagame hapo congo. Urusi ana jeshi central afrika kusaidia kupigana lakin wamepewa migodi ya kutosha huko western afrika ndio usiseme. Hata hiyo vita hapo Sudan yupo. Kwa ujumla ni kuwa ni kuwa waafrika wanatakiwa kujua masikin hana mshikaji na tajiri wana tabia moja ni kunyonya tu. So ni wewe na mimi kupigana kutoka hapa tulipo hatuna mjomba anaetujali zaid yakoUrusi ana makampuni gani ya kigeni aliyowekeza hapa Tanzania?