Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

Urusi ana makampuni gani ya kigeni aliyowekeza hapa Tanzania?
Ndio maana nawaambia muwe basi mnasoma kidogo. Urusi ana kampuni za kutosha hapo congo kila siku zinasafirisha madini pamoja na hao unaowaona wezi wamagharibi. China nae yupo muarabu hasa Qatar ndio mnunuzi mkuu wa madini anayoiba kagame hapo congo. Urusi ana jeshi central afrika kusaidia kupigana lakin wamepewa migodi ya kutosha huko western afrika ndio usiseme. Hata hiyo vita hapo Sudan yupo. Kwa ujumla ni kuwa ni kuwa waafrika wanatakiwa kujua masikin hana mshikaji na tajiri wana tabia moja ni kunyonya tu. So ni wewe na mimi kupigana kutoka hapa tulipo hatuna mjomba anaetujali zaid yako
 
Ukiisha dhalilishwa kwa miaka nenda miaka rudi basi haya ndio madhara yake
Waafrika wengi wwmekubali hilo na kuwa kama vilema wa akili na atakae taka mabadiliko wanatumiwa hao hao ndugu zake kummaliza

Tangu utumwa bado akili hazijakaa sawa na kila leo wana mbinu mpya na viongozi wanafurahia
Maraisi wanaenda kukopa na zingine wanabaki nazo, hapo unategemea maendeleo gani

Watoto weusi walitumika kuwa kama chambo kwa kunasa Mamba miaka ya nyuma huko America ili watumie ngozi kwa ajili ya viatu, makoti na hata mikanda na ilikuwa biashara kubwa sana enzi hizo
Screenshot_20241002_184538_Instagram~2.png
 
Baki na madini yako.. kwani wanachukua bure? And walaumu waliowapa vibali
 
Kwahiyo Uchina na Russia umezitenga kwasababu gani?
Na siyo rasilimali tu hata mifumo ya kibiashara za kimataifa, mikopo kutoka World Bank na IMF vyote hivyo ni tools za umasikini kwa nchi za Africa
 
Stori za vingunguti na mburahati madoto. Mkishashiba ugali wa sembe na kisamvu
 
Hoja kamahizi huwa natamani hapa tunge kuwa na marais,makamu marais,mawaziri wote mabalozi wa wote ,na sisi wananchi tuanze kuwatwanga maswali ju ya mwenendo wa namna wanavyo lijenga bala letu la Africa.

Inafaa sasa tuanze kutengeneza mfumo wa mawasiliano ya Moja kwa moja na viongozi wetu hao. Inaweza kuwa kwa njia ya whatsapp groups ,Telegram, nk.

Haiwezekani mwananchi na mpiga kura kumpata kiongozi wake iwe kama wanaishi mbinguni na wengine duniani.
 
Back
Top Bottom