Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Unataka ushahidi kuhusu nini nikuwekee mkuu?Uba ushahidi ulio dhahiri mkuu au propaganda tu
Na siyo rasilimali tu hata mifumo ya kibiashara za kimataifa, mikopo kutoka World Bank na IMF vyote hivyo ni tools za umasikini kwa nchi za AfricaUba ushahidi ulio dhahiri mkuu au propaganda tu
Waafrica hawana akili ni useless human beings hapa duniani na hata wakifa waende tuu moto mbinguni wataharibuKuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k
Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja ya bara masikini zaidi duniani. Sasa najiuliza hivi waafrika tunajitambua?
Mkuu vp umefufuka?Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k
Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja ya bara masikini zaidi duniani. Sasa najiuliza hivi waafrika tunajitambua?
We hupendi kulamba asaliUnataka ushahidi kuhusu nini nikuwekee mkuu?
Unajua vieeetiiii weweNi economic warfare tu hiyo, mataifa yaliyoendelea kama hayaruhusu maskini kujitegemea maana chukulia mfano Afrika ijitegemee Kwa Kila kitu Hali ya maisha ulaya na america pamoja na china utashuka vibaya mno na upepo utahamia kwetu na influx itakuwa kubwa afrika, na huwa wanakwambia waafrika wapumbavu sana yaani wanajitoa kwenye lawama na kutengeneza mazingira ya wao hawahusiki na chochote kuhusu umaskini wetu...ni jukumu la serikali za afrika kutambua na kuweka mipango kazi namna wanaweza kutuvusha, sema Sasa bahati mbaya ni kwamba hatupo hata kufikiri kuhusu kuwa na vitu vyetu zaidi ya kutokujiamini, ubinafsi, unafiki, kujikweza ndiyo tabia zetu.
Unajua vieeetiiii weweViongozi wetu hawana akili.
Viongozi wetu ndo wanaingia mikataba mibovu kama hawana akili Hadi unajiuliza huyu ni kiongozi au ni kengeKuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k
Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja ya bara masikini zaidi duniani. Sasa najiuliza hivi waafrika tunajitambua?
Sie ni maskini Sana, tuna malighafi, dhahabu, chuma,mafuta, nk, Ila kuvifanya viwe pesa kutusaidia kutengeneza ajira, elimu Bora, Arya, hatuwezi, na kikubwa tunaviongozi waliooza u bongo, wao wanawaza kuiba tu, wakimiriki ma V8,na watoto wao wakajenga ma hotel, manyumba, nk, wanaona nchi imeendelea,Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k
Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja ya bara masikini zaidi duniani. Sasa najiuliza hivi waafrika tunajitambua?
Waarabu wao na viongozi wao wamewezaje kufaidika na rasilimali zao?Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k
Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja ya bara masikini zaidi duniani. Sasa najiuliza hivi waafrika tunajitambua?
Akili mtu wanguWaarabu wao na viongozi wao wamewezaje kufaidika na rasilimali zao?
Je Waafrika tatizo letu ni kipi?
Umaskini wetu upo kichwani sio zaidi ya hapo.Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k
Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja ya bara masikini zaidi duniani. Sasa najiuliza hivi waafrika tunajitambua?
Ni rasilimali ipi yako, ya mzazi wako, au ya ukoo wenu imechukuliwa na nchi ya Ulaya? Acheni kulishwa pumba ninyi. Changamoto #1 ambayo Afrika inayo ni udumavu wa akili!Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k
Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja ya bara masikini zaidi duniani. Sasa najiuliza hivi waafrika tunajitambua?