EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Acha kuzungukazunguka sema tu unayetaka kumpa kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ili kutoa fursa kwa wachangiaji kutoa maoni yaoHalafu mods inakuwaje huu uzi mmeu-pin?
Unforgetable
HOJA ZA JENGO HAZINA MAANA SANA KWA UCHUMI WETU.....KAMA WAMEWEZA KUWA NA MTANDAO KILA KIJIJI NA OFISI NI BORA KULIKO WANGEKUA NA GHOROFA LA KIFAHARI
HATA TANU JENGO LAO LA MAKAO MAKUU HADI MIAKA YA SABINI LILIKUWA KAMA HILI TU TENA LA UDONGO ULIONAKISHIWA NA CEMENT CHIPPING .....
Umenena vyema mkuu, annual increment ilikuwa kila mwezi. Alafu mtoa hoja ajue kwa wenzetu huduma za kijamii ziko chini, umeme na maji bei ndogo. Afya ni bima tu, mikopo hadi asilimia 0. Vitu vingi kuanzia simu hadi magari ni mikopo tena nchi zao nyingi riba za asilimia 0-3.sio nchi zilivyoendelea...tu rais kikwete alifanya hivyo(alikuwa akiongeza mishahara) kwa miaka yote alipokuwa madarakani
Hatuwezi kuwaamini watu wa hovyo kama hao. Ofisi hata ya milioni 30 wanashindwa. Hawana anuani hao. Tutwapata wapi sasa ? Kwenye mtandao?
Kwa kweli hawa jamaa wanatia aibu sana..Hata Jengo tu kwa Miaka yote hawana wanababaisha tu eti wanajipa Moyo eti Ofisi zao ziko moyoni mwao sasa Kikao mnakaa wapi?? Kanyumba hako aliwaachia MteiTanzania sio masikini. Kama Chadema tu wamekuwa wanapata ruzuku ya millioni 330 na ushee kwa mwezi na kushindwa kujenga hata kakibanda kazuri tu ka ofisi utamlaumu nani kama sio mlevi wa konyagi.
Cement nimenunua juzi kahama ina range 21000 au 22000Kumbe cement ni 22000 mkuu upo nchi gani? Mbona dodoma zinaanzia 14000 hadi 16500 au kwa7by tupo kati
Nchi masikini zenye uchumi unaoyumba (unstable economy) na mfumuko mkubwa wa bei (high inflation rate), hulazimika kila mwaka kuongeza mishahara ya watumishi wake ili kujaribu kukabiliana na mfumuko wa bei. Ongezeko hilo la mishahara kwa kawaida huwa ni kiduchu lakini matokeo yake huwa ni kusababisha ongezeko zaidi ya mfumuko wa bei ya bidhaa muhimu. Yaani ni vicious circle.
Kipindi cha miaka 5 iliyopita tumeshuhudia mfumuko wa bei ya bidhaa muhimu kuteremka sana na ku stabilize. Uko chini ya asilimia 3! Hivyo thamani ya hela yetu ilivyokuwa mwaka 2015 iko pale pale hadi sasa. Kwa mfano bidhaa nyingi muhimu zilizokuwa zinauzwa shs elfu kumi mwaka 2015 mpaka sasa inauzwa kwa bei hiyo hiyo au chini ya hiyo.
Siyo kweli kwamba promotions na annual increments za watumishi wa umma waliokizi sifa hawakupewa promotions na annual increments hizo ispokuwa kwa kwenye kipindi hicho kifupi cha uhakiki wa watumishi hewa na watumishi feki. Katika kipindi hiki cha miaka 5 zaidi ya watumishi zaidi ya laki tatu (ie zaidi ya 50% ya watumishi wote) walipata promotions zao baada ya kukidhi masharti yake. PAYE yao imepunguzwa nk. Kodi za kupanga nyumba nk hazipandi kila mwaka kama ilivyokuwa huko nyuma, badala yake zimepungua. Watumishi wa umma sasa hivi ni highly paid ukilinganisha na wengi walio kwenye private sector.
Huko tulikotoka private sector ndiyo ilikuwa inalipa zaidi. Ndiyo maana utumishi wa umma umetulia, hakuna migomo migomo tena kama tunazoziona kwenye nchi za majirani kwetu. Na serikali imeahidi kuendelea kuboresha mishahara yao kuendana na ukuaji wa uchumi wa nchi bila kusababisha mfumuko wa bei. Ndivyo zilivyofanya na zinavyofanya nchi zilizoendelea kama ulaya, marekani na uchina. Mambo haya ni ya kitaalamu. Si ya kimuhemuko wa kisiasa.
Hamna kitu hapaNchi masikini zenye uchumi unaoyumba (unstable economy) na mfumuko mkubwa wa bei (high inflation rate), hulazimika kila mwaka kuongeza mishahara ya watumishi wake ili kujaribu kukabiliana na mfumuko wa bei. Ongezeko hilo la mishahara kwa kawaida huwa ni kiduchu lakini matokeo yake huwa ni kusababisha ongezeko zaidi ya mfumuko wa bei ya bidhaa muhimu. Yaani ni vicious circle.
Kipindi cha miaka 5 iliyopita tumeshuhudia mfumuko wa bei ya bidhaa muhimu kuteremka sana na ku stabilize. Uko chini ya asilimia 3! Hivyo thamani ya hela yetu ilivyokuwa mwaka 2015 iko pale pale hadi sasa. Kwa mfano bidhaa nyingi muhimu zilizokuwa zinauzwa shs elfu kumi mwaka 2015 mpaka sasa inauzwa kwa bei hiyo hiyo au chini ya hiyo.
Siyo kweli kwamba promotions na annual increments za watumishi wa umma waliokizi sifa hawakupewa promotions na annual increments hizo ispokuwa kwa kwenye kipindi hicho kifupi cha uhakiki wa watumishi hewa na watumishi feki. Katika kipindi hiki cha miaka 5 zaidi ya watumishi zaidi ya laki tatu (ie zaidi ya 50% ya watumishi wote) walipata promotions zao baada ya kukidhi masharti yake. PAYE yao imepunguzwa nk. Kodi za kupanga nyumba nk hazipandi kila mwaka kama ilivyokuwa huko nyuma, badala yake zimepungua. Watumishi wa umma sasa hivi ni highly paid ukilinganisha na wengi walio kwenye private sector.
Huko tulikotoka private sector ndiyo ilikuwa inalipa zaidi. Ndiyo maana utumishi wa umma umetulia, hakuna migomo migomo tena kama tunazoziona kwenye nchi za majirani kwetu. Na serikali imeahidi kuendelea kuboresha mishahara yao kuendana na ukuaji wa uchumi wa nchi bila kusababisha mfumuko wa bei. Ndivyo zilivyofanya na zinavyofanya nchi zilizoendelea kama ulaya, marekani na uchina. Mambo haya ni ya kitaalamu. Si ya kimuhemuko wa kisiasa.
TUNAMPAJE KURA MTU ANAINGILIA UHURU WETU WA KUWASILIANA.......SASA TUNATEELEZA TU NA VPN ZETU .....MTAJUA HAMJUI ........TUNATUMIA INTERNET ZA SPACE .....
SAMBAZENI UPENDO
Mkuu kama unakula pesa peke yako basi uwe unanawa mikono basi. Huwezi kuendelea namna hiyo na ulevi wa konyagi then unalaumu watu wengine kwa starehe zako. natanguliza rambi rambi maana mtondogoo tunakwenda kufanya kazi ya uhakika na kuwafundisha adabu mafedhuli ambao mmekuwa mnawaatamia.HOJA ZA JENGO HAZINA MAANA SANA KWA UCHUMI WETU.....KAMA WAMEWEZA KUWA NA MTANDAO KILA KIJIJI NA OFISI NI BORA KULIKO WANGEKUA NA GHOROFA LA KIFAHARI
HATA TANU JENGO LAO LA MAKAO MAKUU HADI MIAKA YA SABINI LILIKUWA KAMA HILI TU TENA LA UDONGO ULIONAKISHIWA NA CEMENT CHIPPING .....
Mkuu kama unakula pesa peke yako basi uwe unanawa mikono basi. Huwezi kuendelea namna hiyo na ulevi wa konyagi then unalaumu watu wengine kwa starehe zako. natanguliza rambi rambi maana mtondogoo tunakwenda kufanya kazi ya uhakika na kuwafundisha adabu mafedhuli ambao mmekuwa mnawaatamia.