Nchi zilizoendelea kama za Ulaya, Marekani na China huwa zinaongeza mishahara ya watumishi wa umma kila mwaka?

Nchi zilizoendelea kama za Ulaya, Marekani na China huwa zinaongeza mishahara ya watumishi wa umma kila mwaka?

Kuna mdaa tuache kuangalia nchi za wenzetu na sisi kwakuwa kuna tofauti kubwa kiukweli bidhaa muhimu kama sukari, mafuta, mchele bei yake kuna kipindi huongezeka kuliko mategemeo iyo ni kielelezo kuwa bado atujafika uko unaposema wewe.
 
HOJA ZA JENGO HAZINA MAANA SANA KWA UCHUMI WETU.....KAMA WAMEWEZA KUWA NA MTANDAO KILA KIJIJI NA OFISI NI BORA KULIKO WANGEKUA NA GHOROFA LA KIFAHARI
HATA TANU JENGO LAO LA MAKAO MAKUU HADI MIAKA YA SABINI LILIKUWA KAMA HILI TU TENA LA UDONGO ULIONAKISHIWA NA CEMENT CHIPPING .....

Hatuwezi kuwaamini watu wa hovyo kama hao. Ofisi hata ya milioni 30 wanashindwa. Hawana anuani hao. Tutwapata wapi sasa ? Kwenye mtandao?
 
sio nchi zilivyoendelea...tu rais kikwete alifanya hivyo(alikuwa akiongeza mishahara) kwa miaka yote alipokuwa madarakani
Umenena vyema mkuu, annual increment ilikuwa kila mwezi. Alafu mtoa hoja ajue kwa wenzetu huduma za kijamii ziko chini, umeme na maji bei ndogo. Afya ni bima tu, mikopo hadi asilimia 0. Vitu vingi kuanzia simu hadi magari ni mikopo tena nchi zao nyingi riba za asilimia 0-3.
 
Hatuwezi kuwaamini watu wa hovyo kama hao. Ofisi hata ya milioni 30 wanashindwa. Hawana anuani hao. Tutwapata wapi sasa ? Kwenye mtandao?

Adjustments.jpg
 
Tanzania sio masikini. Kama Chadema tu wamekuwa wanapata ruzuku ya millioni 330 na ushee kwa mwezi na kushindwa kujenga hata kakibanda kazuri tu ka ofisi utamlaumu nani kama sio mlevi wa konyagi.

View attachment 1612986
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kwa kweli hawa jamaa wanatia aibu sana..Hata Jengo tu kwa Miaka yote hawana wanababaisha tu eti wanajipa Moyo eti Ofisi zao ziko moyoni mwao sasa Kikao mnakaa wapi?? Kanyumba hako aliwaachia Mtei
 
TUNAMPAJE KURA MTU ANAINGILIA UHURU WETU WA KUWASILIANA.......SASA TUNATEELEZA TU NA VPN ZETU .....MTAJUA HAMJUI ........TUNATUMIA INTERNET ZA SPACE .....
SAMBAZENI UPENDO
 
Nchi masikini zenye uchumi unaoyumba (unstable economy) na mfumuko mkubwa wa bei (high inflation rate), hulazimika kila mwaka kuongeza mishahara ya watumishi wake ili kujaribu kukabiliana na mfumuko wa bei. Ongezeko hilo la mishahara kwa kawaida huwa ni kiduchu lakini matokeo yake huwa ni kusababisha ongezeko zaidi ya mfumuko wa bei ya bidhaa muhimu. Yaani ni vicious circle.

Kipindi cha miaka 5 iliyopita tumeshuhudia mfumuko wa bei ya bidhaa muhimu kuteremka sana na ku stabilize. Uko chini ya asilimia 3! Hivyo thamani ya hela yetu ilivyokuwa mwaka 2015 iko pale pale hadi sasa. Kwa mfano bidhaa nyingi muhimu zilizokuwa zinauzwa shs elfu kumi mwaka 2015 mpaka sasa inauzwa kwa bei hiyo hiyo au chini ya hiyo.

Siyo kweli kwamba promotions na annual increments za watumishi wa umma waliokizi sifa hawakupewa promotions na annual increments hizo ispokuwa kwa kwenye kipindi hicho kifupi cha uhakiki wa watumishi hewa na watumishi feki. Katika kipindi hiki cha miaka 5 zaidi ya watumishi zaidi ya laki tatu (ie zaidi ya 50% ya watumishi wote) walipata promotions zao baada ya kukidhi masharti yake. PAYE yao imepunguzwa nk. Kodi za kupanga nyumba nk hazipandi kila mwaka kama ilivyokuwa huko nyuma, badala yake zimepungua. Watumishi wa umma sasa hivi ni highly paid ukilinganisha na wengi walio kwenye private sector.

Huko tulikotoka private sector ndiyo ilikuwa inalipa zaidi. Ndiyo maana utumishi wa umma umetulia, hakuna migomo migomo tena kama tunazoziona kwenye nchi za majirani kwetu. Na serikali imeahidi kuendelea kuboresha mishahara yao kuendana na ukuaji wa uchumi wa nchi bila kusababisha mfumuko wa bei. Ndivyo zilivyofanya na zinavyofanya nchi zilizoendelea kama ulaya, marekani na uchina. Mambo haya ni ya kitaalamu. Si ya kimuhemuko wa kisiasa.

Acha propaganda we kada kwann awamu hii ndo hakuna nyongeza,jibu ni kwamba wamekomolewa watumishi kisa eti walimpigia kura Lowasa.Unaposema pesa zipo za kutosha na ukashindwa nyongeza za mishahara ambao ni takwa la kikatiba na sio ombi.
Nyongeza za mishahara uchangia ukuaji wa uchumi kwa sababu mishahara itaingia kwenye mzunguko wa uchumi zitaenda kwa wafanyabiashara nao watapata faida na kumudu kulipa Kodi na kupanua biashara kadri biashara zinavyopanuka ndivyo ajira na kodi uongezeka.Haya mambo yanataka aliyesoma uchumi na sio kemia kuyaelewa haya
 
Nchi masikini zenye uchumi unaoyumba (unstable economy) na mfumuko mkubwa wa bei (high inflation rate), hulazimika kila mwaka kuongeza mishahara ya watumishi wake ili kujaribu kukabiliana na mfumuko wa bei. Ongezeko hilo la mishahara kwa kawaida huwa ni kiduchu lakini matokeo yake huwa ni kusababisha ongezeko zaidi ya mfumuko wa bei ya bidhaa muhimu. Yaani ni vicious circle.

Kipindi cha miaka 5 iliyopita tumeshuhudia mfumuko wa bei ya bidhaa muhimu kuteremka sana na ku stabilize. Uko chini ya asilimia 3! Hivyo thamani ya hela yetu ilivyokuwa mwaka 2015 iko pale pale hadi sasa. Kwa mfano bidhaa nyingi muhimu zilizokuwa zinauzwa shs elfu kumi mwaka 2015 mpaka sasa inauzwa kwa bei hiyo hiyo au chini ya hiyo.

Siyo kweli kwamba promotions na annual increments za watumishi wa umma waliokizi sifa hawakupewa promotions na annual increments hizo ispokuwa kwa kwenye kipindi hicho kifupi cha uhakiki wa watumishi hewa na watumishi feki. Katika kipindi hiki cha miaka 5 zaidi ya watumishi zaidi ya laki tatu (ie zaidi ya 50% ya watumishi wote) walipata promotions zao baada ya kukidhi masharti yake. PAYE yao imepunguzwa nk. Kodi za kupanga nyumba nk hazipandi kila mwaka kama ilivyokuwa huko nyuma, badala yake zimepungua. Watumishi wa umma sasa hivi ni highly paid ukilinganisha na wengi walio kwenye private sector.

Huko tulikotoka private sector ndiyo ilikuwa inalipa zaidi. Ndiyo maana utumishi wa umma umetulia, hakuna migomo migomo tena kama tunazoziona kwenye nchi za majirani kwetu. Na serikali imeahidi kuendelea kuboresha mishahara yao kuendana na ukuaji wa uchumi wa nchi bila kusababisha mfumuko wa bei. Ndivyo zilivyofanya na zinavyofanya nchi zilizoendelea kama ulaya, marekani na uchina. Mambo haya ni ya kitaalamu. Si ya kimuhemuko wa kisiasa.
Hamna kitu hapa
 
HOJA ZA JENGO HAZINA MAANA SANA KWA UCHUMI WETU.....KAMA WAMEWEZA KUWA NA MTANDAO KILA KIJIJI NA OFISI NI BORA KULIKO WANGEKUA NA GHOROFA LA KIFAHARI
HATA TANU JENGO LAO LA MAKAO MAKUU HADI MIAKA YA SABINI LILIKUWA KAMA HILI TU TENA LA UDONGO ULIONAKISHIWA NA CEMENT CHIPPING .....
Mkuu kama unakula pesa peke yako basi uwe unanawa mikono basi. Huwezi kuendelea namna hiyo na ulevi wa konyagi then unalaumu watu wengine kwa starehe zako. natanguliza rambi rambi maana mtondogoo tunakwenda kufanya kazi ya uhakika na kuwafundisha adabu mafedhuli ambao mmekuwa mnawaatamia.
 
Bila ofisi kazi wanapangia wapi hawa watu. Ajabu Sana . Halafu mpewe nchi
 
Nchi zilizoendelea wafanyakazi wa serikali kama madaktari na walimu wanalipwa vizuri sana.
 
Unajuwa hili ni somo kabisa linahitaji kitabu, kwa ufupi low inflation haina maana mambo mazuri ina maana pia kuna high unemployment kwa hiyo mahitaji ni madogo wakati mwingine kukiwa na low employment inaongeza inflation kwa kuwa watu wengi wanakuwa na pesa za kutumia kwa hiyo mahitaji makubwa. chukulia mfano mdogo kama watu hawana pesa basi itabidi tu wenye nyumba washushe kodi sababu wateja wachache kwa wanagombania wateja wachache lakini ikitokea kila mtu ana kazi mahitaji ya nyumba ni makubwa kodi zitapanda na sio kitu kibaya ni dalili ya uchumi kukua. Tuchukue mfano mdogo ukienda sokoni kununua nyanya unakuta asubuhi Kg 1 shilling alfu moja kutokana na wingi wa nyanya na wingi wa wateja ila ikitokea mahitaji makubwa ya nyanya siku hiyo kuliko supply bila kuambiwa na mtu nyanya zitaanza kuuzwa alfu 2 kwa kuwa mahitaji ni makubwa na kama mahitaji makubwa ina maana watu wengi wanaweza kununua nyanya lakini itakuwa kichochoe wasambazaji wa nyanya kuongeza uzalishaji supply kwa hiyo kila mtu anapata lakini ukiona nyanya ghafla imeshuka 500 unajuwa tu wateja wamepungua labda watu wengi wamepoteza kazi kwa hiyo hanunui tena kwa wingi. Hapa nataka kusema kuwa na low inflation haina maana mambo mazuri ni dalili ya uchumi kuwa slow. chukulia mfano kama nyumba zilivyoshuka bei dunia nzima 2008 haikuwa jambo zuri kwa uchumi ila ilikuwa kwa sababu uchumi ulianguka vibaya watu wakala hasara mpaka ma bank lakini ukiona nyumba zinapanda ina maana uchumi una recover watu wanafanya kazi. kwa Tz low inflation kwa ufupi jobless wengi au biashara zimelala. Soko lolote na uchumi lazima kuwe na uwiano wa demand na supply vikikukua pamoja uchumi unakuwa ila demand ikiwa ndogo uchumi uko slow na supply itapunguzwa maana kipato kitashuka.
 
Back
Top Bottom