Nchi zilizohalalisha ushoga Afrika: Historia na takwimu za maktaba

izi nyuzi za ushoga,naona kamazina overate sana huo upuuzi?
Moderator mlia ngalie hili, maana kutajwa tajwa kila wakati litafanya lionekane jambo la kawaida kumbe sivyo
 
Hafu huyu jamaa anatetea sana ushoga nawasiwasi naye huyu atakuwa kaleft group
 
izi nyuzi za ushoga,naona kamazina overate sana huo upuuzi?
Moderator mlia ngalie hili, maana kutajwa tajwa kila wakati litafanya lionekane jambo la kawaida kumbe sivyo
Nchi ambayo haikatazi ushoga haimaanishi kuwa inaruhusu ushoga.
Kama unaishi Tanzania, basi jua unaishi katika nchi ambayo haikatazi ushoga. Sometimes inabidi ueleweshwe ili uujue ukweli kuliko kuishi maisha ya kufikirika.
 
☹️
 
Unafikii unawasumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…