Nchi zinazoongoza Kuangalia Video za Pilau za Mtandaoni

Mkuu wewe ni muarab?
Hata

Ila nikiona mtu ana kuwa mhanga wa kupokea taarifa za uongo mtandaoni huwa siwezi kukaa kimya ,miezi michache iliyopita kuna watu walipost huku JF kuwa Trump alisema akiingia madarakani atawafunga Museveni na Mugabe na taarifa hiyo waliichukua kwenye blog fulani hivi ya wa Naija na nilipinga na kuwaelewesha watu kama kwenye thread hii ninavyofanya

Kwenye ulimwengu wa sasa wa blogs nyingi,forums nyingi watu wengi wanakuwa wahanga wa kupokea taarifa za uongo bila ya kuchuja ,kuna source nyingi za ukweli hilo halina taabu ila mtu anapojiokotea habari kwenye blogs za mitaani huwa lazima uwaeleweshe watu ni kama watu saizi hapa Tz wamekuwa wahanga na taarifa za Mangi

Lengo ni kuwaamsha watu wasiwe wahanga na wawe makini wanapochukua taarifa mitandaoni

(Y)
 
Hii taarifa haihitaji uwe na PhD ugundue kuwa ni ya uongo

nchi nyingi ulizozitaja kuna censorship mfano ukiwa saudi Arabia huwezi kutumia Facebook ,ndio maana huwezi kukuta id za wasaudia haswa wasichana

Pili kuna censorship kibao na huwezi kutizama sababu zipo blocked na mitandao yote ipo blocked

Let say utatumia VPN lakini VPN huko ni illegal na ukikamatwa jela 10yrs na fine mfano mwaka Jana UAE jamaa alihukumiwa kwenda jela kwa kutumia VPN

Yaani nchi ambazo websites zimekuwa blocked na censorship na ni illegal kutumia VPN ndio ziongoze halafu nchi ambazo bundle lako tu unatizama zisiwepo

Nchi kama North Korea,Saudia,Iran, huwezi kunidanganya hizo utazikuta nchi 3 za mwisho zenye kutizama porno sababu kuna censorship,blocked na sheria kibao za Internet
Sasa si mpaka ukamatwe unatumia vpn? Na ili wakukamate lazima iwe red handed, maana vpn za namna hiyo ni nhumu ku trace.... Ndio maana warusi full kujiachia, na tena ukipata vpn za urusi ndio wakusahau kabisa
 
12d4a92c7e12de0599def4a1321d5b73.jpg
Haha hata uki search video za North Koreans utazipata ,video za mama na mtoto pia sababu ni acting

Sijasema hao wasaudia ni watakatifu la hasha lakini napingana na takwimu kwamba wapo kwenye top10 kwenye kuangalia porns sababu ukiwa ndani ya saudia huwezi ku-access sites za porn sababu zipo blocked ,
na katika watu ambao hawafaidi internet basi ni wao sababu sheria kibao
 
Hi Wanabodi,

Chini ni list ambayo imetolewa na pornmd ikiorodhesha nchi zinazoongoza kwa uangaliaji wa zile video za kiutu uzima mitandaoni. List imenishangaza kwa kweli.

Hii hapa jionee mwenyewe.

c96cf265f51e22a06548f392eb2767ad.jpg
Nadhani ukifanya utafiti huenda pia zikaongoza kwa kufanya ngono salama(usuguaji)
 
Hii taarifa haihitaji uwe na PhD ugundue kuwa ni ya uongo

nchi nyingi ulizozitaja kuna censorship mfano ukiwa saudi Arabia huwezi kutumia Facebook ,ndio maana huwezi kukuta id za wasaudia haswa wasichana

Pili kuna censorship kibao na huwezi kutizama sababu zipo blocked na mitandao yote ipo blocked

Let say utatumia VPN lakini VPN huko ni illegal na ukikamatwa jela 10yrs na fine mfano mwaka Jana UAE jamaa alihukumiwa kwenda jela kwa kutumia VPN

Yaani nchi ambazo websites zimekuwa blocked na censorship na ni illegal kutumia VPN ndio ziongoze halafu nchi ambazo bundle lako tu unatizama zisiwepo

Nchi kama North Korea,Saudia,Iran, huwezi kunidanganya hizo utazikuta nchi 3 za mwisho zenye kutizama porno sababu kuna censorship,blocked na sheria kibao za Internet
Akili ndogo sana
 
Sasa si mpaka ukamatwe unatumia vpn? Na ili wakukamate lazima iwe red handed, maana vpn za namna hiyo ni nhumu ku trace.... Ndio maana warusi full kujiachia, na tena ukipata vpn za urusi ndio wakusahau kabisa
Mkuu lazima wata notice huwezi kuwa anoynomous 100%

VPN za kulipia ndio zipo salama sasa utalipiaje mpaka usigundulike?

Utalipa kwa njia gani ili usigundulike sababu transaction zako ndio zitaacha trace
 
Na nchi zinazoongoza Kwa ndoa za jinsia moja ni zipi?
 
Inawezekana kweli hatumo, watu wako bize insta kufuatilia ubuyu, na insta inakula bando kinoma noma. Bila kusahau MB 8!
 
Hi Wanabodi,

Chini ni list ambayo imetolewa na pornmd ikiorodhesha nchi zinazoongoza kwa uangaliaji wa zile video za kiutu uzima mitandaoni. List imenishangaza kwa kweli.

Hii hapa jionee mwenyewe.

c96cf265f51e22a06548f392eb2767ad.jpg
Hii iko sahihi sana hawa wanaangalia sana wale wengine ndio wafanyaji au waigizaji wenyewe!
 
Hata

Ila nikiona mtu ana kuwa mhanga wa kupokea taarifa za uongo mtandaoni huwa siwezi kukaa kimya ,miezi michache iliyopita kuna watu walipost huku JF kuwa Trump alisema akiingia madarakani atawafunga Museveni na Mugabe na taarifa hiyo waliichukua kwenye blog fulani hivi ya wa Naija na nilipinga na kuwaelewesha watu kama kwenye thread hii ninavyofanya

Kwenye ulimwengu wa sasa wa blogs nyingi,forums nyingi watu wengi wanakuwa wahanga wa kupokea taarifa za uongo bila ya kuchuja ,kuna source nyingi za ukweli hilo halina taabu ila mtu anapojiokotea habari kwenye blogs za mitaani huwa lazima uwaeleweshe watu ni kama watu saizi hapa Tz wamekuwa wahanga na taarifa za Mangi

Lengo ni kuwaamsha watu wasiwe wahanga na wawe makini wanapochukua taarifa mitandaoni

(Y)
Aise Wtz tunatabia yakuamini kila kitu wanachosikia.hatunaga muda wakiyafakari.Nawengine wakishaona kiko kwenye internet basi wao washakurupuka bila kujua ata uko kwenye mitandao watu wanaweka mambo kibao yakipuuzi.
 
Hi Wanabodi,

Chini ni list ambayo imetolewa na pornmd ikiorodhesha nchi zinazoongoza kwa uangaliaji wa zile video za kiutu uzima mitandaoni. List imenishangaza kwa kweli.

Hii hapa jionee mwenyewe.

c96cf265f51e22a06548f392eb2767ad.jpg
Nchi tano zote ni za kiislamu, halafu wakimkamata mwanamke anayezini wanaume wanajifanya kumpiga mawe.

Hatari sana
 
Hii taarifa haihitaji uwe na PhD ugundue kuwa ni ya uongo

nchi nyingi ulizozitaja kuna censorship mfano ukiwa saudi Arabia huwezi kutumia Facebook ,ndio maana huwezi kukuta id za wasaudia haswa wasichana

Pili kuna censorship kibao na huwezi kutizama sababu zipo blocked na mitandao yote ipo blocked

Let say utatumia VPN lakini VPN huko ni illegal na ukikamatwa jela 10yrs na fine mfano mwaka Jana UAE jamaa alihukumiwa kwenda jela kwa kutumia VPN

Yaani nchi ambazo websites zimekuwa blocked na censorship na ni illegal kutumia VPN ndio ziongoze halafu nchi ambazo bundle lako tu unatizama zisiwepo

Nchi kama North Korea,Saudia,Iran, huwezi kunidanganya hizo utazikuta nchi 3 za mwisho zenye kutizama porno sababu kuna censorship,blocked na sheria kibao za Internet

Big up to you
 
sins uhakika na nchi zingine hapo, lakin kwa Iran so kweli. Iran wameclose websites zote za porn hivyo in unaccessible.
 
You can't block all porn sites, you can only block those sites you know...
 
Halafu hizi ni takwimu ambazo zime base kwenye search query sent on Google, si lazima watu wawe wameona moja kwa moja ila inaonyesha ni jinsi gani watu kwenye inchi hizo watafuta kuona porn kwa wingi, na sababu yaweza kuwa ni sheria za nchi na mitandao mikubwa kufungiwa, hivyo takwimu hizo zaweza kuwa kweli.

Hapa kwetu sites watu wanazijua hivyo wanafungua moja kwa moja bila ku query kwenye google
 
Back
Top Bottom