py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
HataMkuu wewe ni muarab?
Ila nikiona mtu ana kuwa mhanga wa kupokea taarifa za uongo mtandaoni huwa siwezi kukaa kimya ,miezi michache iliyopita kuna watu walipost huku JF kuwa Trump alisema akiingia madarakani atawafunga Museveni na Mugabe na taarifa hiyo waliichukua kwenye blog fulani hivi ya wa Naija na nilipinga na kuwaelewesha watu kama kwenye thread hii ninavyofanya
Kwenye ulimwengu wa sasa wa blogs nyingi,forums nyingi watu wengi wanakuwa wahanga wa kupokea taarifa za uongo bila ya kuchuja ,kuna source nyingi za ukweli hilo halina taabu ila mtu anapojiokotea habari kwenye blogs za mitaani huwa lazima uwaeleweshe watu ni kama watu saizi hapa Tz wamekuwa wahanga na taarifa za Mangi
Lengo ni kuwaamsha watu wasiwe wahanga na wawe makini wanapochukua taarifa mitandaoni
(Y)