Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
Naapa Haki ya Muumba iamue. Hao watu ambao ni rasilimali na mtaji mkubwa mlionao sasa wanaokufa njaa na vijana kuchanganyikiwa na maisha ndio mnataka wawe mara dufu ili kuwe na kazi moja ya kuzika tuu?Wee pimbi mtaji mkubwa wa nchi ni watu!.. watu ndo rasilimali muhimu katika nchi,, Huo ufilaji unazalisha nn?.. unafaida gani?. Come back kwa sensa wanawake wapo wengi kuliko wanaume na unashadadia wanaume wazidi kupungua zaidi sio?..MAMA RUDISHA MAKONDA
Watu wamekata tamaa hata matumaini ya wiki mbili zijazo hawana. Kama kungelikuwa na manufaa ya huo mtaji kweli ingeeleweka.
Wasomi wamedata, wakulima, wanadhulumiwa, wazee wanalaani, vijana wameamua kijilipua kwa njia mbalimbali. Hebu mwogopeni Mungu nyie......