Nchi zinazopinga ushoga zinatumia kigezo gani? Mbona hazipingi ukahaba na uasherati?

Pimbi kabisa, hivyo vyote ulivyotaja mbona vinazuiliwa kila siku watu wanakimbizana na mapolisi

Kuna watu wamewapatia wanafunzi ujauzito na hawajakamatwa hapo napo unaweza ukasema kwa vile kuna watu hawajakamatwa basi inaruhusiwa kumpa mwanafunz mimba
hawa kahaba walio zagaa kila kona ya nchi je? unaota
 
Ukahaba mbona ni huduma safi? Mwanaume kwa mwanamke hiyo asili ya uumbaji wajamiane kama viumbe hai. Uasherati ni ufanyaji wa tendo la ndoa bila ndoa katika jamii iliyoweka maadili ya ndoa ni lazima ujamiane ndani ya ndoa tu. Nje na hapo ni dhambi kwa mujibu wa imani ya dini husika.
mshenzi hajifichi
 
Wanawake ambao unakuta huwa wanatetea ushoga most of the time wanaingiliwa kinyume na wanaenjoy, hawezi chukulia Kwa uzito anaona ni sawa tu.

Honestly speaking nachukia ushoga, mwanaume unaliwa google? astaghfirullah
 
Ila mashoga kwa kutete ujinga ujinga wenu!!
 
Ukifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake?

Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa nje ya ndoa ni kosa la jinai. Kwa kufanya hivyo, nchi hii imeharamisha ukahaba. Hivyo Indonesia ikiukataa ushoga inaniingia akilini.

Mfano hapa kwetu Tanzania masingo mama yamejaa kibao. Na kwa kutambua uwepo wao na hatua dhidi yao hazichukuliwi maana yake ni kwamba ukahaba na ufuska vimehalalishwa ktk nchi yetu.

Hawa masingo mama pamoja na wapenzi wao walipaswa wakamatwe na wafungwe ili kuukomesha ukahaba. Sasa kwann tunaona ukahaba na ufsika ni sawa tu kuwepo na kuenea lkn ushoga inakuwa nongwa??

Naona kama kuna undumila kuwili ktk jambo hili, kwasbb zote ni dhambi.

N.B. Naunga mkono kauli ya papa kuwa ushoga siyo kosa wala uhalifu, bali ni dhambi kama dhambi nyingine .
Nadhani hapa ushoga unapingwa kwa sauti kubwa kwa sababu unataka kuharalishwa kuwa halali na baadhi mataifa yenye nguvu kiuchumi.
 
Hakuna mtoto haramu
Unafki wa ngozi nyeusi,
Wanafanya uzinzi kila uchao na kuzaa watoto wa haramu ila likija suala la ushoga wanakimbilia kwenye mwamvuli wa chukizo la Mungu,
Ni kukosa ustaarabu tu
 
Rushwa inaua vizuri sana, fikiria wamama wajawazito wanaokufa kwa kukosa huduma za Afya kutokana na ubadhirifu, fikria ajali za barabarani zinazotokea kwa barabara zinazojengwa chini ya kiwango na hata silaha nyingine majambazi wanazoua nazo watu zimepatikana kwa rushwa.
Haina tofauti na mtu anaye pinga rushwa na ila majambazi hawaoni
Rushwa haikuui ukidakwa
Jambaz unauliwa ukidakwa
Sasa wewe ona kama mashoga wanakandamizwa
 
hawa kahaba walio zagaa kila kona ya nchi je? unaota
Waache wazagae maana ni asili yao kuingiliwa sasa limwanaume zima linapotaka kuwa linaingiliwa si linakua tahira??
We nae unaonekana upinde acha ufirauni mzee.
 
Ona hili punga la CHADEMA. Kwa nini CHADEMA mmekuja na agenda za ushoga kwa kasi hivi!
 
We mbwana Tanzania tunahitaji nguvu kazi hatuitaji wanaume wa kijinyea shambani. Kama unaona hii ni dili hamasisha huko kwenu Kwa baba ako na kaka zako.
 
Ukifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake?

Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa nje ya ndoa ni kosa la jinai. Kwa kufanya hivyo, nchi hii imeharamisha ukahaba. Hivyo Indonesia ikiukataa ushoga inaniingia akilini.

Mfano hapa kwetu Tanzania masingo mama yamejaa kibao. Na kwa kutambua uwepo wao na hatua dhidi yao hazichukuliwi maana yake ni kwamba ukahaba na ufuska vimehalalishwa ktk nchi yetu.

Hawa masingo mama pamoja na wapenzi wao walipaswa wakamatwe na wafungwe ili kuukomesha ukahaba. Sasa kwann tunaona ukahaba na ufsika ni sawa tu kuwepo na kuenea lkn ushoga inakuwa nongwa??

Naona kama kuna undumila kuwili ktk jambo hili, kwasbb zote ni dhambi.

N.B. Naunga mkono kauli ya papa kuwa ushoga siyo kosa wala uhalifu, bali ni dhambi kama dhambi nyingine .
Tena hili ndio limeleta uharibifu mkubwa mno.

Pia wana kigezo cha utamaduni. Sijajua kama Waafrika enzi za mababu walikuwa na utamaduni wa kujiuza na umalaya.

Na kuzaa ovyo ovyo mpaka mbwa na paka wanakaa pembeni. Natamani wafufuke watueleze ukweli. Ila waliozaliwa kitambo kidg ni mashahidi.
 
Asee ushoga ukiruhusiwa, watu hawatazaliana Tena na hakutakuwa tena na kiumbe kinachoitwa mwanaume.
Yani Kila mtu atang'ang'ana aolewe ili Aishi maisha ya mserereko,
Hahaha.. Tulikubaliana tunasifiwa kwa kazi sasa kwanini wakimbilie kuolewa? Basi hilo halitakuwa sababu ya kupitishwa bali lilikuwa kichwani na moyoni mwa muhusika for long times.
 
Ukifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake?

Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa nje ya ndoa ni kosa la jinai. Kwa kufanya hivyo, nchi hii imeharamisha ukahaba. Hivyo Indonesia ikiukataa ushoga inaniingia akilini.

Mfano hapa kwetu Tanzania masingo mama yamejaa kibao. Na kwa kutambua uwepo wao na hatua dhidi yao hazichukuliwi maana yake ni kwamba ukahaba na ufuska vimehalalishwa ktk nchi yetu.

Hawa masingo mama pamoja na wapenzi wao walipaswa wakamatwe na wafungwe ili kuukomesha ukahaba. Sasa kwann tunaona ukahaba na ufsika ni sawa tu kuwepo na kuenea lkn ushoga inakuwa nongwa??

Naona kama kuna undumila kuwili ktk jambo hili, kwasbb zote ni dhambi.

N.B. Naunga mkono kauli ya papa kuwa ushoga siyo kosa wala uhalifu, bali ni dhambi kama dhambi nyingine .
Wewe lazima utakuwa Punga.
 
Back
Top Bottom