Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe uko down hivi! Hivi umeambiwa kuwa usingle mother ni uasherati au una matatizo ya kiakili tukusaidie?Hapa Tanzania uasherati unapingwaje? Mbona masingo maza hayakamatwi?
Ngoja tumshauri Mama aanzishe utawala wa SHARIA...Unafki wa ngozi nyeusi,
Wanafanya uzinzi kila uchao na kuzaa watoto wa haramu ila likija suala la ushoga wanakimbilia kwenye mwamvuli wa chukizo la Mungu,
Ni kukosa ustaarabu tu
Dume kumuingilia mwanamke kinyume Cha maumbile ni Nini?Dume kumuingilia demu kinyume cha maumbile ni nini?
Wanawake wanaoingiliwa kinyume unawaweka kundi gani?Namjibu muuliza swali.
Uzinzi na uasherati vyote havipendezi katika jamii.
Hata tusiporejea maonyo ya kiimani. Ushoga utasababisha uzaliwaji wa binadamu kupungua au kusimama kabisa. Nadhani hii ndio agenda ya wanaotetea ushoga.
Lakini pia kwanini jamii iendekeze wanaume kuenenda kinyume na maumbile?
Kwanini?
😂😂😂😁😂😂Wamepiga marufuku wakaona inaadhiri wananchi michepuko ndio inasaidia nchi kupata maendeleo maana wanawake wanaosaidia kumtuliza mwanaume na hata badhii ya wanaume ni wanawatuliza wamama so mtu akirelax kichwa Chake anawaza mengi nakuendelea.
Jibu hoja, usilete vioja na vihojaKumbe uko down hivi! Hivi umeambiwa kuwa usingle mother ni uasherati au una matatizo ya kiakili tukusaidie?
Kwahiyo hoja ni mazoea (utamaduni) na wala siyo chukizo kwa Mungu?ila kwetu Africa ushoga sio utamaduni wetu
Ukahaba pia hawaruhusu ila ushoga naona ndio unakaziwa zaidi, maana ni inaonekana ni kupoteza wanaume katika jamii ambao ndio viongozi, walinzi, wazalishaji mali, na kuendeleza kizazi
Ila mimi nataka haya mambo ya kuendekeza na kushadadia kwa Mpalange sijui Tigo ukiwa unafanya mapenzi na mwanamke, yapingwe kwa nguvu zote kama ushoga
Haya ndio yanayokuza ushoga
Unaposema chukizo kwa Mungu, hiyo ni subjective na imani yako maana kila mtu ana Mungu wake; hapa tunazungumzia African culture. Ushoga ni taboo in Africa.Kwahiyo hoja ni mazoea (utamaduni) na wala siyo chukizo kwa Mungu?
Ukifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake?
Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa nje ya ndoa ni kosa la jinai. Kwa kufanya hivyo, nchi hii imeharamisha ukahaba. Hivyo Indonesia ikiukataa ushoga inaniingia akilini.
Mfano hapa kwetu Tanzania masingo mama yamejaa kibao. Na kwa kutambua uwepo wao na hatua dhidi yao hazichukuliwi maana yake ni kwamba ukahaba na ufuska vimehalalishwa ktk nchi yetu.
Hawa masingo mama pamoja na wapenzi wao walipaswa wakamatwe na wafungwe ili kuukomesha ukahaba. Sasa kwann tunaona ukahaba na ufsika ni sawa tu kuwepo na kuenea lkn ushoga inakuwa nongwa??
Naona kama kuna undumila kuwili ktk jambo hili, kwasbb zote ni dhambi.
N.B. Naunga mkono kauli ya papa kuwa ushoga siyo kosa wala uhalifu, bali ni dhambi kama dhambi nyingine .
Hilo haliwezi kutokea kamwe kwenye ardhi ya Tanzania, kwanini wewe usiende kuishi kwenye nchi zenye tawala za sharia? Ukapigwe mawe hadi ufe kwa hayo mauzinzi yenu mliyojiendekeza nayo.Ngoja tumshauri Mama aanzishe utawala wa SHARIA...
Hao Wamarekani wanajali haki za Mashoga mbona hatujaona hizo nuksi na laana kwa taifa lao?Kahaba unaweza kuoa na ukazaa nae,,je unaweza ukazaa na shoga?
Mambo ya Sodoms ni laana kwa MUNGU na pia yanaleta nuksi na mikosi kwa taifa na Jamii kwa ujumla..
Mashoga pamoja na wote wanaotetea ushoga hawapendi kuona wengine wakiwa sio mashoga,
[emoji817]% wanataka na wengine pia waharibikiwe kama wao.
Sababu wao wanainamishwa basi na wengine pia wanainamishwa kama wao..
Ndy maana wanahangaika kila mbinu kuharibu vizazi vyetu ili ionekane mwanaume kuinamishwa ni Jambo la kawaida.
[emoji817] % hakuna anayetetea ushoga kama na yeye sio shoga...
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app