Nchi zinazopinga ushoga zinatumia kigezo gani? Mbona hazipingi ukahaba na uasherati?

Ukahaba mbona ni huduma safi? Mwanaume kwa mwanamke hiyo asili ya uumbaji wajamiane kama viumbe hai. Uasherati ni ufanyaji wa tendo la ndoa bila ndoa katika jamii iliyoweka maadili ya ndoa ni lazima ujamiane ndani ya ndoa tu. Nje na hapo ni dhambi kwa mujibu wa imani ya dini husika.
Sawasawa..
 
Namjibu muuliza swali.

Uzinzi na uasherati vyote havipendezi katika jamii.

Hata tusiporejea maonyo ya kiimani. Ushoga utasababisha uzaliwaji wa binadamu kupungua au kusimama kabisa. Nadhani hii ndio agenda ya wanaotetea ushoga.

Lakini pia kwanini jamii iendekeze wanaume kuenenda kinyume na maumbile?

Kwanini?
 
Ukifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake?

Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa nje ya ndoa ni kosa la jinai. Kwa kufanya hivyo, nchi hii imeharamisha ukahaba. Hivyo Indonesia ikiukataa ushoga inaniingia akilini.

Mfano hapa kwetu Tanzania masingo mama yamejaa kibao. Na kwa kutambua uwepo wao na hatua dhidi yao hazichukuliwi maana yake ni kwamba ukahaba na ufuska vimehalalishwa ktk nchi yetu.

Hawa masingo mama pamoja na wapenzi wao walipaswa wakamatwe na wafungwe ili kuukomesha ukahaba. Sasa kwann tunaona ukahaba na ufsika ni sawa tu kuwepo na kuenea lkn ushoga inakuwa nongwa??

Naona kama kuna undumila kuwili ktk jambo hili, kwasbb zote ni dhambi.

N.B. Naunga mkono kauli ya papa kuwa ushoga siyo kosa wala uhalifu, bali ni dhambi kama dhambi nyingine .
toka kahaba mkubwa we, pepo tookaaaaa
 
Nchi zinazopinga ushoga zinapinga hata uasherati mwanangu. Ni ulaya na Amerika yalipohalalishwa mabalaa haya mnayoshabikia kwa ukumbaff na ulimbukeni wenu. Senzi kabisa
 
Siupendi ushoga,
Naupinga sana ushoga,
kinyaa Sana me kumtindua me mwenzie
Sema wasagaji huwa wanavutia sn kuwatizama wanaposagana,very romantic[emoji4]
 
Ushoga ukemewe vikali kote duniani,
Ila wakuu Twende mbele, turudi nyuma,
Threesome na KE wasagaji Ni ndoto ya mwanaume yoyote yule Alie rijali[emoji4]
 
Kwa hiyo huwa wanahitaji nini labda?
1. Haki za Binaadam(kwani wanabaguliwa, wananyanyapaliwa, wananyanyaswa kihisia)

2. Haki za Kisheria (kwani wananyanyaswa kingono, wanauliwa)

3. Haki ya Ndoa (Kwani wanatamani kuishi na wenza wao kama watu wengine)

4. Haki ya Kua na Watoto(kwani wanakatazwa wasi adopt watoto)

5. Ni nyingi sana
 
Tatizo Tanzania ukitetea unaonekana na ww unafanya lkn ukweli mchungu kila mtu anahaki kama wanazuia yote wazuie yote had kamari n.k
 
Ukifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake?

Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa nje ya ndoa ni kosa la jinai. Kwa kufanya hivyo, nchi hii imeharamisha ukahaba. Hivyo Indonesia ikiukataa ushoga inaniingia akilini.

Mfano hapa kwetu Tanzania masingo mama yamejaa kibao. Na kwa kutambua uwepo wao na hatua dhidi yao hazichukuliwi maana yake ni kwamba ukahaba na ufuska vimehalalishwa ktk nchi yetu.

Hawa masingo mama pamoja na wapenzi wao walipaswa wakamatwe na wafungwe ili kuukomesha ukahaba. Sasa kwann tunaona ukahaba na ufsika ni sawa tu kuwepo na kuenea lkn ushoga inakuwa nongwa??

Naona kama kuna undumila kuwili ktk jambo hili, kwasbb zote ni dhambi.

N.B. Naunga mkono kauli ya papa kuwa ushoga siyo kosa wala uhalifu, bali ni dhambi kama dhambi nyingine .
Nchi ni watu,ushoga ukiendekezwa kizazi cha binadamu kinakuwa hatarini kutoweka. Serikali inaishi kwa uwepo wa watu.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Asee ushoga ukiruhusiwa, watu hawatazaliana Tena na hakutakuwa tena na kiumbe kinachoitwa mwanaume.
Yani Kila mtu atang'ang'ana aolewe ili Aishi maisha ya mserereko,
 
Unataka kusema wewe unauchukia uanaume wako sababu unakula kwa jasho?
 
JF has gone astray because of these men who invade here without knowing JF is place for respectful people with productive ideas. Tunaomba mtuondelee watu Hawa wasiojielewa.
 
Ukifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake?

Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa nje ya ndoa ni kosa la jinai. Kwa kufanya hivyo, nchi hii imeharamisha ukahaba. Hivyo Indonesia ikiukataa ushoga inaniingia akilini.

Mfano hapa kwetu Tanzania masingo mama yamejaa kibao. Na kwa kutambua uwepo wao na hatua dhidi yao hazichukuliwi maana yake ni kwamba ukahaba na ufuska vimehalalishwa ktk nchi yetu.

Hawa masingo mama pamoja na wapenzi wao walipaswa wakamatwe na wafungwe ili kuukomesha ukahaba. Sasa kwann tunaona ukahaba na ufsika ni sawa tu kuwepo na kuenea lkn ushoga inakuwa nongwa??

Naona kama kuna undumila kuwili ktk jambo hili, kwasbb zote ni dhambi.

N.B. Naunga mkono kauli ya papa kuwa ushoga siyo kosa wala uhalifu, bali ni dhambi kama dhambi nyingine .

Haina tofauti na mtu anaye pinga rushwa na ila majambazi hawaoni
Rushwa haikuui ukidakwa
Jambaz unauliwa ukidakwa
Sasa wewe ona kama mashoga wanakandamizwa
 
Back
Top Bottom