Pre GE2025 Nchimbi akemea vyama vya upinzani kuhamasisha mauaji

Pre GE2025 Nchimbi akemea vyama vya upinzani kuhamasisha mauaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Nchimbi akikemea na kuonya vikali viongozi wa vyama vya upinzani ambavyo baada ya kukosa hoja, agenda, kuishiwa ushawishi na uwezo wa kiuongozi, vimeanza kutumia majukwaa ya mikutano ya hadhara kuhamasisha mauaji wakati nchi yetu inapoelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu.
 
Mbona hizo taarifa hazipo? Ni yeye tu anazo?. Eti kuhamasisha mauaji? Walimuahamasisha nani akaue?
Kuhamasisha maana yake ni kitu kinafanyanyika tayari ,unakiongezea kasi tu...CCM ndiyo wenye serikali wanaangalia tu?
 
Visingizio
Gambazi walisha kata ring kitambo....kauli za kutapatapa tu..hizo..Hata kwa tume hii hii na katiba hii hii,kama Polisi wakijiweka pembeni,tukapiga kura,tukazilinda na tukawa tuna ripoti irreguralities na Polisi wana chukua hatua palepale.CCM wanachomoka kwa Peoples Power mapema tu.Msigwa na Peneza eti ndiyo mwokozi wao?!!!!!Kwa sasa...
 
Si wakamatwe na kufikishwa mahakamani kwa uchochozi?
 
Huyu mwamba amepwaya sana katika nafasi yake. Nafikiri nyakati na zama zake zimepita. Yupo overrated!
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Nchimbi akikemea na kuonya vikali viongozi wa vyama vya upinzani ambavyo baada ya kukosa hoja, agenda, kuishiwa ushawishi na uwezo wa kiuongozi, vimeanza kutumia majukwaa ya mikutano ya hadhara kuhamasisha mauaji wakati nchi yetu inapoelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu.
Bici wauaji ni nani kama sio Ccm?
Kuna kiongozi mmoja wa Ccm alisikika akisema wata poteza viongozi wa upinzani.
Juzi tume msikia mwingine akisema wata wapoteza kama walivyo mloteza Manji na hakuna kauli ime tolewa. Shame on you Ccm
 
Nchimbi nyakati zake za kung"ara zilishapita. Alikosea sana kutokusoma alama za nyakati. Wakati vigogo wa CCM Wanataka kwenda na JPM yeye akachagua mzee wa monduli. Sasa hivi hana jipya.
 
Waa
Bici wauaji ni nani kama sio Ccm?
Kuna kiongozi mmoja wa Ccm alisikika akisema wata poteza viongozi wa upinzani.
Juzi tume msikia mwingine akisema wata wapoteza kama walivyo mloteza Manji na hakuna kauli ime tolewa. Shame on you Ccm
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi chochote kabisa!
 
Back
Top Bottom