Kuhamasisha maana yake ni kitu kinafanyanyika tayari ,unakiongezea kasi tu...CCM ndiyo wenye serikali wanaangalia tu?Mbona hizo taarifa hazipo? Ni yeye tu anazo?. Eti kuhamasisha mauaji? Walimuahamasisha nani akaue?
Gambazi walisha kata ring kitambo....kauli za kutapatapa tu..hizo..Hata kwa tume hii hii na katiba hii hii,kama Polisi wakijiweka pembeni,tukapiga kura,tukazilinda na tukawa tuna ripoti irreguralities na Polisi wana chukua hatua palepale.CCM wanachomoka kwa Peoples Power mapema tu.Msigwa na Peneza eti ndiyo mwokozi wao?!!!!!Kwa sasa...Visingizio
Bici wauaji ni nani kama sio Ccm?
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Nchimbi akikemea na kuonya vikali viongozi wa vyama vya upinzani ambavyo baada ya kukosa hoja, agenda, kuishiwa ushawishi na uwezo wa kiuongozi, vimeanza kutumia majukwaa ya mikutano ya hadhara kuhamasisha mauaji wakati nchi yetu inapoelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu.
Yule wa ccm Kagera alitamka hadharani alifanywa Nini? Upuuzi mtupu!Mbona hizo taarifa hazipo? Ni yeye tu anazo?. Eti kuhamasisha mauaji? Walimuahamasisha nani akaue?
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi chochote kabisa!Bici wauaji ni nani kama sio Ccm?
Kuna kiongozi mmoja wa Ccm alisikika akisema wata poteza viongozi wa upinzani.
Juzi tume msikia mwingine akisema wata wapoteza kama walivyo mloteza Manji na hakuna kauli ime tolewa. Shame on you Ccm