Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Kuna baadhi ya watu hawamtaki Samia ila wanamuunga mkono Nchimbi.
Ila kiuhalisia wote hawafai, Samia akivuliwa urais itabidi aondoke yeye, makamo wake na baraza lote la mawaziri .
Itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu kama Samia sheria itambana ajihudhuru halafu Nchimbi akapandishwa kuwa rais.
Samaki mmoja akioza wote wameoza.
Samia must go, ccm mtandao must go.