Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
- Thread starter
- #21
Kupitia bungeni tu unapigiwa kura ya kuvuliwa urais ukionekana hutoshi.Mkuu samahani,nani ana mvua urais huyu Samia!? Hakuna Mamlaka ya kumvua urais duniani isipokuwa maandamano ambayo yatamfanya ajiuzulu.
Na kijiuzulu Moja kwa Moja serikali yake inagutika hadi na bunge lake kwani nalo ni haramu
Bunge la ulaya na mashirika ya haki za kibinadamu yatatusaidia hilo.