Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Na badoKuna baadhi ya watu hawamtaki Samia ila wanamuunga mkono Nchimbi.
Ila kiuhalisia wote hawafai, Samia akivuliwa urais itabidi aondoke yeye, makamo wake na baraza lote la mawaziri .
Itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu kama Samia sheria itambana ajihudhuru halafu Nchimbi akapandishwa kuwa rais.
Samaki mmoja akioza wote wameoza.
Samia must go, ccm mtandao must go.
Kwa mujibu wa Katiba ya nyumbani kwako ambako wewe na mkeo ndiyo mihimili uko sawaKuna baadhi ya watu hawamtaki Samia ila wanamuunga mkono Nchimbi.
Ila kiuhalisia wote hawafai, Samia akivuliwa urais itabidi aondoke yeye, makamo wake na baraza lote la mawaziri .
Itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu kama Samia sheria itambana ajihudhuru halafu Nchimbi akapandishwa kuwa rais.
Samaki mmoja akioza wote wameoza.
Samia must go, ccm mtandao must go.
JiongopeeAcheni kuwa watumwa wa mabeberu.
TANZANIA inaongozwa kwa mujibu wa sheria za TANZANIA SI Sheria za mabeberu
lakini pesa zao mnapokea vizuri tu,,, hebu jitegemeeni kwa kila kituAcheni kuwa watumwa wa mabeberu.
TANZANIA inaongozwa kwa mujibu wa sheria za TANZANIA SI Sheria za mabeberu
Jamaa wajanja wajanja sana.CCM ni ile ile TU 😂 Yan
Walipoanza kuimba hivi tu ndio wakaanza kumiminiwa risasi mfululizo...Hatuitambui CCM
Povu.Kwa mujibu wa Katiba ya nyumbani kwako ambako wewe na mkeo ndiyo mihimili uko sawa
Mnapokea nyny za ford foundationlakini pesa zao mnapokea vizuri tu,,, hebu jitegemeeni kwa kila kitu
Mnaweweseka.Acheni kuwa watumwa wa mabeberu.
TANZANIA inaongozwa kwa mujibu wa sheria za TANZANIA SI Sheria za mabeberu
Nchimbi ni another useless leader. Hatakiwi naye, Kiufupi CCM yote haitakiwi na imeoza.Kuna baadhi ya watu hawamtaki Samia ila wanamuunga mkono Nchimbi.
Ila kiuhalisia wote hawafai, Samia akivuliwa urais itabidi aondoke yeye, makamo wake na baraza lote la mawaziri .
Itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu kama Samia sheria itambana ajihudhuru halafu Nchimbi akapandishwa kuwa rais.
Samaki mmoja akioza wote wameoza.
Samia must go, ccm mtandao must go.
Hyo Ngoma unaiona ww tu? Nadhani sumu haionjwi jaribuni muoneMnaweweseka.
Na ngoma bado mbichi sana.
Majibu mtayapata soon.Hyo Ngoma unaiona ww tu? Nadhani sumu haionjwi jaribuni muone
Kuna wana ccm wengine mfano babalevo anafanya kazi kimuhemko anajua ubunge wake wa mchongo hautazidi miezi miwili kabla ya kung'olewa yeye na chama chake.Nchimbi ni another useless leader. Hatakiwi naye, Kiufupi CCM yote haitakiwi na imeoza.
Acha kujidanganyaMajibu mtayapata soon.
Mkuu samahani,nani ana mvua urais huyu Samia!? Hakuna Mamlaka ya kumvua urais duniani isipokuwa maandamano ambayo yatamfanya ajiuzulu.Kuna baadhi ya watu hawamtaki Samia ila wanamuunga mkono Nchimbi.
Ila kiuhalisia wote hawafai, Samia akivuliwa urais itabidi aondoke yeye, makamo wake na baraza lote la mawaziri .
Itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu kama Samia sheria itambana ajihudhuru halafu Nchimbi akapandishwa kuwa rais.
Samaki mmoja akioza wote wameoza.
Samia must go, ccm mtandao must go.
na kwa sheria za Tanzania ni sawa kuuwa raia kama mbwa koko sio?Acheni kuwa watumwa wa mabeberu.
TANZANIA inaongozwa kwa mujibu wa sheria za TANZANIA SI Sheria za mabeberu