Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
- Thread starter
-
- #21
Kupitia bungeni tu unapigiwa kura ya kuvuliwa urais ukionekana hutoshi.Mkuu samahani,nani ana mvua urais huyu Samia!? Hakuna Mamlaka ya kumvua urais duniani isipokuwa maandamano ambayo yatamfanya ajiuzulu.
Na kijiuzulu Moja kwa Moja serikali yake inagutika hadi na bunge lake kwani nalo ni haramu
Mbona unatumia simu zao kuingiza JAMII forum kama hautaki kuwa mtumwa Achana kabisa na tech ya mzungu na usitumie vitu vyao kabisaAcheni kuwa watumwa wa mabeberu.
TANZANIA inaongozwa kwa mujibu wa sheria za TANZANIA SI Sheria za mabeberu
Naonga mkona hoja harakati daimaKuna baadhi ya watu hawamtaki Samia ila wanamuunga mkono Nchimbi.
Ila kiuhalisia wote hawafai, Samia akivuliwa urais itabidi aondoke yeye, makamo wake na baraza lote la mawaziri .
Itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu kama Samia sheria itambana ajihudhuru halafu Nchimbi akapandishwa kuwa rais.
Samaki mmoja akioza wote wameoza.
Samia must go, ccm mtandao must go.
Acheni kuwa watumwa wa mabeberu.
TANZANIA inaongozwa kwa mujibu wa sheria za TANZANIA SI Sheria za mabeberu