Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Tangu October 29 mpaka November ngaapi vile?Kwa uwezo wa Mungu na dua za wazalendo mama yupo salama!
si anlindwa na majini!? maombi na majini vitakaa sehemu moja!?Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaomba viongozi wa dini kuendelea kumwombea Rais Samia Suluhu dhidi ya watu wabaya ili wasipate nafasi ya kumsogelea yeye mwenyewe na Ikulu.
Dkt. Nchimbi amesema hayo jana Ijumaa, Februari 6, 2026 wakati wa hafla ya Usimikaji na Uzinduzi wa Uongozi wa Awamu ya Tano wa The Council Of Pentecostal Churches Of Tanzania (CPCT) iliyofanyika Ukumbi wa Agape Life Church Mbezi Jogoo, jijini Dar es Salaam.
Yes,Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaomba viongozi wa dini kuendelea kumwombea Rais Samia Suluhu dhidi ya watu wabaya ili wasipate nafasi ya kumsogelea yeye mwenyewe na Ikulu.
Dkt. Nchimbi amesema hayo jana Ijumaa, Februari 6, 2026 wakati wa hafla ya Usimikaji na Uzinduzi wa Uongozi wa Awamu ya Tano wa The Council Of Pentecostal Churches Of Tanzania (CPCT) iliyofanyika Ukumbi wa Agape Life Church Mbezi Jogoo, jijini Dar es Salaam.
HayaaYes,
kama taifa yafaa kumuombea Dr.Samia Suluhu Hassan aweze kuchapa kazi ya kuwaletea waTanzania maendeleo bila kuchoka
Hii mikwara inaanza na kuishia humu humu JF, huko mtaani maisha yanaendelea kama kawaida.Watu wapumbavu wanaoendelea kuisikiliza hii serikali haramu ni shida kubwa na wanafiki wanaofaa kuvikwa mawe na kutupwa baharini.
Muuaji Samia kamwe hawezi kuwa rais wa Tanzania. Siku moja atakamatwa na atajuta.
Bila kusahau wakuu wa vyombo vya uhalifu Tanzania (polisi, TISS) hawa watatafutwa mmoja baada ya mwingine.
Kuanzia Feb7, Kitima na Lissu wamefungwa mikono yao, midomo yao, miguu yao na kila baya wanalolifiria juu ya ikulu lisifanikiwe. Huyu Askofu kapigilia msumali wa chuma kikali.Nadhani mlitakiwa kutubu kwa Wananchi ni rahisi kuliko kuzunguka kuombewa mkienda kwa Wananchi na kuwaomba msamaha ni zaidi ya hizo Dua mnazoomba kila kukicha..