Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Kibao alikuwa na matatizo na uongozi wa CHADEMA hayo yamekuwa masuala ya chini kwa chini yanapoibuka lawama zinakwenda kwa Rais, kwanini umlaumu Rais moja kwa moja kifo cha Kibao?.Sasa inafahamika wazi kabisa, muuaji wa Mzee Mohamed Kibao ni Samia mwenyewe; na wala siyo mtoto wake Abdul. Hapa ndipo uovu wa Samia ulipoanza kujulikana. Ulaghai wote ukajitenga naye.
Unajuwa wazi kabisa kuwa Samia Suluhu Hassan hata huko CCM asingeweza kupitishwa kuwa mgombea wa CCM, hili lipo wazi!
Mtu hata wa kumwogopa Luhaga Mpina kuwa atamgalagaza kwenye uchaguzi?
Uhalifu haufutiki. Samia ni mhalifu na lazima atawajibishwa tu.
Mwinyi hakutafuta kuwafanya waTanzania kuwa watwana wa waarabu; kwa hiyo usimhusishe na hii takataka ambayo ni huyu Samia.
Samia atalipa tu gharama za uovu wake kwa waTanzania.
Amuue ili apate nini haswa?. habari za mtaani zinadai Kibao alikosana na uongozi wa chama chake wakamteka na kummaliza.
Hiyo chuki yako kwa SSH inabidi utafute mashekhe au maaskofu wakuombee ili ubakie mtu huru, ni kama vile umelogewa kwenye nafsi ya Mheshimiwa Rais.
Mpina mtoto mdogo sana kwa Samia, pia kajawa na chuki nyingi sawa na alivyo kalamu, alifungua kesi za kuishtaki serikali akiwa mbunge zote akashindwa.