Nchimbi awaomba viongozi wa dini kumwombea Rais Samia dhidi ya 'Watu wabaya'

Hakuna mtu anayekosa usingizi mkuu Kalamu, dola lazima ilindwe.

Huwezi kukata watu vidole kisa wamepiga kura halafu ukaachwa tu.
Umemuuliza Samia mhalifu kwakwambia hakosi usingizi?

Wewe mwenyewe hapo ulipo dalili zote zinaonyesha hali ni tete sana. Kila siku unapoingia humu JF unaonyesha alama zilizowazi katika maandishi yako.

Unapojaribu kujidanganya hata wewe mwenyewe; achilia hata huyo unayemcha kwenye imani yako; hiyo wewe unaiona kuwa ni hali ya kawaida ya mtu asiyekosa usingizi?

Kila dakika, na kila saa roho zenu zipo juu juu kwa kujuwa mnasubiri tu kuwajibishwa kwa uovu wenu.

halafu unakuja na kusema hamkosi usingizi?

Uue waTanzania kiasi kile, tena bila ya sababu za msingi, bali kutafuta kuonyesha mfano waTanzania waogope; halafu useme hukosi usingizi?

Hata nguruwe anapokula wanae kwa kukosa mabaki ya chakula hawezi kuwa na roho tulivu kwa uovu huo

Samia ni mtu mwovu/ mhalifu, ni lazima atawajibishwa tu kwa uovu wake na wote wanaohusika na uovu huo..
 
Samia anawezesha miradi mikubwa ya wananchi muda huu, wewe na wa aina yako hakuna wa kuwazuia kuishi na roho mbaya vifuani mwenu.
 
Kuua waTanzania je?

Kutengeneza mazingira ya kuwaweka waTanzania katika hadhi ya utwana je?

Kulazimisha waTanzania kutawaliwa bila ya ridhaa yao, je?

Kuvuruga na kutapanya raslimali za nchi, je?

Ufisadi, Je?

Wewe ni mtu mwenye hadhi ya nguruwe, najuwa ni kupoteza muda tu kukuelewesha chochote.; lakini sitaacha; popote nitakapokutana na uchafu wako, nitaurisha usoni mwako.

Samia ni mhalifu, kama mlivyo wahalifu nyinyi wote mnaotekeleza uhalifu anaowatuma muufanye.

Wahalifu wote ni lazima wawajibishwe; hii ndiyo hatma inayowasubiri nyote.
Jeshi lilituliza machafuko ya vijana tarehe 29 October, kama Samia muuaji, mbona tarehe 9 na 25 desemba hakufa mtu hata mmoja?.

Ukijichanganya kuleta masuala ya kihuni utashughulikiwa kihuni, ukija kwa adabu utakutana na ubinadamu wenye msaada.
 
Samia anawezesha miradi mikubwa ya wananchi muda huu, wewe na wa aina yako hakuna wa kuwazuia kuishi na roho mbaya vifuani mwenu.
Maigizo hayafuti uhalifu wake.
Huyo mtu wako na wewe mwenyewe hali inazidi kuwa ngumu. Kamba inakaza taratibu, mkuu 'nguruwe'.
 
Jeshi lilituliza machafuko ya vijana tarehe 29 October, kama Samia muuaji, mbona tarehe 9 na 25 desemba hakufa mtu hata mmoja?.

Ukijichanganya kuleta masuala ya kihuni utashughulikiwa kihuni, ukija kwa adabu utakutana na ubinadamu wenye msaada.
Hilo la Dec.9 umelirudiarudia sana humu, kana kwamba ndilo linalowapa faraja.

Ni hivi, na nisome kwa makini uelewe: msitegemee tena kupata fursa ya kuua waTanzania kama mlivyofanya Oktoba. Kitakachotokea mkilazimisha, ni damu yenu ndiyo itakayomwagika, siyo ya waTanzania.

Kama bado huelewi huna akili kichwani..
 
Nimekuuliza swali mbona tarehe 9 na 25 desemba hakufa mtu hata mmoja?.
 
Duh!
Kumbe huna kitu kichwani?
Bado hujaelewa ulichojibiwa?
Sasa unataka niseme kitu gani tena.
Kaa utulie vizuri, najuwa akili yako na ya huyo mfugaji wako hazina utulivu wowote nyakati hizi.
Kunwa maji utulie, na soma vizuri utaelewa jibu.
 
Back
Top Bottom