Nchimbi awaomba viongozi wa dini kumwombea Rais Samia dhidi ya 'Watu wabaya'


Tumuombea Mungu akamweke mahali pema peponi
 
Tumuombea Mungu akamweke mahali pema peponi
Kwenu peponi ni kwa wafadhili wenu, nje huko west na marekani. Waliomuangusha Gadafi waliterajia hivyo, lakini mpaka leo toka 2011 wameshindwa kufikia hata robo ya aliyoyafanya Gadafi wakati wa utawala wake. walichokiweza ni kumuua mtoto wa Gadafi - Salif Gadafi kwa kuwaahidi nchi ya ahadi ambayo baba yake aliwazawadia Walibya alkishinda urais. Nanyi mpo katika njia hiyo hiyo, tumewastukia!
 

Mama tumuombee aende kwa mwendazake Magufuli RIP
 
Gaddafi alkua anawastawisha wananchi....dont compare him with the leaders of malawi ambao wanalinda mali zao huku mwananchi wa mpigamiti hajui hata atakula nn
 
Tunamwombea Afe kama Sio kumwa na kutoka kwenye kiti alichokalia...
 
Samia Suluhu na wenzake ndio watu wabaya acheni kutuzingua
 
Ni kweli kabisa, wale sijui bawacha wasipewe nafasi
 
Jamaa anapiga kwenye mishono tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni kweli kabisa, wale sijui bawacha wasipewe nafasi
Bawacha? Nlidhani utawataja wauza ngada aka Shanta aka ugali aka sniffer aka sherycoco wamekamatiwa meli yao juzi kati hapo...tunaongozwa na macocainer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…