Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Ngojeni niwaambie kitu.
Haya sasa; bado kuna watu wanafikiri kuna kiongozi kwenye kinyago kama hiki?Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaomba viongozi wa dini kuendelea kumwombea Rais Samia Suluhu dhidi ya watu wabaya ili wasipate nafasi ya kumsogelea yeye mwenyewe na Ikulu.
Dkt. Nchimbi amesema hayo jana Ijumaa, Februari 6, 2026 wakati wa hafla ya Usimikaji na Uzinduzi wa Uongozi wa Awamu ya Tano wa The Council Of Pentecostal Churches Of Tanzania (CPCT) iliyofanyika Ukumbi wa Agape Life Church Mbezi Jogoo, jijini Dar es Salaam.
Wewe huna lolote ujualo bali kujipa matumaini huku ukiwa na hofu kubwa sana.Hii mikwara inaanza na kuishia humu humu JF, huko mtaani maisha yanaendelea kama kawaida.
Wanaoiunga mkono serikali wapo wengi sana huwezi kuimaliza idadi kwa kutazama nani na nani yumo humu.
Mkuu wa nchi yoyote duniani anayo haki ya kuilinda dola, kuanzia wafalme kina Daudi mpaka marais wa nchi za dunia ya leo hii.Wewe huna lolote ujualo bali kujipa matumaini huku ukiwa na hofu kubwa sana.
Unajisemea tu maneno mdomoni kama ilivyo kawaida yako.
Wewe unajuwa kila kitu kinachofanyika ndani ya nchi hii?
Hiyo mitutu ya bunduki unayodhani ndiyo kinga yenu, ni hiyo hiyo itawamaliza. Hamjui dakika wala saa hayo yatakapowapata; huo ndio uzuri wa kuwa mtu mwovu; kila sekunde, dakika huna uhakika nayo!.
ficha ujinga wako mkuuBawacha? Nlidhani utawataja wauza ngada aka Shanta aka ugali aka sniffer aka sherycoco wamekamatiwa meli yao juzi kati hapo...tunaongozwa na macocainer
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaomba viongozi wa dini kuendelea kumwombea Rais Samia Suluhu dhidi ya watu wabaya ili wasipate nafasi ya kumsogelea yeye mwenyewe na Ikulu.
Dkt. Nchimbi amesema hayo jana Ijumaa, Februari 6, 2026 wakati wa hafla ya Usimikaji na Uzinduzi wa Uongozi wa Awamu ya Tano wa The Council Of Pentecostal Churches Of Tanzania (CPCT) iliyofanyika Ukumbi wa Agape Life Church Mbezi Jogoo, jijini Dar es Salaam.
Hivi unajuwa unachoandika?Mkuu wa nchi yoyote duniani anayo haki ya kuilinda dola,
Uovu na uhalifu wa Samia hauanzii na kuishia kwenye kuua waTanzania Oktoba 29.Hakuna uovu pale mkuu wa nchi anapozima shambulio haramu la kuipindua serikali yake kwa njia za machafuko yaliyotengenezwa kwa kivuli cha maandamano.
Sawa mvuta unga.ficha ujinga wako mkuu
Mkutano mkuu wa CCM ulizionyesha kazi zake nyingi alizozifanya kuanzia March 2021 mpaka October 2025 hakuna mjumbe wa mkutano ule aliyesimama na kutaka kumpinga mwenyekiti katika nafasi yake.Uovu na uhalifu wa Samia hauanzii na kuishia kwenye kuua waTanzania Oktoba 29.
Samia kamuua Mzee Ally Mohammed Kibao, kwa ukatili mkubwa. Hili linajulikana wazi, na wewe ni mshiriki kwenye tukio hilo.
Samia kapanga na kutekeleza uhalifu ndani ya chama chake kwa kulazimisha awe ndiye mgombea urais pekee kwa kuvuruga taratibu za chama, huu ni uhalifu, na wewe unaujuwa vyema kabisa.
Samia kapanga na kutekeleza uhalifu alipokataa kufanyika kwa marekebisho madogo ya sheria za uchaguzi ili HAKI itendeke kwa kuwapa waTanzania haki yao ya kuwachagua viongozi wao. Hili unalijuwa vizuri sana kwa sababu wewe ni mmoja wa wahusika kwenye maovu anayofanya Samia.
Samia ni fisadi; huo ni uhalifu ambao ushahidi wake upo kila mahali.
Sasa unataka ukumbushwe nini kila mara?
Unaandika kama mwehu asiye na kitu kichwani.Hivi unajuwa unachoandika?
Kila siku nikikwambia unaropoka tu bila kujuwa unachoandika uwe unaelewa hivyo.
Mosi: Samia siyo mkuu wa nchi, ni jambazi linalotegemea mitutu ya bunduki kutawala kwa nguvu waTanzania wasiotaka kutawaliwa nalo.
Pili, Samia Mhalifu atailinda vipi dola, wakati yeye ndiye anayetumia dola hiyo kumlinda madarakani kwa kuwahonga wakuu woote wa vyombo hivyo vya dola.
Sasa ujuwe kuwa hayo yote hayatamsaidia; kwa sababu ni shaba moja tu, toka kwa mzalendo, na kazi inakwisha; na kama haitakuwa hivyo, basi Samia Mhalifu atakutana na nguvu ya waTanzania watakaomburuza kwenye mavumbi kwa aibu kubwa.
Sasa niambie, bado huelewi kitu gani wewe!
Nyinyi wauaji wa waTanzania?; ndio mliompigia kura milioni 31?Unaandika kama mwehu asiye na kitu kichwani.
SSH tulimpigia kura sisi mwaka 2020 na mwaka jana sisi ndio tumempa mamlaka aliyonayo.
Sasa inafahamika wazi kabisa, muuaji wa Mzee Mohamed Kibao ni Samia mwenyewe; na wala siyo mtoto wake Abdul. Hapa ndipo uovu wa Samia ulipoanza kujulikana. Ulaghai wote ukajitenga naye.Mkutano mkuu wa CCM ulizionyesha kazi zake nyingi alizozifanya kuanzia March 2021 mpaka October 2025 hakuna mjumbe wa mkutano ule aliyesimama na kutaka kumpinga mwenyekiti katika nafasi yake.
Ali Kibao alikuwa mjumbe wa CHADEMA wakati anatekwa na kuuawawa, unajua kipi kipo nyuma ya utendaji wake kwenye chama chake?. Tafuta taarifa sahihi punguza kuendekeza umbea wa mitaani.
Nitajie kiongozi yoyote wa Tanzania tangu Mwinyi ambaye hana kabisa ufisadi katika uongozi wake.
CCM mbona wanawachokoza wananchi watoe yote ya moyoni...watu wametuli zao ..mtu anakuja kukuchokoza ili uongee vibaya...wanataka tu watu waongee vibaya.CCM wanajua ku gaslight