Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Kibao alikuwa na matatizo na uongozi wa CHADEMA hayo yamekuwa masuala ya chini kwa chini yanapoibuka lawama zinakwenda kwa Rais, kwanini umlaumu Rais moja kwa moja kifo cha Kibao?.Sasa inafahamika wazi kabisa, muuaji wa Mzee Mohamed Kibao ni Samia mwenyewe; na wala siyo mtoto wake Abdul. Hapa ndipo uovu wa Samia ulipoanza kujulikana. Ulaghai wote ukajitenga naye.
Unajuwa wazi kabisa kuwa Samia Suluhu Hassan hata huko CCM asingeweza kupitishwa kuwa mgombea wa CCM, hili lipo wazi!
Mtu hata wa kumwogopa Luhaga Mpina kuwa atamgalagaza kwenye uchaguzi?
Uhalifu haufutiki. Samia ni mhalifu na lazima atawajibishwa tu.
Mwinyi hakutafuta kuwafanya waTanzania kuwa watwana wa waarabu; kwa hiyo usimhusishe na hii takataka ambayo ni huyu Samia.
Samia atalipa tu gharama za uovu wake kwa waTanzania.
Utapiga kelele mpaka 2030, hakuna chochote unachoweza kukifanya.Nyinyi wauaji wa waTanzania?; ndio mliompigia kura milioni 31?
Sina shaka yoyote unajuwa kila ninalokueleza humu kuwa ni kweli. Kujitia wenda wazimu na kujifanya hujui kitu kama anavyofanya mhalifu Samia Suluhu Hassan hakutawasaidia kuepuka kuwajibishwa kwa maovu yenu.
Nyinyi ni kundi la watu waovu sana, ambalo kiuhalisia si tabia wala tamaduni za kiTanzania.
Vipi Polepole yuko wapi nyie wauza ngada juzi meli yenu imekamatwa tuliaMkutano mkuu wa CCM ulizionyesha kazi zake nyingi alizozifanya kuanzia March 2021 mpaka October 2025 hakuna mjumbe wa mkutano ule aliyesimama na kutaka kumpinga mwenyekiti katika nafasi yake.
Ali Kibao alikuwa mjumbe wa CHADEMA wakati anatekwa na kuuawawa, unajua kipi kipo nyuma ya utendaji wake kwenye chama chake?. Tafuta taarifa sahihi punguza kuendekeza umbea wa mitaani.
Nitajie kiongozi yoyote wa Tanzania tangu Mwinyi ambaye hana kabisa ufisadi katika uongozi wake.
Polepole ukifika muda atajitokeza hadharani, Meli imesajiliwa Zanzibar haina maana inamilikiwa na serikali ya Tanzania.Vipi Polepole yuko wapi nyie wauza ngada juzi meli yenu imekamatwa tulia
Hiyo 2030 hata wewe mwenyewe usiyekuwa na akili unajuwa hamuioni, na hamna mategemeo yoyote nayo.Utapiga kelele mpaka 2030, hakuna chochote unachoweza kukifanya.
Mnachafua jina zuri la taifa hili halafu mnakuja kujichanganya hapa?Polepole ukifika muda atajitokeza hadharani, Meli imesajiliwa Zanzibar haina maana inamilikiwa na serikali ya Tanzania.
Yote hayo niliyokueleza umeyasoma na kuyaelewa.Kibao alikuwa na matatizo na uongozi wa CHADEMA hayo yamekuwa masuala ya chini kwa chini yanapoibuka lawama zinakwenda kwa Rais, kwanini umlaumu Rais moja kwa moja kifo cha Kibao?.
Amuue ili apate nini haswa?. habari za mtaani zinadai Kibao alikosana na uongozi wa chama chake wakamteka na kummaliza.
Hiyo chuki yako kwa SSH inabidi utafute mashekhe au maaskofu wakuombee ili ubakie mtu huru, ni kama vile umelogewa kwenye nafsi ya Mheshimiwa Rais.
Mpina mtoto mdogo sana kwa Samia, pia kajawa na chuki nyingi sawa na alivyo kalamu, alifungua kesi za kuishtaki serikali akiwa mbunge zote akashindwa.
Samia ni mhalifu, hana hadhi yoyote ya uheshimiwa. Ni jambazi anayesubiri tu kupata haki yake kwa maovu aliyoyatendaHiyo chuki yako kwa SSH inabidi utafute mashekhe au maaskofu wakuombee ili ubakie mtu huru, ni kama vile umelogewa kwenye nafsi ya Mheshimiwa Rais.
Duh,Nchimbi amewaomba viongozi wa dini kuendelea kumwombea Rais Samia Suluhu dhidi ya watu wabaya
Endelea kutunza hasira moyoni, hakuna wa kukusaidia.Hiyo 2030 hata wewe mwenyewe usiyekuwa na akili unajuwa hamuioni, na hamna mategemeo yoyote nayo.
Ni mawili:
Mtakuwa mnaliwa na funza, au mtakuwa mkiumia sana kwa uovu wenu mliowafanyia waTanzania.
Jehenamu ya hapa hapa duniani kabla hamjapelekwa huko kwa mnayemdanganya kila siku kuwa nyinyi ni watu mnaomtukuza na kumcha; huku mkijuwa mnamdanganya kwa matendo yenu maovu.
Tungetulia hatungekutana na unyama tuliokutana nao October 29, mbona desemba 9 na 25 hakufa hata mtu mmoja?.Yote hayo niliyokueleza umeyasoma na kuyaelewa.
Samia Suluhu Hassan ni mtu mwovu, shetani mkubwa ambaye taifa hili halijawahi kumshuhudia.
Ataulipa ubaya wote aliowafanyia waTanzania.
Kwanini Tanzania Bara iwe na mamlaka ya kunajsii jina la hadhi ya taifa hili?.Mnachafua jina zuri la taifa hili halafu mnakuja kujichanganya hapa?
Kwa nini Zanzibar iwe na mamlaka ya kunajisi jina na hadhi ya taifa hili.
Hivi unazo akili timamu kweli? Soma ulichoandika hapo kama kweli unakielewa!Kwanini Tanzania Bara iwe na mamlaka ya kunajsii jina la hadhi ya taifa hili?.
Subiri unyama utakaowapata wahalifu, ndipo utakapotambua maana ya unyama ni kitu gani. Sasa hivi unajiropokea tu kwa vile huo unyama mliwaelekezea waTanzania wasiokuwa na hatia yoyote.Tungetulia hatungekutana na unyama tuliokutana nao October 29, mbona desemba 9 na 25 hakufa hata mtu mmoja?.
Hasira zinazolenga kuwamaliza waovu haziwezi kuwa ni za kuumiza moyo. Wanaoumia ni walengwa wa hasira hizo.Endelea kutunza hasira moyoni, hakuna wa kukusaidia.
Hakuna mtu anayekosa usingizi mkuu Kalamu, dola lazima ilindwe.Hasira zinazolenga kuwamaliza waovu haziwezi kuwa ni za kuumiza moyo. Wanaoumia ni walengwa wa hasira hizo.
Na hamtaziepuka kwa uhalifu wenu mliowafanyia waTanzania. Hilo pekee linawatia kiwewe na kukosa utulivu ndani ya mioyo yenu.
Kuvunja maduka ya watu sio hatia?. Kuvunja vituo vyote vya mwendokasi sio hatia?.Subiri unyama utakaowapata wahalifu, ndipo utakapotambua maana ya unyama ni kitu gani. Sasa hivi unajiropokea tu kwa vile huo unyama mliwaelekezea waTanzania wasiokuwa na hatia yoyote.
Kuua waTanzania je?Kuvunja maduka ya watu sio hatia?. Kuvunja vituo vyote vya mwendokasi sio hatia?.
Kuapa kwamba tutakinukisha sio hatia?. Mlete fujo muachwe tu kisa mkishughulikiwa itakuwa nongwa kwa hao mabwana zenu wa EU!?.