Nchimbi hana Siasa za kufanywa adui na Mfumo: Michezo Tu

Duh Aisee

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2025
Posts
1,297
Reaction score
860
Kama ilivyo kwa binadamu wengine ni vizuri kujuliana hali na kuthamini uhai wa kila mtu kwa hiyo naelewa nikiona watu wanawaza yuko wapi bwana Ima.

Ila sisi sote tunajua quality ya mpinzani ambayo CCM hawawezi kucheka naye, Ima hamna kitu, yani kisa kusema “Pambanieni katiba”???

Yuko sehemu amechill tu

2025 Mzee Mwandambo>>> Ima Nchimbi
 
Kuwekwa kizuizini na kukatiwa njia zote za nawaailiano ni kuchill huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…