Oktoba 29 ilikuwa na lengo hilo; lakini kwa mtu kama wewe hadi leo huamini kwamba mbinu kama hizo waTanzania wamezikataa.Anaweza fariki kabla hujasikia hayo maneno.
Sioni sababu yoyote ya mtu kuja kwako!
Kuna kuzungumza kusikoelekeza lawama/shutuma..Aisee sionj ni kwa namna gani Nchimbi ataweza kuzungumzia yaliyotokea. Ndio maana naamini ukiondoa shinikizo la damu...EN atatafutiwa ping na wote waliokuwa nyuma yake.
Nimejaribu kuwaza, kama Magufuli angemfanyia samia haya aliyofanyiwa Nchimbi, hali ingekuwaje nchini!
Nawaza hili nikikumbuka Magufuli aliwahi kusema chaguo lake alikuwa Hussein Mwinyi.
Inafikirisha sanaNimejaribu kuwaza, kama Magufuli angemfanyia samia haya aliyofanyiwa Nchimbi, hali ingekuwaje nchini!
Nawaza hili nikikumbuka Magufuli aliwahi kusema chaguo lake alikuwa Hussein Mwinyi.
Andiko maridhawaNdugu Nchimbi kwanza nikupe pongezi nyingi kwa kuondoka kifungoni.
Awali nilitangaza humu kwamba ningefungua masikio yangu yote nisikilize uliyokuwa ukiyaseama baada ya maneno uliyosema kuhusu waTanzania waidai katiba kwa nguvu zao zote..
Maana yangu ya kufungua masikio, nilitaka niwe na uhakika wa hiayo na mengine ambayo ulishayasema yaliyoonekana kuwa tofauti na wenzio; ambao wengi tuliamini mnawafanyia waTanzania ulaghai na maigizo.
Sasa imebainika kuwa yako hayakuwa maigizo, bali ni msimamo uliokuwa ukiuamini. Wengi tukawa tunashangaa utakuwaje na msimamo kama huo halafu ukaendelea kubaki na kushiriki na watu waovu waliokuzunguka kila mahali. Sasa mashaka hayo tumeyaweka pembeni.
Jambo ninalotaka kulizungumzia hapa, na kama ukipenda ulichukue kama ushauri kwako.
Ulisema kwenye barua yako, kwamba unaachana na siasa (umestaafu) na utumishi wa umma.
Sasa hapa itabidi utakapokuwa umetulia vizuri na kutafakari, ufafanue maana yako ya "kustaafu siasa na utumishi wa umma"
Maana inayoniijia kwa haraka haraka ni kuwa hupendi tena kutegemea siasa na utumishi wa umma kuendesha maisha yako kwa mahitaji ya kila siku ya kibinaadam.
Vinginevyo sifahamu mtu anavyoweza kujiondoa moja kwa moja katika utumishi wa taifa lake katika nafasi na hali mbalimbali. Kwa maoni yangu, anayestaafu maswala ya nchi ni yule ambaye amemaliza maisha yake hapa duniani.
Kwa hiyo sioni jinsi utakavyoweza kustaafu; hasa baada ya kujipambanua wazi kuwa wewe na kundi ulilokuwemo hamkuwa pamoja.
Umri bado unakuruhusu, utawezaje kujifunga minyororo huku ukiangalia taifa ulilolitumikia kwa muda mrefu likiangamia; unaweza kweli ukaishi kwa ustaafu wa amani?
Sikushauri ukimbilie kwenye vyama vya upinzani vilivyopo; na hasa hasa CHADEMA. Kaa utulie kwanza, lakini usijiondoe kwenye maswala ya utetezi wa taifa hili kwa kutumia nyenzo mbalimbali zilizopo kulipigania taifa hili.
Kama kulikuwa na wenzako huko ulikokuwa wakikuamini unachosimamia, endelezeni msimamo huo, muujenge, hata kama hamna chama cha kukitumia kwa sasa.
Waungeni mkono bila ya masharti yoyote CHADEMA katika juhudi zao za kuwaunganisha waTanzania waukatae utwana huu wanaoletewa na kundi uliloliyupa mkono.
Huko mbele ya safari, kama juhudi zenu zinaimarika na kudumu, mambo ya wapi mtaelekeza juhudi hizo yatajipambanua yenyewe.
Naomba nikusisitizie tena, huwezi kustaafu huku ukiwa kwenye mateso
Sasa masikio yapo wazi kabisa kusikiliza unayoweza kusema katika ukombozi wa taifa hili.
Kumbe umo hata kwenye siasa si dimba tuKete zinasukumwa kwa utuo. Wacha tusubiri tuone.
Hii inaniumiza sana.Bado hatujui yupo wapi Mwenezi mstaafu wa CCM!
Hii natamani ungenifafanulia zaidi.Kwamba, ataweza kuwa na platform kama Raia jibu ni YES lakini kuna tofauti kati yake na Wazee kama JS Warioba
Shinikizo toka nje ya nchi hawataweza kulihimili.Kwa haya ya Nchimbi Nina wasiwasi Lissu anaweza asitoke kabisa. Hata kama Hana hatia.
Sasa imebainika kuwa yako hayakuwa maigizo, bali ni msimamo uliokuwa ukiuamini. Wengi tukawa tunashangaa utakuwaje na msimamo kama huo halafu ukaendelea kubaki na kushiriki na watu waovu waliokuzunguka kila mahali. Sasa mashaka hayo tumeyaweka pembeni.✍🏿💪🏿Ndugu Nchimbi kwanza nikupe pongezi nyingi kwa kuondoka kifungoni.