well done Dr.NchimbiWakuu,
Akizungumza leo Februari 28, 2026 Makamu wa Rais wa Tanzania Emmanuel Nchimbi amesema
"Kazi ya kutumikia nchi sio rahisi sana ni ngumu. Ina vishawishi ina vitisho lakini ndio maana maaskofu mapadri masheikh wapo ili watumishi wengine katika maeneo mengine mizigo inapowaelemea maaskofu, mapadri na masheikh wawaweke mikononi mwa Mungu"
View attachment 3550018
Ni ngumu ukiwa mwizi, muuaji, na dealer wa madawa ya kulevya, juu ya kuwa mwanamke.Wakuu,
Akizungumza leo Februari 28, 2026 Makamu wa Rais wa Tanzania Emmanuel Nchimbi amesema
"Kazi ya kutumikia nchi sio rahisi sana ni ngumu. Ina vishawishi ina vitisho lakini ndio maana maaskofu mapadri masheikh wapo ili watumishi wengine katika maeneo mengine mizigo inapowaelemea maaskofu, mapadri na masheikh wawaweke mikononi mwa Mungu"
View attachment 3550018
Amesemaje? Huku hakukuwa na umeme hatujasikia loloteNi kutokana n kauli yake aliyoitoa kwenye Mazishi ya Pengo.
Ifahamike kwamba Kauli take ni kinyume cha utaratibu wa ccm, ukipinga com unatakiwa kutekwa n.a. kuuawa, inakuwaje yeye anapinga ?
Amepinga nini?ukipinga com unatakiwa kutekwa n.a. kuuawa, inakuwaje yeye anapinga ?
Upo Peramio nnAmesemaje? Huku hakukuwa na umeme hatujasikia lolote
Kwani kasema niniNi kutokana n kauli yake aliyoitoa kwenye Mazishi ya Pengo.
Ifahamike kwamba Kauli take ni kinyume cha utaratibu wa ccm, ukipinga com unatakiwa kutekwa n.a. kuuawa, inakuwaje yeye anapinga ?
Kasema nnUtasikua kuwa amejiuzulu Kwa hiari yake
Vipi akifika 2030, mtoa mada atafuta uzi?Utasikua kuwa amejiuzulu Kwa hiari yake
Yes...wewe sema alichosemaUpo Peramio nn
Maigizo tu haya.Usiamini mtu wq "kijani" akiongea jambo lolote especially la kuhusu haki.Mdomo unasema hili huku nafsi inasema kitu tofauti kabisa.Ni kutokana n kauli yake aliyoitoa kwenye Mazishi ya Cardinal Pengo.
Ifahamike kwamba Kauli yake ni kinyume cha utaratibu wa ccm, ukipinga ccm unatakiwa kutekwa na. kuuawa, inakuwaje yeye anapinga ?