Nchimbi: Kazi ya kutumikia nchi ni ngumu na ndio maana maaskofu mapdri na masheikh wapo

Mtaishia kutoa mapovu mpaka 2030 October.
Hivi wewe humu JF "unatoa" kipi hasa cha maana kwa Tanzania. Umewahi kujiuliza swali hilo?

Umesema mhalifu Samia alikuwa wapi leo, mitutu ya bunduki ilikuwepo?
Haitamsaidia chochote. Mwisho wa siku hatma yake imeandaliwa .

Mhalifu ni lazima awajibishwe.
 
Mlitumwa na watu fulani mpindue nchi mkashughulikiwa na mfumo wa ulinzi huku kulialia hakuwezi kuwasaidia chochote.
 
inazidi kufunguka kiuchumi, mtaumia sana nyinyi mnaoishi na maumivu mioyoni.
Ungekuwa na uwezo wa kukaa chini na huyo mhalifu, Samia, anayekufuga wewe kama nguruwe; ungetambua ni nani hasa "anaishi na maumivu moyoni".
Kwanza wewe mwenyewe hapo ulipo, jisemee ukweli wako ndani ya moyo wako, utaona ni kiasi gani unaishi na "maumivu moyoni"!

Yote haya shauri ya nini, mkuu Steven? Hivi kweli unao uwezo wa kumlaghai na kumhadaa muumba wako mwenyewe kwa matendo yenu haya maovu kwa binaadam wenzenu?
Sasa kutwa nzima, unashinda na njaa, bure kabisa, kufanya maigizo! Huyo mnayemwabudu kweli naye anakubali maigizo yenu haya?
 
Mlitumwa na watu fulani mpindue nchi mkashughulikiwa na mfumo wa ulinzi huku kulialia hakuwezi kuwasaidia chochote.
Samia mhalifu aliandaa toka mwanzo kabisa kufanya uhalifu ili abaki madarakani.
Sasa katimiza uhalifu, na madaraka hana, na moyo wake ndiyo hivyo tena kishaupoteza!

Hakuna anayelialia, isipokuwa Samia mhalifu, ambaye atalipa tu madhambi yake kwa waTanzania. Hili kamwe hawezi kuliepuka.
 
Kama hujui unaloliongea bora ukae kimya tu.
 
Mlitumwa na watu fulani mpindue nchi mkashughulikiwa na mfumo wa ulinzi huku kulialia hakuwezi kuwasaidia chochote.
Hakuna aliyetumwa chochote.
Samia alipanga uhalifu tokea mwanzo ili abaki madarakani kwa kutumia ngiuvu.
Matendo ya uhalifu wake wote yako wazi kabisa kwa mtu yeyote mwenye akili timamu.
 
Hujui unaloongea unaongozwa na chuki. Samia hakuwaambia vijana wachome moto vituo vya mafuta vya mjini.

Samia hakuwaambia vijana wakate watu vidole kisa vina wino wa kupiga kura.

Samia hakuwaambia wahuni wavunje maduka ya kina Bill Nas na Shilole kisha waondoke na mali.

Ukiamini unazo akili timamu bila ya kuweka ushahidi wa moja kwa moja wa uhusika wa SSH kwenye uhalifu huo maana yake wewe inabidi ukapimwe akili zako milembe au kwenye hospitali yoyoye nje ya nchi.

Wakija ICC watawashtua wengi wetu kwani wanaweza baada ya upelelezi wao wakaondoka na wahusika ambao sisi wala hatukuwategemea.
 
Hujui unaloongea unaongozwa na chuki
Sijaua waTanzania, kama alivyofanya Samia.
Siku zote umetumia neno hilo "chuki" ukijuwa wazi kuwa ni kweli kabisa nachukizwa na uovu anaowafanyia waTanzania huyo mhalifu Samia. Sasa unaendelea kuniambia habari za chuki unataka nikwambie nini tena; kwamba nampenda Samia kwa uuovu wake kwa waTanzania?
Ukiamini unazo akili timamu bila ya kuweka ushahidi wa moja kwa moja wa uhusika wa SSH kwenye uhalifu huo maana yake wewe inabidi ukapimwe akili zako milembe au kwenye hospitali yoyoye nje ya nchi.
Unataka niweke ushahidi mara ngapi, kuhusu kusudio la uovu alilokuwa nalo Samia tokea alipoamua kubaki madarakani kwa kutumia nguvu; hadi kuua waTanzania?

Unataka nikusimulie wewe mara ngapi tokea alipolazimisha kuwa mgombea wa urais kwa njia za hila hadi kukataa ushauri wa kufanya marekebisho madogo ya sheria za uchaguzi.
Wewe unayeyasema hayo ya vurugu huna akili za kujuwa vurugu alizianzisha nani?
Na hata kama ingekuwa kudhibiti matukio ya vurugu alizoziasisi Samia mwenyewe, njia za kuua waTanzania kwa kutumia risasi za kuulia wanyama kama tembo, badala ya kutumia njia zinazohitajika kwenye vurugu za namna hiyo, bado huoni nia thabiti ya kuua aliyokuwa ameikusudia Samia?

Yote haya unayajuwa, na unadhani wewe na Samia ni wajanja hata wa kumdanganya huyo mnayemwabudu aone kuwa mioyo yenu haikujaa uovu! Unaamini kweli huyo muumba wenu naye mtamdanganya tena kichizi kabisa namna hii?

Samia Suluhu Hassan ni Mhalifu, njia pekee iliyo mbele yake ni kuwajibishwa kwa uhalifu wake. Sasa asubiri tu yeye mwenyewe ni uwajibishwaji wa namna gani utakaomwangukia. Akibahatika sana, ni shaba moja tu, inamaliza kazi; vinginevyo njia nyingine zote zitakuwa ni za aibu na mateso makubwa sana kwake.

Wapuuzi kama wewe unayekuja hapa kutetea uovu, na kutekeleza uovu huo, nannyi 'share' yenu ipo tu, hamtaiepuka.

Kila mhalifu ni lazima awajibishwe kwa kiasi cha ushiriki wake katika uovu huo.
 
Sijaua waTanzania, kama alivyofanya Samia.
Siku zote umetumia neno hilo "chuki" ukijuwa wazi kuwa ni kweli kabisa nachukizwa na uovu anaowafanyia waTanzania huyo mhalifu Samia. Sasa unaendelea kuniambia habari za chuki unataka nikwambie nini tena; kwamba nampenda Samia kwa uuovu wake kwa waTanzania?

Unataka niweke ushahidi mara ngapi, kuhusu kusudio la uovu alilokuwa nalo Samia tokea alipoamua kubaki madarakani kwa kutumia nguvu; hadi kuua waTanzania?

Unataka nikusimulie wewe mara ngapi tokea alipolazimisha kuwa mgombea wa urais kwa njia za hila hadi kukataa ushauri wa kufanya marekebisho madogo ya sheria za uchaguzi.
Wewe unayeyasema hayo ya vurugu huna akili za kujuwa vurugu alizianzisha nani?
Na hata kama ingekuwa kudhibiti matukio ya vurugu alizoziasisi Samia mwenyewe, njia za kuua waTanzania kwa kutumia risasi za kuulia wanyama kama tembo, badala ya kutumia njia zinazohitajika kwenye vurugu za namna hiyo, bado huoni nia thabiti ya kuua aliyokuwa ameikusudia Samia?

Yote haya unayajuwa, na unadhani wewe na Samia ni wajanja hata wa kumdanganya huyo mnayemwabudu aone kuwa mioyo yenu haikujaa uovu! Unaamini kweli huyo muumba wenu naye mtamdanganya tena kichizi kabisa namna hii?

Samia Suluhu Hassan ni Mhalifu, njia pekee iliyo mbele yake ni kuwajibishwa kwa uhalifu wake. Sasa asubiri tu yeye mwenyewe ni uwajibishwaji wa namna gani utakaomwangukia. Akibahatika sana, ni shaba moja tu, inamaliza kazi; vinginevyo njia nyingine zote zitakuwa ni za aibu na mateso makubwa sana kwake.

Wapuuzi kama wewe unayekuja hapa kutetea uovu, na kutekeleza uovu huo, nannyi 'share' yenu ipo tu, hamtaiepuka.

Kila mhalifu ni lazima awajibishwe kwa kiasi cha ushiriki wake katika uovu huo.
Msingeleta ule uhuni na ushenzi wa kukata watu vidole asingepigwa risasi kijana hata mmoja.

Tarehe 9 na 25 desemba hamkuandamana, hakufa hata kijana mmoja.

Tunajua mnatumiwa na watu huko nje ili muichafue Tanzania, tutakula sahani moja na nyinyi dakika yoyote ile.
 
Kama hujui unaloliongea bora ukae kimya tu.
Sina tabia za ulaghai/hadaa; na wala huo siyo utamaduni unaotambuliwa kwenye jamii ya hapa.
Kama wewe na Samia mmezaliwa na kulelewa katika mazingira hayo ya uongo na mambo mengi ya hovyo hovyo, na kuyafanya yawe kama ndiyo kawaida; elewa kuwa hiyo siyo tabia za hapa.

Nilisha kughusia swala hili la hizi tamaduni zenu za kuiga nje; sasa angalia kuanvyovurugika kila mahali; si Pakistan wala Afghanistan na kwingineko kote.
Hizi tabia za ubabaishaji mara zote hauna mwisho mzuri. Watu watakataa tu upuuzi.

Samia bado anadhani atatumia ujanja ujanja licha ya maovu yote haya aliyowasababishia waTanzania..., hata aibu hamna machoni mwenu?
 
Samia anatimiza ilani ya uchaguzi kwa ukamilifu wake hana sababu ya kutumia ujanja ujanja.

Tatizo lako unaonekana ni mtu unadanganywa na hizi media za mijini, huna taarifa za mengi yanayofanyika nchi nzima.

Waambie hao vijana wenye fikra za kuiharibu nchi yao wenyewe, kwa serikali ya SSH wataumia.
 
Unajulikana huna akili; kwa hiyo unajisemea tu lolote kama chizi, mradi iwe ni kumsifia mhalifu Samia; hata akitoa ushuzi utasifia tu!

Mtu mzima mwenye akili, tena na familia nyumbani unajitoa akili kiasi hiki!
Tabia zile zile za kitwana mnazofundishwa mkiwa watoto.
 
Msingeleta ule uhuni na ushenzi wa kukata watu vidole asingepigwa risasi kijana hata mmoja.

Tarehe 9 na 25 desemba hamkuandamana, hakufa hata kijana mmoja.

Tunajua mnatumiwa na watu huko nje ili muichafue Tanzania, tutakula sahani moja na nyinyi dakika yoyote ile.
Hadithi zile zile umezikariri, hata huchoki kuzirudia rudia huku ukijuwa ni ulaghai!
Haya yote hayatamnusuru mhalifu Samia na nyinyi wote mliohusika kufanya uhalifu.

Kama inakusaidia kupoza maumivu yenu kurudiarudia taarifa zisizokuwa na ukweli wowote, juwa kwamba maumivu yenu yapo palepale.
Hakuna kitakachoweza kuwaondolea furushi la mzigo huu mliojitengenezea wenyewe.

Hatma yenu mlishaichagua wenyewe, hakuna atakayeiondoa kwenu.

Kwa hiyo elewa kuwa mimi nitaendelea kukumbusha tu hatma inayowasubiri. Jidanganye vyovyote utakavyo, haitabadili kitu.
 
Endelea kupiga makelele hakuna kitu utaifanya serikali ya Samia.
 
Unajulikana huna akili; kwa hiyo unajisemea tu lolote kama chizi, mradi iwe ni kumsifia mhalifu Samia; hata akitoa ushuzi utasifia tu!

Mtu mzima mwenye akili, tena na familia nyumbani unajitoa akili kiasi hiki!
Tabia zile zile za kitwana mnazofundishwa mkiwa watoto.
Bado wewe mwenye akili unaongea na mtu asiye na akili, SSH yupo mpaka 2030.
 
Endelea kupiga makelele hakuna kitu utaifanya serikali ya Samia.
Mimi sipigi makelele, nakufahamisha tu wewe unayefikiri kujizima akili ndiko kutakaowaondolea maovu yenu.
Njia pekee ni kuwajibishwa tu basi, ndiko kutakakomaliza maumivu yenu.
 
Back
Top Bottom