Nchimbi: Kazi ya kutumikia nchi ni ngumu na ndio maana maaskofu mapdri na masheikh wapo

Nchimbi anapoza upepo halafu pia ana kutumia rational thinking.

Mbele ya hadhira kama ile ya makrdinali huwezi kuongea vijembe vya kibarazani. Unazidi kujimaliza na yeye ana hesabu za mbali kidogo japo ni.mnafiki
 
Wakuu,

Akizungumza leo Februari 28, 2026 Makamu wa Rais wa Tanzania Emmanuel Nchimbi amesema

"Kazi ya kutumikia nchi sio rahisi sana ni ngumu. Ina vishawishi ina vitisho lakini ndio maana maaskofu mapadri masheikh wapo ili watumishi wengine katika maeneo mengine mizigo inapowaelemea maaskofu, mapadri na masheikh wawaweke mikononi mwa Mungu"

View attachment 3550018
Kasoma seminari sawa na Dr Mpango. Maneno yana ustaarabu na hekima ya hali ya juu.
 
Bure Kabisa.

Watawala waovu wafanye uovu wakitegemea mapadre/wachungaji au masheikh wapo?

Akili ya wapi hii?

Na watu wenye akili zao timamu kichwani wanaona kazungumza jambo la maana hapa?
Wale waliopanga mipango ya ule uovu wa October 29 usiwasahau kuwajumuisha kwenye akili zako.

Wale waliopanga kukinukisha wakatimiza ujinga ule uwakumbuke kwenye mawazo yako.
 
Samia ni mhalifu, kwa sababu toka mwanzo kabisa alijiandaa kuvuruga taratibu zote za uchaguzi na kuweka mazingira ya kubaki madarakani kwa nguvu.

Hainipi shida kukueleza kila mara haya yote, kwa sababu najuwa unayaelewa vyema kabisa..

Samia ni mhalifu, na kila mhalifu ni lazima awajibishwe kwa uhalifu wake. Nanyi nyote washirika wake mtawajibika tu, hakuna namna nyingine.
 
Kwa aliyoyafanya huko bara acha tu awe mhalifu mpaka 2030, endelea kuumia moyo wako.
 
Hiyo ndoto ya 2030 ni jinamizi kuu ndani ya akili zenu.

Kila sekunde, dakika, saa, siku, wiki, mwezi na mwaka kwenu ni kama deni mnalotakiwa kulilipa na hamjui mtalilipa vipi!

Samia ni mhalifu, ni lazima awajibishwe kwa uhalifu wake.
 
Hana uhalifu wowote, kushungulika na wahuni waliochoma nchi 29 October mwaka jana sio uhalifu ni uwajibikaji.
 
Ndugu zangu ,poleni kwa yote .Haya ni mambo ambayo tuliyatarajia kwani hawa jamaa ni waoga kuliko na hatujawahi kufanya jambo bila wao kuingiza chokochoko .Ninaamini tutayaendea mambo haya kwa njia zinazofaa na Mungu aliye upande wetu hatatuacha .Hatuwezi kutengwa katika taifa letu kwani tumekuwa sehemu ya kulisukuma ,kulijenga na kulilinda kwa kadiri tulivyojaliwa hasa pale yulipoamua kusimama kwwnye upande wa HAKI .

MSIOGOPE TUTASHINDA ….

Pamela Maassay
Katibu Bawacha Taifa
01 /03 /2026
 
Hana uhalifu wowote, kushungulika na wahuni waliochoma nchi 29 October mwaka jana sio uhalifu ni uwajibikaji.
Samia mhalifu, na nyinyi wote mliotekeleza uhalifu aliopanga ni lazima muwajibishwe; hakuna namna nyingine.
Hivi vimaneno humu JF havina msaada wowote kwa mhalifu Samia.
 
Kwa kukufungua tu akili yako, Hakuna wa kumfanya chochote Mheshimiwa Rais akiwa anatekeleza kiapo cha urais wake.
 
Hiyo mitutu inayomzunguka, itazame tena kwa makini zaidi. Ni hiyo hiyo itakayommaliza..
Ni shaba moja tu; kwisha kazi.
Nyinyi wengine tunatumia mawe tu kuwapopoa nguruwe nyie.
Mtahangaika sana nyinyi kanga mliokosa manyoya. SSH yupo mpaka 2030.
 
Ni shaba moja tu mkuu, tena atakuwa amebahatika sana kwa hali hiyo.
Vinginevyo mwisho wake ni wa aibu kubwa sana.
Samia kafungua shughuli ya upanuzi wa bandari mchana huu, Tanzania inazidi kufunguka kiuchumi, mtaumia sana nyinyi mnaoishi na maumivu mioyoni.
 
Samia ni mhalifu, Jambazi muuaji, anayeshikilia mamlaka kwa mabavu. Shughuli pekee inayomsubiri ni kuwajibishwa kwa uhalifu wake.

Hata uimbe nymbo toka ahera, hizo nyimbo haziwezi kubadili hali hiyo.
Samia mhalifu ni lazima awajibishwe.
 
Mtaishia kutoa mapovu mpaka 2030 October.
 
Back
Top Bottom