Ni wazi kabisa kuwa huna akili, vinginevyo usingekomalia uhalifu na uovu kwa waTanzania uliofanywa na Samia na Genge lake.Bado wewe mwenye akili unaongea na mtu asiye na akili, SSH yupo mpaka 2030.
Sababu za wewe kukomalia hali hii ya uhalifu ni wazi inakuondolea sifa za mtu aliyena kaili timamu.
Hilo la Samia Mhalifu kuwepo hadi 2030; hata wewe mwenyewe linakutisha sana kuliandika humu.