Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Hiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa anawaya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi, ni hasara kwa Taifa.
===
SAHIHISHO
Emmanuel Nchimbi alizungumza haya Septemba 13, 2024 kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam.
===
SAHIHISHO
Emmanuel Nchimbi alizungumza haya Septemba 13, 2024 kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam.