ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
D
Mbona sielewi elewi hii kitu ??!
Mambo yanaenda haraka haraka sana Bandugu. !!
Je ndio maana na Mjomba Polepole anajiamini sana na hana wasiwasi ??!
Ngoja Tusubiri tuone 😳 !
Duh 🙄 !Hiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.
View attachment 3429817
Mbona sielewi elewi hii kitu ??!
Mambo yanaenda haraka haraka sana Bandugu. !!
Je ndio maana na Mjomba Polepole anajiamini sana na hana wasiwasi ??!
Ngoja Tusubiri tuone 😳 !