Hakuna mahali nimesema polepole anakosea kuongea hayo anayoongea, ishu yangu n hizi press za kila siku, mm nataka anyooke tuu kwenye press mojaNikija nyumbani kwako nikawa nasema kuna watoto wanachafua nyumba yako, wanajisaidia ndani n.k siwasemi wao. Nakusema wewe. Inahitaji tu kuelewa kuwa hili analosema Nchimbi ni mwendelezo wa kuonesha Serikali ni dhaifu. CCM hawawezi kuwa salama sababu serikali na rais ni wao. Hicho kikundi kama kimeshindikana serikali iachie madaraka.
Samia bushiri anatumika na wahalifu kina rostamHiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.
View attachment 3429817
+ HUnapotoa taarifa yoyote Zingatia kanuni ya 5W
Who
What
Where
When
Why
Hiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.
View attachment 3429817
CCM INAKEMEA MATENDO YA UTEKAJI,NDICHO NCHIMBI ANACHO MAANISHA,CHAMA CHA MAPINDUZI KIMEKUWA HAKILALI KUHAKIKISHA UTEKAJI UNAKOMESHWA NA MAKUNDI YA KIUNI,HATA RAIS WETU AMEWAHI KULIONGELEA HILI NA KUCHUKIZWA MNO NA SUALA HILI,MAFANIKIO YANAONEKANA WAZI WAZI KATIKA KIPINDI CHA MIEZI 6 ILIYOPITA HAKUNA TUKIO LA AINA HII.Hiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.
View attachment 3429817
EXACTLY...NA KAMA KUNA KA KIKUNDI KANAWAZIDI NGUVU, BASI HAWAFAI KUONGOZA.......WAJIUZULUHapa sasa umeongea lugha ninayoongea. Anaonesha kuwa Serikali ni dhaifu. Kwa hili haichafui ccm. Anaipaka samadi. Sababu kama kuna kakikundi kanafanya hivyo basi kana nguvu sana.
Katumwa na mwenyekiti wa ccm awahadae watanzania ni mbinu za kupoza joto la siasa na pia kujaribu kumfunika polepoleHiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.
View attachment 3429817
Anza na hivi ili upate mtiririko mzuri:Unapotoa taarifa yoyote Zingatia kanuni ya 5W
Who
What
Where
When
Why
Ni kweli hii ni mbinu ya kuwahadaa watanzaniaItakuwa ni mind game, wanacheza na akili zetu
Serikali ni very powerful ni alfa na omega kwa duniani, haiwezi kujihusisha na cheap methods za kuteka watu ambao hawawezi leta damage yoyote kwa huo muhimili, hii imekuwa ni shortcut/cheap politicking dhidi ya serikali na chama tawala, hasa kwa wakati huu wa General electionsSerikali iliyopo madarakani ni ya chama gani? Huwezi ji distance na utekaji ukasema kakikundi na huku una jeshi na policm
Unatumia akili au makili?Hapo anaisafisha CCM
Kwamba Kuna watu/kundi la watu wanateka (ila sio CCM) kwa ajili ya kuichafua CCM.
Hapo amepita mbali na Gwajima.
Kwani hajui kuwa Samia na genge lake ndio wahusika wakuu? Acheni unafiki nyie mbogambogaHiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.
View attachment 3429817