Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,553
- 35,424
5W + HUnapotoa taarifa yoyote Zingatia kanuni ya 5W
Who
What
Where
When
Why
5W + HUnapotoa taarifa yoyote Zingatia kanuni ya 5W
Who
What
Where
When
Why
Safi fukuzeninkwanza police mliowatuma kuua na Usalama wote ili Taifa liwe safiHiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.
View attachment 3429817
Aliongea lini na wapi?Hiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.
View attachment 3429817
🙋✍️👏👍🤝🙏No, not at all, listening carefully, Nchimbi is exculpating the government, while Gwajima is pointing a finger at the government being the culprit!
Bi.Chura kaingia 18 za Mwamba Nchimbi😂Hiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.
View attachment 3429817
Aliongea hayo 13 September 2024, wakati wa sakata la utekaji na mauaji ya Mzee Ali Kibao, in short alikuwa anakisafisha chama cha mapinduzi.Aliongea lini na wapi?
🤣 🤣 🤣 🔊Zitakuwa mvi za kichwani zimeanza kubadilika rangi tena🤔
🙋✍️👏👍🤝🙏Ni kweli wapo Watekaji ndani ya CCM lakni wako chini ya Mwanyekiti ambaye ni Amiri mkuu wa nchi hii kwa kila kitu.
Kule Bangaldeshi kuna Kikundi fulani cha kutekeleza amri ya kulinda maslahi ya mkubwa . Kikundi kile kiko chini ya mkubwa wa nchi yao .
Hicho Kikundi kinapita na kadi za benki zenye uwezo kama wa funguo malaya ili kuwarahisishia kufanya jambo lolote kwa muda wowote katika mazingira yoyote bila kupungukiwa na fedha . Kikundi hicho kinaweza kikamteka mtu na kumpeleka kokote maana muda wote magari yao yana mafuta na wanabadli gari wanavyotaka wao hata wakitaka gari mpya .
Hata wakitaka kujenga nyumba au kupangisha nyumba kariba na mtu wanayemuwinda wanajenga fasta au wanapanga fasta kwa gharama yoyote .
Kuna watu walishangaa DAB kuwa na mapesa mengi na kununua viwanja vya mabilioni .
Mfano wa Bangladeshi unaweza kutufungua macho.
Watawala wa Dunia hii wanatumia fedha za umma 2anavyotaka . Hawana huruma na hawajawahi kuwa na huruma na mtu wa chini.
Ukitaka kujua hawana huruma kabisa basi nenda Hospitali uangalie wagonjwa wa figo ,kisukari na presha wanavyoteseka wakisuniri hatma yao na fedha zao kuwa kama Luku na pumzi kuwa umeme.
Tunataka Katiba mpya ili tuchague watu watakaowaomea huruma Watanganyika katika mateso yao katikati ya Rasiliali nyingi alizoumba MUNGU na sio Kikwete wala Samia .
Rasilimali za Mungu kwa ajili ya Wote lakni Samia anajawa na tamaa kama vile yeye ndiye Muumbaji wa Mbingu na ardhi.
Dr. samia anasabanisha Mungu analalamikiwa sana na watu . Rais samia anajikweza juu ya Mungu aliyeumba vitu vyote kwa sanabu tu ya uroho wa madaraka.
Wewe unawaamini hawa.unadhani anadhamira ya kweli.Mbona walipokuwa wanauwawa wana CCM kibiti walichukua hatua ila kwakuwa sasa wanauwawa CDM ni drama drama tu..Hiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.
View attachment 3429817
No, not at all, listening carefully, Nchimbi is exculpating the government, while Gwajima is pointing a finger at the government being the culprit!
Ww mtoa mada nadhani ndo hujamuelewa Nchimbi, jamaa anasafisha njia afu Ww unaona anakosea 😂 Kweli siasa ni mchezo wa akili, ukiwa na akili ndogo unabebwa kama mtoa mada alivyobebwa
Acheni uchonganishi, ya zamani hiiHiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.
View attachment 3429817
Hiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.
View attachment 3429817
Fine, lakini yeye ni second to Samia with regard to political power commanding heights in Tanzania? Am I right?Inahitaji tu kuelewa kuwa hili analosema Nchimbi ni mwendelezo wa kuonesha Serikali ni dhaifu
Fine, lakini yeye ni second to Samia with regard to political power commanding heights in Tanzania? Am I right?
Kwahiyo anajilaumu? au ni lijinga kiasi kwamba hajioni kuwa yeye ni part and parcel ya utekaji huo? Anamwambia Samia?