Nchimbi: Mtu au kikundi kinachofanya utekaji kinaharibu taswira ya CCM

Nchimbi: Mtu au kikundi kinachofanya utekaji kinaharibu taswira ya CCM

D
Hiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.

View attachment 3429817
Duh 🙄 !
Mbona sielewi elewi hii kitu ??!
Mambo yanaenda haraka haraka sana Bandugu. !!

Je ndio maana na Mjomba Polepole anajiamini sana na hana wasiwasi ??!
Ngoja Tusubiri tuone 😳 !
 
Polepole,Gwaji boy na Nchimbi naona kama tyuni ni moja ila mdundo tu ndiyo tofauti
Nimekuwa nikijiuliza Gwajima alipata wapi ule ujasiri alipoita ile press 😳
Then all of a sudden anakuja tena Polepole na mambo ya press za mitandaoni then kama hiyo haitoshi anakuja Njomba Nchimbi na makemeo yanayohusiana na yale yale ambayo yalianzishwa na Njomba Gwajima 😳🙄 !
Je something is cooking 🥘 ????!!

Ngoja Tusubiri tuone hii movie 🎥 !
 
Hakuna kitu kinafanyika bila mpango kazi
 
Video ya zamani hiyo. Sio mpya. Ni baada ya kifo cha mzee Kibao
Tena anaongea kwa context nyingine kabisa.

Watanzania ni shida sana, these people are too gullible.

Halafu wakitoka hapo wanalaumu watu wasiotaka stress za siasa kwa kufuatilia team za mpira ndio wanawachelewesha.

Hii jamii yetu ni beyond, yaani wafuasi wa siasa wanapenda kuongopewa sana. Na kuwachota akili wala sio mission,

They will be anything which suits their narrative.
 
Nchimbi: "Kitendo chochote cha utekaji watu, mauajinya watu, madhara yake ni umma kukukataa"

Na ndiyo maana hatumtaki Samia, maana hilo kundi tuliambiwa na Gwajima kuwa linaripoti moja kwa moja kwake.

Ndiyo maana hatumtaki Mchengerwa, kwa sababu, tumeambiwa hilo kundi ndiye anayelimamia.

Hawa watu wanaonuka damu za Watanzania wenzetu, kwa kweli hawatufai kwa lolote. Kuwakataa tu haitoshi, bali wanatakiwa siku zijazo wasimame kizimbani, na wahukumiwe sawasawa na uovu wao.
 
Hiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.

View attachment 3429817

Mbona wanajulikana. Sativa muhanga wa Utekaji kamtambua Mafwele sasa kuna sababu gani ya kuzungukaxunguka.
 
Hiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.

View attachment 3429817
Ukiona kauli kama hizo wameanza kuzitoa ni wazi wameshajua kuwa watanzania wamechukizwa sana na matendo yao ya hovyo ya uuaji, utekaji, utesaji na kusingizia kesi za kipuuzi wanaowakosoa.
 
Who is Jesus?
Jesus is the Son of God, the Savior of the world, who gave His life to rescue us from sin and death.

What did He do?
He died on the cross, was buried, and rose again to offer us eternal life.

Why did He do it?
Because God so loved the world, He desires that no one should perish, but that all should come to salvation.

Where can you find salvation?
Salvation is found in Christ alone. No matter where you are, He is near to all who call on Him.

When should you believe?
Believe today, tomorrow is not promised. Now is the day of salvation (2 Corinthians 6:2)

Ubarikiwe, umeiweka vizuri sana.
 
Anza na hivi ili upate mtiririko mzuri:

Who
did
what
when.
where
and
How.
Halafu unganisha doti za ushahidi wa mtiririko huo...

Hilo la why, ni ngumu kulijua maana kisheria kuna ile kitu inaitwa actus reus na mens rea.. hayo ni ya kiuchinguzi zaidi.
Asante sana Mkuu uelewa wako wa mambo uko sawia.
 
Hiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.

View attachment 3429817
Muache utoto basi! Watu makini wanawaona wajinga tu. Hii clip inayo viral ni Katibu Mkuu alipofanya press conference baada ya kifo cha ndugu Ali Kibao, tukio ambalo Mhe. Rais na Amiri Jeshi Mkuu alilaani. Too low!
 
Alilaani au alilaaniwa? Hakuwahi laani mauaji. Alisema ni drama.
 
Kauli ya nchimbi nsio kauli ya chama

Na imeku hivyo siku zote
 
Back
Top Bottom