Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Kila mwenye akili timamu anajua ukweliHiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.
View attachment 3429817
Hapo anaisafisha CCMHiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa ana waya waya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi.ni hasara kwa Taifa.
View attachment 3429817
Hata Nchimbi hafai maana ni wale wale wanafiki wa siku zoteKweli kabisa! Mtu zaifu kama Samia hafai kutuongoza.
Hadi Ufipa salamu zimefika 😂✔️Kila mwenye akili timamu anajua ukweli
Itakuwa ni mind game, wanacheza na akili zetuEverything is just mind game , they're playing with public mind , alikuwa wapi kuongea ,kisa umefikia uchaguzi.