Tetesi: Nchimbi na Makalla Jiandaeni hamtakiwi CCM, Sabaya kuwa Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro na Musiba kuwa mkuu wa mkoa wa Mara

>RAIS WETU MPENDWA USIYAFANYE HAYA YALIYOBUNIWA NA HUYU MTETESI, MADONDA YA SABAYA BADO MABICHI, SANA KWA WATU WA ENEO HILO, MUSIBA NAYE ABAKIE KAMA CHAWA DUME INATOSHA!
 
Dr Bashiru Ally
Hizi tetesi si nzuri!!! Kwa nini taarifa zinavuja namna hii( kama itatokea)?

Au ni mbinu za kuharibiana? Mimi sioni tatizo mtanzania kuteuliwa kuchukua madaraka, tatizo langu ni kubashiri taarifa za kwale (kama ikitokea)?

Ahamie Dodoma, jumla!
 
we umebanwa mavi
 
Trump amenusurika shambulio la pili lililolenga kummaliza.
 
Kwani umepewa usemaji au?
 
Madhara ya kuandika uzi huku kukiwa na mtu anakupumulia juu kifuani....! Ndio haya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…