Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
>RAIS WETU MPENDWA USIYAFANYE HAYA YALIYOBUNIWA NA HUYU MTETESI, MADONDA YA SABAYA BADO MABICHI, SANA KWA WATU WA ENEO HILO, MUSIBA NAYE ABAKIE KAMA CHAWA DUME INATOSHA!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
>RAIS WETU MPENDWA USIYAFANYE HAYA YALIYOBUNIWA NA HUYU MTETESI, MADONDA YA SABAYA BADO MABICHI, SANA KWA WATU WA ENEO HILO, MUSIBA NAYE ABAKIE KAMA CHAWA DUME INATOSHA!
SATIVA alipelekwa Arusha kutoka Ostabay Police DSM. Hata hivyo alitangaza ameokoka na akaombewa.Tangu Bashite arudi kwenye mfumo matukio ya kutupana ununio mabwepande yamerudi kwa kasi sana.
Hizi tetesi si nzuri!!! Kwa nini taarifa zinavuja namna hii( kama itatokea)?Dr Bashiru Ally
we umebanwa maviKuna mabadiliko kidogo ya kiuongozi yatafanyika hivi Karibuni.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kuwa Sabaya na Musiba kuwa mkuu wa Mkoa wa Mara huku Paul Makonda akitazamiwa kuwa katibu mkuu mpya CCM, na Polepole Humphrey atakuwa Waziri wa Tamisemi.
Dr Bashiru Ally kuwa waziri wa Mambo ya ndani na Ally Happi atatolewa Chamani na kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha
Kwani umepewa usemaji au?Kuna mabadiliko kidogo ya kiuongozi yatafanyika hivi Karibuni.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kuwa Sabaya na Musiba kuwa mkuu wa Mkoa wa Mara huku Paul Makonda akitazamiwa kuwa katibu mkuu mpya CCM, na Polepole Humphrey atakuwa Waziri wa Tamisemi.
Dr Bashiru Ally kuwa waziri wa Mambo ya ndani na Ally Happi atatolewa Chamani na kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha
Madhara ya kuandika uzi huku kukiwa na mtu anakupumulia juu kifuani....! Ndio haya!Kuna mabadiliko kidogo ya kiuongozi yatafanyika hivi Karibuni.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kuwa Sabaya na Musiba kuwa mkuu wa Mkoa wa Mara huku Paul Makonda akitazamiwa kuwa katibu mkuu mpya CCM, na Polepole Humphrey atakuwa Waziri wa Tamisemi.
Dr Bashiru Ally kuwa waziri wa Mambo ya ndani na Ally Happi atatolewa Chamani na kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha
Tunachubiri muda huo.Kwenye uchaguzi wa Mwakani, uteuzi wa ccm kwa cheo cha Rais, utakuwa surprise kama ilivyokuwa kwa Magufuli....
Tangu Bashite arudi kwenye mfumo matukio ya kutupana ununio mabwepande yamerudi kwa kasi sana.