Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

zenji wameshaingia kwenye maridhiano, bado huku tuingie maridhiano chapu tupate katiba mpya

Mkuu zenji ni wameridhiana au kina Jusa na Mzee Omary wamelambishwa asali???

Kama ni hivyo bhasi TUNDU LISSU ndio ameharibu mchezo kutokana na ninavyoona mpaka Sasa. Mchezo ulikua ni kubadili kanzu ila chupi ile ile.

Zenji wakaitengeneza ACT kureplace CUF na huku bara mchezo ulikua ni MWAMBA alambishwe asali pamoja na kupewa majimbo kadhaa.

Hayo ndio yalikua matunda ya 4R, MWAMBA alishaingia kwenye mfumo shida ikaja kwa T.A.L

T.A.L hakuwepo katika kamati ya chama ya maridhiano, hivyo waliokwenda katika vile vikao wakiongozwa na MWAMBA walikubali zile ahadi za maneno kutoka kwa CCM.

Zingatia kwenye ushahidi mahakamani kwamba wao walikua wakiandika barua ila CCM walijibu kwa mdomo na mwishoni wanasema MWAMBA ndio alikwenda kuongea na Kinana + mmiliki wa 4R.

Ugomvi wa T.A.L na MWAMBA ulianza pale T.A.L alipokataa kulamba asali. Kuna mikutano siikumbuki vizuri T.A.L alikua anakandia kwa kauli hii "SERIKALI YA NUSU MKATE". Hapa MWAMBA ndio alikasirika na kumchukia T.A.L

Mpango unasukwa ili kumtoa T.A.L kwenye nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama.

Utakumbuka T.A.L ndio alikua wa kwanza kuchukua form ya kugombea na kwa kuwa T.A.L alikua hajui plan ya MWAMBA bhasi aliamini kwamba MWAMBA bado anafaa kuwa mwenyekiti hivyo yeye alirudi kuchukua form ya makamu mwenyekiti.

T.A.L anashtukia mchezo, T.A.L baada ya kuchukua form anaona MWAMBA kama hana Mpango vile ndio ikabidi ajiulize imekuaje MWAMBA hataki uenyekiti?

Wakamtonya anakuundia zengwe ili nafasi yako aichukue yule dalali NJEWE. Hapo hapo T.A.L akabadili gia angani akarudisha form ya umakamu akachukua form ya uenyekiti.

THE REST IS HISTORY

T.A.L kwasasa anapambania ndoto yake na yupo mbioni kuitimiza.

T.A.L ndio baba mpya wa TAIFA kwenye upande wa Sheria, T.A.L anasababisha sheria zetu nyingi zibadilishwe na hasa KATIBA.

Bahati mbaya sana T.A.L hatofanikiwa kuwa rais.

Rais anayefuata ni JOHN HECHE itachukua zaidi ya miaka 7 kutokea, na kabla ya HECHE hakutakuwa na rais.

Rais anayefuata baada ya HECHE ni R.A.K

ShesRise_1 atakua first lady baada ya ungwe ya HECHE. If she make a good decision by now on what she's looking for.

Coming from the past and future ni mimi Zirlovimovic Vladimilovic Zirkov a time Traveller.
 
Sio lazima aseme hadharani fatilia speech zake kabla ya kujihudhuru utaelewa dhana ya uwajibikaji na kuwajibika
Sidhani kama dhamira yake ni kuachia madaraka mapema kiasi hicho.

Kuna uwezekano wa kuwepo kwa induced political pressure inayosukuma maamuzi haya.

Honestly sidhani kama political chess hii inachezwa kwa bahati mbaya.

Kinachoonekana hapa ni mkakati wa kuimarisha political roots na kujenga mtandao wa ushawishi wa muda mrefu.

Unaondoa watu ambao, kwa mtazamo wa uongozi uliopo huenda hawana tena umuhimu wa kimkakati, kisha unaweka watu wanaoonekana kuwa na longterm political alignment.

Hii si suala la kubadilisha watu tu ni suala la consolidation of power, strategic positioning, and control of political succession.

Kwa mtazamo huo nchimbi anaweza kuwa amejikuta kwenye unfair political substitution akiondolewa kwenye nafasi ambayo huenda haikuwa tena sehemu ya mpango wa muda mrefu wa kisiasa.
 
Ahaaa yaweza kua ni kweli ngoja tuone
 
Back
Top Bottom