Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

huku zenji mambo yanaenda smooth sana,
nawatakia kila la kheri branch ya bara 😁
Kwahiyo kazi ipo huku
Wewe naona asubuhi kabla jogoo hajawika utakua msaliti
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Wa Tanzania šŸ‡¹šŸ‡æ hili swala la Nchimbi lililosimamisha nchi tafsiri yake imekaaje?

Kuna maswali najiuliza hapa Naomba ku share nanyi

Hawa wafuasi waliojitokeza kumsifia Nchimbi na kumuona shujaa ni wana CCM wenyewe au ni wanachama wa vyama vingine?

Je, nani anajua Nchimbi amejiuzulu kwa maslahi binafsi au kwa maslahi ya taifa?

Na kama amejiuzulu kwa maslahi binafsi, bado anafaa kuonekana shujaa?

Na kama ni kwa maslahi ya taifa zima je ni mambo gani aliyofanya mpaka tuseme huyu kajiuzulu kwa maslahi ya taifa?
Kama yapo share hapa!

Jambo lingine, hili swala la Nchimbi kujiuzulu kwa nini linasherehekewa na upinzani wakati huo huo upinzani unasema hautambui serikali iliyopo?

Inawezekaje je kusherekea mtu kujiuzulu nafasi ambayo wewe huitambui?
Hii imekaaje?

Na kama tunasema kujiuzulu kwake ni jambo kubwa na la kupongezwa basi tunapaswa pia kujiuliza:

Ni nini hasa alichokifanya mpaka kuondoka kwake kuwe jambo la kusherehekea?

Tusije tukawa tunasherekea mtu kwa sababu tu ameondoka kwenye nafasi, bila kuangalia sababu ya kuondoka kwake na impact yake kwa taifa

Karibuni kwa maoni Kosoa, ila weka FACT

Na pia shauri nini kifanyike

Maswali ni mengi, wewe chagua kipande chako, weka maoni yako

ShesRise_1 🤚
Kikubwa amewajibika
 
Sio lazima aseme hadharani fatilia speech zake kabla ya kujihudhuru utaelewa dhana ya uwajibikaji na kuwajibika
 
Back
Top Bottom