Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

i. barua ile iliyopostiwa ya taarifa kwa umma ya nchimbi inaonekana imeandaliwa vyema sana karibu kila kitu kipo on point, mule anasema "amemuandikia rais kumjulisha kua ameamua kustaafu siasa ...... hivyo anajiuzulu" --- sio kuomba kustaafu , ni kumpa taarifa/notice kama ambavyo kihalali inapaswa, kujiuzulu hakuhitaji wewe uombe maana ni uamuzi binafsi
Mkuu umeiweka vyema hii, hata mimi kwasasa nimewaza tofauti na bado naunga doti inawezekana Nchimbi kaplay kizalendo zaidi na endapo ccm mtandao wakipoteza pambano bhasi Nchimbi nitampa rank za juu kabisa kwenye uzalendo na uafisa kipenyo.

Nimewaza tofauti baada ya ile reaction kutoka chama Cha kijani, ni kama hawakutarajia ile taarifa yake, ile taarifa ni kama iliwavua nguo na maamuzi waliokuja nayo ni yale ya kumvua uanachama.

Haya maamuzi ya kumvua uanachama ni hayakua na tija maana barua yake ni alishajivua uanachama kwa kustaafu siasa, hapa Nchimbi alikua mbele ya muda.

Pia ile barua iliwapa mtego wanaccm kwa kutaja tarehe rasmi ya kustaafu, hata kama walimvua uanachama bado Nchimbi alikua na mandate ya makamu wa rais mpaka tar4.september. Hapa sijajua lengo lake lilikua Nini ila naamini Kuna watu watakuja kuwajibishwa.

ii. barua/taarifa ya katibu mkuu kiongozi kutoka ikulu ikaja kusema jioni ile kwamba rais amepokea ombi la nchimbi kujiuzulu na kwamba ameridhia ombi hilo, japo hatujaona hiyo barua halisi ya nchimbi kweda kwa rais lakini kwa lugha iliyotumika kwenye taarifa kwa umma itakua ngumu kuamini kama kwenye barua rasmi "kaomba kujiuzulu" bali katoa taarifa ya kujiuzulu

Mkuu ile barua pia imemsiliba sana Samia, pale aliposema nilimuahidi Samia kwamba nitajiuzulu endapo atahitaji mabadiliko. Mkuu hii nayo imekaa kimtego sana maana alikua ametoka kuongelea swala la katiba mpya.

Kuhusu taarifa ya Ikulu ilifaa wajibu kwa kusema Samia ameridhia makamu wa rais kujiuzulu ila sio kusema ombi la kujiuzulu maana yeye alitangaza kujiuzulu na kuachia nyazifa zote.

kwa kupitia jambo hilo napata ukakasi kuamini kwamba ile taarifa kwa umma kaandikiwa maana iweje iwe ipo vizuri sana kushinda hata response kutoka ikulu.
Nakubaliana nawewe ila barua aliiandika mwenyewe na tayari alikua mbele ya muda kuwazidi CCM mtandao na Ikulu.

Swali langu kwako mkuu, kupitia hili sakata la Nchimbi tuamini kwamba Nchimbi kaendeleza bifu la E.N.LOWASSA Na Msoga???
 
Mkuu umeiweka vyema hii, hata mimi kwasasa nimewaza tofauti na bado naunga doti inawezekana Nchimbi kaplay kizalendo zaidi na endapo ccm mtandao wakipoteza pambano bhasi Nchimbi nitampa rank za juu kabisa kwenye uzalendo na uafisa kipenyo.

Nimewaza tofauti baada ya ile reaction kutoka chama Cha kijani, ni kama hawakutarajia ile taarifa yake, ile taarifa ni kama iliwavua nguo na maamuzi waliokuja nayo ni yale ya kumvua uanachama.

Haya maamuzi ya kumvua uanachama ni hayakua na tija maana barua yake ni alishajivua uanachama kwa kustaafu siasa, hapa Nchimbi alikua mbele ya muda.

Pia ile barua iliwapa mtego wanaccm kwa kutaja tarehe rasmi ya kustaafu, hata kama walimvua uanachama bado Nchimbi alikua na mandate ya makamu wa rais mpaka tar4.september. Hapa sijajua lengo lake lilikua Nini ila naamini Kuna watu watakuja kuwajibishwa.

Mkuu ile barua pia imemsiliba sana Samia, pale aliposema nilimuahidi Samia kwamba nitajiuzulu endapo atahitaji mabadiliko. Mkuu hii nayo imekaa kimtego sana maana alikua ametoka kuongelea swala la katiba mpya.

Kuhusu taarifa ya Ikulu ilifaa wajibu kwa kusema Samia ameridhia makamu wa rais kujiuzulu ila sio kusema ombi la kujiuzulu maana yeye alitangaza kujiuzulu na kuachia nyazifa zote.

Nakubaliana nawewe ila barua aliiandika mwenyewe na tayari alikua mbele ya muda kuwazidi CCM mtandao na Ikulu.

Swali langu kwako mkuu, kupitia hili sakata la Nchimbi tuamini kwamba Nchimbi kaendeleza bifu la E.N.LOWASSA Na Msoga???
Umebadili mawazo baada ta reply ya Lax ?
 
HAPANA.

Aya yangu ya kwanza nimeweka walakini "endapo" pia bado naunganisha dot akivuliwa na yule rais wa mawe bhasi nitaweza kuandika uzi wa prediction zangu.

Kwasasa msimamo ni uleule NCHIMBI aliomba ridhaa kwa wananchi kwanini kujiuzulu amwambie Samia???

Hayo mabadiliko aliyoyasema yanahusu nchi au ni tofauti zao???

Nakusalimu mrembo hiiii....🤙
 
Kama ungesoma taarifa ya Dr. Nchimbi akitangaza kujiuzulu ungekuwa na majibu ya hayo maswali yako.

Dr. Nchimbi alisema; "Nimeamua kujiuzulu baada ya kujiridhisha kuwa Mh. Rais hana nia ya kuendelea kufanya kazi na mimi".

Hapo ndipo utajiuiiza, kosa la Dr. Nchimbi ni lipi?

Utagundua Dr. Nchimbi hana kosa, kutaka watanzania tupiganie Katiba Mpya ni haki yetu, na ni uhuru wake kutoa maoni yake.

So, kujibu swali lako, Dr. Nchimbi ni shujaa wa watanganyika.
Nchimbi hajaonekana hadharani tangu kabla ya taarifa hiyo kusambaa.

Una uhakika gani hiyo taarifa kaiandika yeye?
 
Kama haikuwa taarifa yaje angekanusha, kwanini kumsemea?
Ndiyo maana mimi nataka Nchimbi afanye press conference na kujibu maswali ya watu.

Vinginevyo, tutajuaje hata kama yupo hai?

Yani sasa hivi, wewe unajuaje Nchimbi yupo hai na hajauawa na hiyo barua ikachongwa na watu baki tu?
 
HAPANA.

Aya yangu ya kwanza nimeweka walakini "endapo" pia bado naunganisha dot akivuliwa na yule rais wa mawe bhasi nitaweza kuandika uzi wa prediction zangu.

Kwasasa msimamo ni uleule NCHIMBI aliomba ridhaa kwa wananchi kwanini kujiuzulu amwambie Samia???

Hayo mabadiliko aliyoyasema yanahusu nchi au ni tofauti zao???
Ahaa basi sawa ngoja tuone
Nakusalimu mrembo hiiii....🤙
Nipo salama mkuu asante
 
Ndiyo maana mimi nataka Nchimbi afanye press conference na kujibu maswali ya watu.

Vinginevyo, tutajuaje hata kama yupo hai?

Yani sasa hivi, wewe unajuaje Nchimbi yupo hai na hajauawa na hiyo barua ikachongwa na watu baki tu?
Naisubiri siku nikiona familia yake inaanza kupaza sauti ndio nitaamini Dr. Nchimbi yupo kwenye tatizo.

Lakini kwa sasa familia ipo kimya, mimi naanza vipi kupiga kelele? What if mchana wa leo walikuwa wote mezani wanakula ugali!.
 
Familia yake mtu anayejulikana ni John.

John ni mbunge wa CCM Nyasa. Alikuwa analalamika kadukuliwa siku nyingi sana kabla Nchimbi hajajiuzulu. Hawa wote wamedukuliwa mpaka watoto.

Wote wametishwa na CCM kimsingi ni mateka wa mfumo.

Pia, wewe unaangalia hili suala kama suala la kumtetea Nchimbi. Ndiyo maana unaipa jukumu kubwa familia. Hili suala ni zaidi ya kumtetea Nchimbi.

Hiki si suala la kumtetea Nchimbi tu, kuna point za kumuhoji Nchimbi ajieleze kwa wananchi kwa nini kajiuzulu.

Nchimbi kachaguliwa kwenye tiketi moja na Samia, hakuna kura moja ambayo kaipata Samia ambayo hakupigiwa Nchimbi. Kwa nini Nchimbi ajiuzulu kwa kutoelewana na Samia tu (kama sababu zilizotolewa kwenye barua ni za kweli) wakati Nchimbi hakuwekwa kwenye U Makamu wa Rais na Samia, kawekwa na kura za Watanzania (uhalali wa kura ni suala lingine, twende na story yao tu kwanza).

Nchimbi kama kweli kachaguliwa na takriban 98% ya wapiga kura, au hata vhini ya hao, huoni kuwa yeye kujiuzulu kwa sababu mtu mmoja tu, Samia, hakumtaka, ni suala linalohitaji angalau ufafanuzi kwa hao 98% ya wapiga kura waliompigia kura Nchimbi?

Huoni kwamba Nchimbi kujiuzulu bila kuwapa waandishi wa habari angalau nafasi ya kumuhoji ni dharau kubwa sana kwa Watanzania, kwamba kura yao haina maana, wanaweza kumchagua mtu awe Makamu wa Rais, halafu akagombana na Rais tu, halafu huyo mtu akajiuzulu bila hata kuwaelezea kwa nini kajiuzulu baada ya kuchaguliwa na watu, kwa nini anakuwa kama anawajibika kwa rais zaidi ya kwa wananchi?
 
Haya maamuzi ya kumvua uanachama ni hayakua na tija maana barua yake ni alishajivua uanachama kwa kustaafu siasa, hapa Nchimbi alikua mbele ya muda.
hapo kwenye kustaafu siasa kidogo kunachanganya, yani anavosema kastaafu siasa anamaanisha kajitoa kwenye chama pia?
Pia ile barua iliwapa mtego wanaccm kwa kutaja tarehe rasmi ya kustaafu, hata kama walimvua uanachama bado Nchimbi alikua na mandate ya makamu wa rais mpaka tar4.september. Hapa sijajua lengo lake lilikua Nini ila naamini Kuna watu watakuja kuwajibishwa.
Hapana mkuu kwa maelezo ya katiba ni kwamba uanachama ukiondoka na kiti chake kipo wazi, hivyo alivyosema kajiuzulu siasa kama pia alimaanosha kajoondoa ccm basi hata ike ya kutaja tarehe sep 4 ni makosa pia ,

Naungana na wewe kwenye kutafakari barua ile ililenga kitu gani kutaja sept 4.

Na kwenye rekodi rasmi nchimbi hajaondoka ofisini kws kujiuzulu,, kwani kabla ya tarehe ya kujiuzulu kapoteza uanachama, yani mfano kabla ya sept 4 tuseme sept 2 kapata ajali na kufariki kwenye uhalisia sept 4 inabidi tuiache na kwenda na takwimu rasmi kwamba aliondoka kwa kufariki akiwa ofisini
 
hapo kwenye kustaafu siasa kidogo kunachanganya, yani anavosema kastaafu siasa anamaanisha kajitoa kwenye chama pia?
Mkuu nafikiri hivi, aliamua kujitoa katika chama chake pia "haya ni maoni yangu kutokana na tafsiri ya neno kustaafu" . Angesema anapumzika kidogo ingechanganya zaidi.

Hapana mkuu kwa maelezo ya katiba ni kwamba uanachama ukiondoka na kiti chake kipo wazi, hivyo alivyosema kajiuzulu siasa kama pia alimaanosha kajoondoa ccm basi hata ike ya kutaja tarehe sep 4 ni makosa pia ,
Mkuu hapa tutachanganya madesa, sawa katiba yetu haitambui mgombea huru. Lakini twende sawa hapa

Nchimbi ndiye alitangulia kuachia barua ya kujiuzulu kabla ya chama chake kumfurusha.

Nchimbi aliweka wazi pia kwamba kujiuzulu kwake kutaanza rasmi September 4. Hivyo katiba inatambua tar 4 September ndio Nchimbi alijiuzulu.

Kitendo Cha CCM kumfurusha uanachama ni kudandia treni kwa mbele. Wao ilifaa wamteue mtu wao alafu wasubiri siku tajwa akabidhiwe ofisi.

Hata hivyo tatizo ni mifumo ya nchi yetu utakumbuka wabunge Covid 19 walikaa bungeni miaka mi5 wakala posho na mishahara huku chama chao hakiwatambui.

Naungana na wewe kwenye kutafakari barua ile ililenga kitu gani kutaja sept 4.

Hapa ni kama Nchimbi alinusa kitu mbele alafu akaweka mtego. Kuna siku tutakua ukweli wake

Na kwenye rekodi rasmi nchimbi hajaondoka ofisini kws kujiuzulu,, kwani kabla ya tarehe ya kujiuzulu kapoteza uanachama, yani mfano kabla ya sept 4 tuseme sept 2 kapata ajali na kufariki kwenye uhalisia sept 4 inabidi tuiache na kwenda na takwimu rasmi kwamba aliondoka kwa kufariki akiwa ofisini

Hapa ndipo tunachanganya madesa, Kipi kina nguvu katika katiba yetu.

Je! Sheria ya uanachama iliyompa madaraka ya kuwa makamu wa raisi?

Au Sheria ya utumishi wa umma?

Tukitumia Sheria ya uanachama wa chama Cha siasa basi Nchimbi anakua hajajiuzulu bali amefutwa uanachama wa chama chake na nafasi yake ilibaki wazi wakaiziba.

Tukitumia Sheria ya utumishi wa umma bhasi Nchimbi alijiuzulu lakini nafasi yake ilijazwa kabla ya tarehe rasmi ya kujiuzulu.

Kwangu mimi Sheria ya utumishi wa umma ndio inanguvu kuliko hiyo ya uanachama. Lakini sijui labda tuite wanasheria watutafsirie hili.
 
Mkuu nafikiri hivi, aliamua kujitoa katika chama chake pia "haya ni maoni yangu kutokana na tafsiri ya neno kustaafu" . Angesema anapumzika kidogo ingechanganya zaidi.

Mkuu hapa tutachanganya madesa, sawa katiba yetu haitambui mgombea huru. Lakini twende sawa hapa

Nchimbi ndiye alitangulia kuachia barua ya kujiuzulu kabla ya chama chake kumfurusha.

Nchimbi aliweka wazi pia kwamba kujiuzulu kwake kutaanza rasmi September 4. Hivyo katiba inatambua tar 4 September ndio Nchimbi alijiuzulu.

Kitendo Cha CCM kumfurusha uanachama ni kudandia treni kwa mbele. Wao ilifaa wamteue mtu wao alafu wasubiri siku tajwa akabidhiwe ofisi.

Hata hivyo tatizo ni mifumo ya nchi yetu utakumbuka wabunge Covid 19 walikaa bungeni miaka mi5 wakala posho na mishahara huku chama chao hakiwatambui.

Hapa ni kama Nchimbi alinusa kitu mbele alafu akaweka mtego. Kuna siku tutakua ukweli wake

Hapa ndipo tunachanganya madesa, Kipi kina nguvu katika katiba yetu.

Je! Sheria ya uanachama iliyompa madaraka ya kuwa makamu wa raisi?

Au Sheria ya utumishi wa umma?

Tukitumia Sheria ya uanachama wa chama Cha siasa basi Nchimbi anakua hajajiuzulu bali amefutwa uanachama wa chama chake na nafasi yake ilibaki wazi wakaiziba.

Tukitumia Sheria ya utumishi wa umma bhasi Nchimbi alijiuzulu lakini nafasi yake ilijazwa kabla ya tarehe rasmi ya kujiuzulu.

Kwangu mimi Sheria ya utumishi wa umma ndio inanguvu kuliko hiyo ya uanachama. Lakini sijui labda tuite wanasheria watutafsirie hili.
Ccm kudandia treni kwa mbele kumfuta uanachama ni kitendo halali tu.

Fikiria tusema mwaka ule 2021 magu mwezi ule wa pili siku aje aseme mwisho wa mwaka yani dec 2021 nitajiuzulu na afate channel rasmi za kutekeleza jambo hilo, alafu mwezi wa tatu ndo msiba wa kitaifa kama vile, nafasi ya rais itahesabika kua wazi kwa jambo gani? Kifo cha rais, yale mambo ya kujiuzulu yanabaki tu kwenye historia.

MKuu kasikilize ile clip ya mwanasheria mkuu siku ike bungeni alafu pita kwenye vile vifungu utakuabaliana naye tu.

47. (4) Mtu hatateuliwa kugombea au kushika kiticha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganoisipokuwa tu kama----
(d) anazo sifa za kumwezesha kuwaMbunge au Mjumbe wa Baraza laWawakilishi;

hapo sasa kwa kua miongoni mwa sifa za uchaguzi/kugombea ni uanachama kiti kina kua wazi.
 
Mkuu unawatetea hawa mabaladhuli😂😂😂, jokes

Mkuu nakubali lakini hii ni assumption hiyo interval ya muda ni kubwa sana. Hapa CCM ilifaa watumie uungwana yaani wachutame tuu.

Na hapa ndio napata walakini mkubwa kwamba ile barua NCHIMBI ndiye aliiandika na aliiandika kwasababu Kuna vitu aliviona mbele kwahiyo alifanya kuwawahi tuu hao mabaladhuli wenzake.

Katiba yetu haiko vizuri, huyo mtu ameteuliwa kuwa makamu wa rais sawa nakubali. Lakini je! nani atabakia kuwa mwakilishi wa Jimbo lake??

Philip Mpango aliliacha jimbo halina mwakilishi, Ndenjembi pia wananchi wamenyang'anywa mwakilishi wao.

Kwanini isingekua wale wabunge 10 wa kuteuliwa na rais ndio wawe wanachukua hiyo nafasi???

Yote kwa yote KATIBA MPYA NDIO HITAJI KUU KWASASA.
 
ccm na uungwana wapi na wapi, ni kufuatilia tu kwa ukaribu hali inavyokwenda kwa sasa
 
Back
Top Bottom