Suala si kuonekana shujaa.Sasa unashauri nini kifanyike au angepaswa kufanya nini ili aonekane shujaa?
Retreat is not defeat. It is never seen as cowardice or failure, it is a smart, tactical tool used to protect people, trick an enemy, or set up a future victory.Nchimbi kafanya double betrayal.
Kwanza kamsaliti Samia kwa kujivika u kiranja kwenye mambo ambayo Samia hayataki. Hii imepelekea apewe pressure kujiuzulu.
Halafu kabanwa ajiuzulu, kawasaliti wananchi "waliompigia kura" na wanaotaka mabadiliko kwa kukubali kujiuzulu bila kukomaa aendeleze show yake ndani ya CCM..
Kimsingi kazisaliti pande zote mbili kwa pamoja, wanaotaka na wasiotaka mabadiliko.
Kama umeninukuu vizuri, hata mimi msimamo wangu ni huu mkuu. Alipaswa kukomaa kama Gachagua alivyokomaa.Ama, angechagua kushikikia agenda yaje ya kagiba mpya na kuwa the sane person in the room, angekataa kujiuzulu, hakuna wa kumlazimisha kujiuzulu bila imoeachment process. Na huko kwenye impeachment angemwaga madudu yote.
Tanzania hii ukiwa upande wa wananchi system itakuona hamnazo maana wadanganyika hawana akili
This is not retreat, this is surrender.Retreat is not defeat. It is never seen as cowardice or failure, it is a smart, tactical tool used to protect people, trick an enemy, or set up a future victory.
Sun Tzu, The Art of War.
May be atakuwa another Polepole, an activist.This ia not retreat, this is surrender.
Retreat is tactical. Nchimbi was not tactical.
Ndiyo maana hakuwa hata na insurance policy kwamba nasema maneno haya wakitaka kunitoa nitakuwa na kipi cha kuwatishia wasinitoe.
He is basically another Polepole.
Tofauti yake kaogopa kuuawa kakimbia kabla hawajamuua.
Sasa Nchimbi atarudi kwenye siasa wapi? CHADEMA?
My man 👊Retreat is not defeat. It is never seen as cowardice or failure, it is a smart, tactical tool used to protect people, trick an enemy, or set up a future victory.
Sun Tzu, The Art of War.
Naam, mimi nakuunga mkono mkuu, sijakupinga.Kama umeninukuu vizuri, hata mimi msimamo wangu ni huu mkuu. Alipaswa kukomaa kama Gachagua alivyokomaa.
Ndani ya CCM na mifumo yake hakuna mtu jasiri, wengi wamefika hapo kwa kubebwa na mifumo Tu, hakuna hata anayefikia robo ya kina HecheNchimbi kafanya double betrayal.
Kwanza kamsaliti Samia kwa kujivika u kiranja kwenye mambo ambayo Samia hayataki. Hii imepelekea apewe pressure kujiuzulu.
Halafu kabanwa ajiuzulu, kawasaliti wananchi "waliompigia kura" na wanaotaka mabadiliko kwa kukubali kujiuzulu bila kukomaa aendeleze show yake ndani ya CCM..
Kimsingi kazisaliti pande zote mbili kwa pamoja, wanaotaka na wasiotaka mabadiliko.
Hana backup yoyote🤣Sasa mtu kama huyo anajiuzulu vipi kiboya kama hivi?
Tatizo lenu Watanzania wengi mna imani sana na watu hata pale ambapo hamtakiwi kuwa na imani hivyo.May be atakuwa another Polepole, an activist.
To me naona kama ni retreat. Since jamaa ni mkongwe wa game najua atakuwa na plan na atakuwa na watu.
I believe kuna comeback.
Nimeliona hili kama tatizo kubwa.Ndani ya CCM na mifumo yake hakuna mtu jasiri, wengi wamefika hapo kwa kubebwa na mifumo Tu, hakuna hata anayefikia robo ya kina Heche
Yes when you are desperate you must fight. No matter what means the end will justify it.Tatizo kenu Watanzania mna imani sana na watu hata pale ambapo hamtakiwi kuwa na imani hivyo.
Mmemuamini Mrema.
Mmemuamini Mtikila.
Mmemuamini mpaka Afande Tesha.
Mmemuamini Polepole.
It's like you are so deperate for sonething you will believe anything, anyone.
Nchimbi ndiyo kamaliza safafi yake ya siasa, hata akiingia upinzani hatafanya lolote la tofauti.