Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
na bado yupo sana! Mmekwishaa!Tatizo la nchi ni kikwete
na bado yupo sana! Mmekwishaa!Tatizo la nchi ni kikwete
Hana backup yoyoteSasa mtu kama huyo anajiuzulu vipi kiboya kama hivi?
You need to be very smart and cleanSasa Nchimbi atapata ujasiri wapi wakati watu wana file lake lote kuanzia wanawake wake mpaka ufisadi wake?
May be atakuwa another Polepole, an activist.
To me naona kama ni retreat. Since jamaa ni mkongwe wa game najua atakuwa na plan na atakuwa na watu.
I believe kuna comeback.
Bit this is not a blow to CCM.Yes when you are desperate you must fight. No matter what means the end will justify it.
Kwa jinsi hali ilivyokuwa kwasasa any blow to ccm is a little joy to behold for the masses.
It is a blow to citizens and a celebration to Samuya gangBit this is not a blow to CCM.
This is power consolidation to Samia.
Your confusing your sadism and schadenfreude towards Nchimbi with happiness that there is a blow towards CCM.
Kundi la Samia limepata nguvu zaidi katika CCM. Kila mtu aliyekuwa anampinga Samia sasa ataogopa.
How is that a blow to CCM?
Ni katiba si Kikwete.Tatizo la nchi ni kikwete
May be atakuwa another Polepole, an activist.
To me naona kama ni retreat. Since jamaa ni mkongwe wa game najua atakuwa na plan na atakuwa na watu.
I believe kuna comeback.
Nchimbi hawezi kuwa kwamba hakuwa na influence kwa watu humo CCM. Hata kama itaonekana ni win kwa samia lakini bado kuna blowBit this is not a blow to CCM.
This is power consolidation to Samia.
Your confusing your sadism and schadenfreude towards Nchimbi with happiness that there is a blow towards CCM.
Kundi la Samia limepata nguvu zaidi katika CCM. Kila mtu aliyekuwa anampinga Samia sasa ataogopa.
How is that a blow to CCM?
zingatia aya ya mwisho ya mleta madaSasa unashauri nini kifanyike au angepaswa kufanya nini ili aonekane shujaa?