Nchimbi ni zaidi ya mhaini, alaaniwe na kila mtanzania

Nchimbi kafanya double betrayal.

Kwanza kamsaliti Samia kwa kujivika u kiranja kwenye mambo ambayo Samia hayataki. Hii imepelekea apewe pressure kujiuzulu.

Halafu kabanwa ajiuzulu, kawasaliti wananchi "waliompigia kura" na wanaotaka mabadiliko kwa kukubali kujiuzulu bila kukomaa aendeleze show yake ndani ya CCM..

Kimsingi kazisaliti pande zote mbili kwa pamoja, wanaotaka na wasiotaka mabadiliko.
Imenishangaza sana mtu katoka Kuba(sauti ya haraka haraka) anakuwa si jasiri, kwa Lowassa alionyesha ujasiri wa kumpambania lakini kwa Watanganyika kaamua ale kona ili abaki na kiinua mgongo, hakika yule mzanzibari hakukosea kule bungeni.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mambo ya leo ni mengi. Alichokifanya bwana Nchimbi kutangaza "kujiuzulu" umakamu wa rais ni zaidi ya uhaini. Nasema haya kwa sababu anuai.

Kwanza, kitendo cha kukubali kuachia nafasi yake baada ya kushinikizwa na wanaCCM mtandao, kinaashiria jinsi alivyo muoga kama kunguru, tofauti na watu wengine wanavyompamba na kumuona kama shujaa. Huyu jamaa sio shukaa bali ni mnafiq na muoga kama walivyo waoga wengine. Kama kweli Nchimbi ni mwanaume rijali, alipaswa kukomaa. Sio kuachia madaraka kirahisi rahisi kama alivyofanya. Kuachia madaraka kirahisi baada ya shinikizo dogo tu kutoka kwa wanamtandao, kutawapa kiki sana Msoga gang & Co. Sasa wataanza kuitafuna nchi kama mchwa na kuna tetesi Ridhiwani Kikwete ndiye anapigiwa chapuo kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais. Sasa manyang'au wataanza kuitafuna nchi hadi mfupa wa mwisho.

Nchimbi angekuwa jasiri, angepigana vita akiwa humo humo ndani hadi afukuzwe, kama alivyofanya Rigath Gachagua kule Kenya. Lakini, kinyume na matarajio ya wengi, amekubali kuwa kunguru muoga amekimbiza mbawa zake na kuwaachia mafisi waendelee kuitafuna nchi bila uwoga. Afadhali alipokuwa anaunguruma akiwa jikoni, mafisi walikuwa wanaogopa kuchukua minofu yote. Baada ya kuondoka sasa tutarajie mafisi kula hadi mzani. Na tusisahau wazungu wamemnyima misaada Samuya na genge lake. Kuanzia sasa, hicho kidogo kinachopatikana kutokana na vyanzo vya ndani kitakuwa kinapitiwa na mafisi kama upepo.

Pili, kwa mujibu wa katiba, Nchimbi anahesabika kama Makamu wa Rais mstaafu. Kwa maana hiyo, yeye na mwenza wake wataendelea kulipwa 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliyepo madarakani. Aidha, serikali itamjengea nyumba, kumpa walinzi, mafuta, madereva, wapishi, nk. Kwa ufupi, ataendelea kuenjoy maisha kama Makamu wa Rais. Na haya yote yanagharamiwa na kodi za wanachi maskini wanaokula mlo mmoja baada ya siku 2. Kwa mukdhata huu, mtu yeyote makini na mwenye akili zilizotimia, hawezi kushangilia kujiuzuru kwa Nchimbi kwani kitendo alichofanya ni mzigo kwa taifa na walipakodi wa nchi hii. Kwa maana nyingine, Nchimbi ameamua kuwa mtumishi hewa kwa kuamua kukaa pembeni huku akiendelea kula bata 80% ya Makamu wa Rais mpya atakayeteuliwa. Huu ni zaidi ya uhaini. Watu wanalia kila siku kuhusu uhaini ambao hauwaumizi wanaacha uhaini wa Nchimbi utakaowachakaza kiuchumi moja kwa moja.

Hii nchi ina wananchi wenye akili za kinyumbu sana. Tazama Tundu Lissu anataabishwa kwa zaidi ya mwaka gerezani kwa uhaini wa mchongo huku wananchi hao hao wakishangilia uhaini wa Nchimbi na kumuona shujaa! Ama kweli ni bora mtu ukose mali upate akili. Watanzania ni nani aliyewaroga?

Tatu, kitendo cha kujiuzulu kwa Nchimbi kitawasahaulisha wananchi mambo muhimu yanayoendelea hapa nchini. Kwa mfano, ghafla bin vuu kesi ya uhaini wa mchongo wa Tundu Lissu sasa imepoteza mashiko. Sasa hivi watu wote wamehamia kwa Nchimbi. Yaani watu tunaacha kufuatilia mambo ya msingi yenye umuhimu wa kitaifa tunafuatulia tamthlia za CCM za "kujiuzuru" kwa Nchimbi. Na sio tu kwamba CCM wametupoteza maboya kwa hii tamthlia bali watatumia mwanya huu kuiba fedha za umma na kuzitorosha nje ya nchi kwa manufaa yao na vizazi vyao. Huu sasa ndio uhaini halisi.

MAONI YANGU
Nitamuona Nchimbi shujaa ikiwa ataendelea na msimamo wake ule ule wa kudai Katiba Mpya. Polepole alipojiuzulu aliendelea na msimamo wake hadi walipomuua. Naye anapaswa kusimamia msimamo wake bila kujali chochote, hata ikibidi auawe kama Polepole alivyouawa. Akifanya hivyo atakuwa shujaa wa taifa na kila mtanzania atamkumbuka kwa ushujaa wake.

Nawasilisha.
​
aanze kwanza kulaania aliyekuzaa kwa kutuletea some one uselless as you
 
Katiba ya sasa haimpi Rais nguvu ya kumuondoa Makamu wa Rais.

Hakuna sehemu kwenye katiba ambapo Rais anaweza kumuondoa Makamu wa Rais.

Hilo ni jambo alilolikubali mwenyewe Nchimbi tu.

Kwenye hili la Nchimbi kujiuzulu, ni Nchimbi kawa weak kukubali kujiuzulu. Katiba haimlazimishi ajiuzulu kama Rais hampendi.

Kwenye hili, specifically, msiisingizie katiba.

Matatizo yetu mengine ni ya utamaduni, si ya katiba.
Katiba ndiyo iliyotengeneza huu mfumo unaomuwezesha Rais kutumia vibaya madaraka yake. Kumbuka Katiba inataka hawa viongozi wadhaminiwe na vyama vya siasa. Fazafaka ni Mwenyekiti wa CCM. Akiamua kigogo fulani afurushwe kutoka CCM, atafurushwa mapema asubuhi. Huyo kigogo akishafurushwa automatically anapoteza sifa za kushika nafasi aliyonayo. Ndiyo maana katika historia ya nchi hii hakuna kigogo ambaye amewahi kukomaa mpaka mwisho. Remember Aboud Jumbe? Remember Malecela? Remember Ndugai?

Usidhani uamuzi wao wa kuachia ngazi wanaufanya lightly!
 
May be atakuwa another Polepole, an activist.

To me naona kama ni retreat. Since jamaa ni mkongwe wa game najua atakuwa na plan na atakuwa na watu.

I believe kuna comeback.
Ukiona mtu ana kimbia vita bila kuijibubxjua hana silaha yoyote na anaona hana chance ya ku win.

He thought he had power standing as Vp kumbe hakujua kuna wajuba wanacontrol mzigo na yeye hana jambo
 
Katiba ndiyo iliyotengeneza huu mfumo unaomuwezesha Rais kutumia vibaya madaraka yake. Kumbuka Katiba inataka hawa viongozi wadhaminiwe na vyama vya siasa. Fazafaka ni Mwenyekiti wa CCM. Akiamua kigogo fulani afurushwe kutoka CCM, atafurushwa mapema asubuhi. Huyo kigogo akishafurushwa automatically anapoteza sifa za kushika nafasi aliyonayo. Ndiyo maana katika historia ya nchi hii hakuna kigogo ambaye amewahi kukomaa mpaka mwisho. Remember Aboud Jumbe? Remember Malecela? Remember Ndugai?

Usidhani uamuzi wao wa kuachia ngazi wanaufanya lightly!

Ibara ya 50 ya katiba haitaji suala la uanachama, uanachama ni kigezo cha kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais lakini haujatajwa kama kigezo cha kumuondoa Makamu wa Rais.

50. Muda wa Makamu wa Rais kushika Madaraka

(1) Isipokuwa kama atajiuzulu atafariki mapema zaidi, mtu aliyechaguliwa, au kuteuliwa kwa mujibu wa ibara ya 37(5), kuwa Makamu wa Rais, bila ya kuathiri masharti mengine ya ibara hii, atashika kiti cha Makamu wa Rais kwa muda wa miaka mitano tangu alipochaguliwa kuwa Makamu wa Rais.

(2) Makamu wa Rais atashika kiti hicho hadi–

(a) muda wake utakapokwisha;

(b) akifariki dunia akiwa katika madaraka;

(c) atakapojiuzulu;

(d) atakapoapishwa kuwa Rais baada ya kiti cha Rais kuwa wazi;

(e) atakapotiwa hatiani kwa kosa la jinai linaloonyesha utovu wake wa uaminifu;

(f) atakapoapishwa Rais mwingine kushika nafasi ya Rais pamoja na Makamu wake;

(g) atakapoondolewa madarakani baada ya kushtakiwa Bungeni kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (3) ya Ibara hii;

(h) atakapoacha kushika kiti cha Makamu wa Rais vinginevyo kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii.
 
Leo naomba ni pigwe ban kabisaa maana nataka kumtukana hili lisengee tpaul hivi wewe unafikiri hii serikali ni matako yako kwamba walio ajiriwa huko , nirahisi kuishi hata sekunde moja kwa uhuru ?? na unaujua uhaini wewe ?? Au unaona watu wakiongea kama nchimbi ni rahisi kaa ujue ukiwekwa siku moja tu ufanye kazi ambazo nikaribu na waheshimiwa sio kitu kirahisi ila kwa sababu upo kwenye sekta ya halmashauri , au manispaa au hospitali hizi idara ndogo ndogo ndio unakuja kuongea ushuzi humu.

Wenzako kila kitu chao kimerekodiwa hadi ukoo wao wote nawanafuatiliwa kila hatua kila namba mpya nazazamani zinarekodiwa . Hata ukiwa nje ya mji wanajua hebu wewe sasa wakupe hiyo kazi tuone kama unaweza hata kujamba tu licha kuandika usenge kama huu.
Eti akae apigane kama huna wakumtegemea kule nikujiuzulu tu .
Kwanza sio kila mtu atakufagilia , na kwanz sio kila mtu atapenda uwe kwenye wadhifa fulani so punguza kimdomo hata jamiiforum wanakuona saivi wanakustai tu utafikiwa muda si mrefu na utakaa kimya na ujinga wako kichwani
Hujui wenzako wanaishije humo .
Tuliza nyege zako serikali hauishi utakavyo unaishi watakavyoonani inchi zote duniani huweki maamuzi wewe unawekewa maamuzi wewe elewa .
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mambo ya leo ni mengi. Alichokifanya bwana Nchimbi kutangaza "kujiuzulu" umakamu wa rais ni zaidi ya uhaini. Nasema haya kwa sababu anuai.

Kwanza, kitendo cha kukubali kuachia nafasi yake baada ya kushinikizwa na wanaCCM mtandao, kinaashiria jinsi alivyo muoga kama kunguru, tofauti na watu wengine wanavyompamba na kumuona kama shujaa. Huyu jamaa sio shukaa bali ni mnafiq na muoga kama walivyo waoga wengine. Kama kweli Nchimbi ni mwanaume rijali, alipaswa kukomaa. Sio kuachia madaraka kirahisi rahisi kama alivyofanya. Kuachia madaraka kirahisi baada ya shinikizo dogo tu kutoka kwa wanamtandao, kutawapa kiki sana Msoga gang & Co. Sasa wataanza kuitafuna nchi kama mchwa na kuna tetesi Ridhiwani Kikwete ndiye anapigiwa chapuo kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais. Sasa manyang'au wataanza kuitafuna nchi hadi mfupa wa mwisho.

Nchimbi angekuwa jasiri, angepigana vita akiwa humo humo ndani hadi afukuzwe, kama alivyofanya Rigath Gachagua kule Kenya. Lakini, kinyume na matarajio ya wengi, amekubali kuwa kunguru muoga amekimbiza mbawa zake na kuwaachia mafisi waendelee kuitafuna nchi bila uwoga. Afadhali alipokuwa anaunguruma akiwa jikoni, mafisi walikuwa wanaogopa kuchukua minofu yote. Baada ya kuondoka sasa tutarajie mafisi kula hadi mzani. Na tusisahau wazungu wamemnyima misaada Samuya na genge lake. Kuanzia sasa, hicho kidogo kinachopatikana kutokana na vyanzo vya ndani kitakuwa kinapitiwa na mafisi kama upepo.

Pili, kwa mujibu wa katiba, Nchimbi anahesabika kama Makamu wa Rais mstaafu. Kwa maana hiyo, yeye na mwenza wake wataendelea kulipwa 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliyepo madarakani. Aidha, serikali itamjengea nyumba, kumpa walinzi, mafuta, madereva, wapishi, nk. Kwa ufupi, ataendelea kuenjoy maisha kama Makamu wa Rais. Na haya yote yanagharamiwa na kodi za wanachi maskini wanaokula mlo mmoja baada ya siku 2. Kwa mukdhata huu, mtu yeyote makini na mwenye akili zilizotimia, hawezi kushangilia kujiuzuru kwa Nchimbi kwani kitendo alichofanya ni mzigo kwa taifa na walipakodi wa nchi hii. Kwa maana nyingine, Nchimbi ameamua kuwa mtumishi hewa kwa kuamua kukaa pembeni huku akiendelea kula bata 80% ya Makamu wa Rais mpya atakayeteuliwa. Huu ni zaidi ya uhaini. Watu wanalia kila siku kuhusu uhaini ambao hauwaumizi wanaacha uhaini wa Nchimbi utakaowachakaza kiuchumi moja kwa moja.

Hii nchi ina wananchi wenye akili za kinyumbu sana. Tazama Tundu Lissu anataabishwa kwa zaidi ya mwaka gerezani kwa uhaini wa mchongo huku wananchi hao hao wakishangilia uhaini wa Nchimbi na kumuona shujaa! Ama kweli ni bora mtu ukose mali upate akili. Watanzania ni nani aliyewaroga?

Tatu, kitendo cha kujiuzulu kwa Nchimbi kitawasahaulisha wananchi mambo muhimu yanayoendelea hapa nchini. Kwa mfano, ghafla bin vuu kesi ya uhaini wa mchongo wa Tundu Lissu sasa imepoteza mashiko. Sasa hivi watu wote wamehamia kwa Nchimbi. Yaani watu tunaacha kufuatilia mambo ya msingi yenye umuhimu wa kitaifa tunafuatulia tamthlia za CCM za "kujiuzuru" kwa Nchimbi. Na sio tu kwamba CCM wametupoteza maboya kwa hii tamthlia bali watatumia mwanya huu kuiba fedha za umma na kuzitorosha nje ya nchi kwa manufaa yao na vizazi vyao. Huu sasa ndio uhaini halisi.

MAONI YANGU
Nitamuona Nchimbi shujaa ikiwa ataendelea na msimamo wake ule ule wa kudai Katiba Mpya. Polepole alipojiuzulu aliendelea na msimamo wake hadi walipomuua. Naye anapaswa kusimamia msimamo wake bila kujali chochote, hata ikibidi auawe kama Polepole alivyouawa. Akifanya hivyo atakuwa shujaa wa taifa na kila mtanzania atamkumbuka kwa ushujaa wake.

Nawasilisha.
​
Kitendo cha Lissu kuendelea kushikikiwa wewe umechukua hatua gani? Maan sie wengine umetuona nyumbu
 
nchimbi akamatwe
 
Nyie machoko siku nchi ikikombolewa wote tutawaua na kuwatupa kwenye pori la fisi nguruwe nyinyi.
 
This ia not retreat, this is surrender.

Retreat is tactical. Nchimbi was not tactical.

Ndiyo maana hakuwa hata na insurance policy kwamba nasema maneno haya wakitaka kunitoa nitakuwa na kipi cha kuwatishia wasinitoe.

He is basically another Polepole.

Tofauti yake kaogopa kuuawa kakimbia kabla hawajamuua.

Sasa Nchimbi atarudi kwenye siasa wapi? CHADEMA?
CCM inapasuka
 
CCM inapasuka
Kupasuka si hoja, kwa sababu inaweza kupasuka kwa civil war.

Inaweza kupasuka Samaia na chawa wake wakashinda factions zote.

Naona wanaharakati na wapinzani wanaridhika sana na kusema CCM inapasuka bila wao kufanya juhudi za kuipasua wanavyotaka.

Wewe unaweza kuona CCM inapasuka kumbe wenzako wana consolidate power wanamuweka Bashite makamu wa Rais anaandaliwa kuwa Rais 2030.
 
Back
Top Bottom