Ndio aina ya watu tulionao wengi humu jamiiforumBlah blah blah maneno mengi lakin hakuna mahali au fact umeandika inaonyesha uhaini wake

Kwani Nchimbi mlitaka kumuua?Kwa nini nyie msijitokeze muuliwe ili muwe mashujaa wa taifa?
Mashujaa wa taifa wapo makumbusho gani hapo tecdema?
Vitoto vina laana hivi
Jasusi anasema ile barua hajaandika Nchimbi.
Nchi ngumu hii.
Hatupoi, hatuboi na hatutoboi.
View: https://youtu.be/2LzPtAQi3z4?is=TaC1M5MTB9cAbGjO
Hii nchi kila mtu ajipiganie, ni nchi ya watu wenye modomo domo na kelele nyingi pasi na vitendo. Wachache waliojitolea kutetea na kupigania maslahi ya Watanzania wameishia kufungwa, kuteswa, au kupotezwa. Polopole alijaribu mpaka sasa hatujui hatima yake, Watanzania waliokiwa wanamuunga mkono kwenye keyboard na keypad wamlishamsahau siku nyingi.Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mambo ya leo ni mengi. Alichokifanya bwana Nchimbi kutangaza "kujiuzulu" umakamu wa rais ni zaidi ya uhaini. Nasema haya kwa sababu anuai.
Kwanza, kitendo cha kukubali kuachia nafasi yake baada ya kushinikizwa na wanaCCM mtandao, kinaashiria jinsi alivyo muoga kama kunguru, tofauti na watu wengine wanavyompamba na kumuona kama shujaa. Huyu jamaa sio shukaa bali ni mnafiq na muoga kama walivyo waoga wengine. Kama kweli Nchimbi ni mwanaume rijali, alipaswa kukomaa. Sio kuachia madaraka kirahisi rahisi kama alivyofanya. Kuachia madaraka kirahisi baada ya shinikizo dogo tu kutoka kwa wanamtandao, kutawapa kiki sana Msoga gang & Co. Sasa wataanza kuitafuna nchi kama mchwa na kuna tetesi Ridhiwani Kikwete ndiye anapigiwa chapuo kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais. Sasa manyang'au wataanza kuitafuna nchi hadi mfupa wa mwisho.
Nchimbi angekuwa jasiri, angepigana vita akiwa humo humo ndani hadi afukuzwe, kama alivyofanya Rigath Gachagua kule Kenya. Lakini, kinyume na matarajio ya wengi, amekubali kuwa kunguru muoga amekimbiza mbawa zake na kuwaachia mafisi waendelee kuitafuna nchi bila uwoga. Afadhali alipokuwa anaunguruma akiwa jikoni, mafisi walikuwa wanaogopa kuchukua minofu yote. Baada ya kuondoka sasa tutarajie mafisi kula hadi mzani. Na tusisahau wazungu wamemnyima misaada Samuya na genge lake. Kuanzia sasa, hicho kidogo kinachopatikana kutokana na vyanzo vya ndani kitakuwa kinapitiwa na mafisi kama upepo.
Pili, kwa mujibu wa katiba, Nchimbi anahesabika kama Makamu wa Rais mstaafu. Kwa maana hiyo, yeye na mwenza wake wataendelea kulipwa 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliyepo madarakani. Aidha, serikali itamjengea nyumba, kumpa walinzi, mafuta, madereva, wapishi, nk. Kwa ufupi, ataendelea kuenjoy maisha kama Makamu wa Rais. Na haya yote yanagharamiwa na kodi za wanachi maskini wanaokula mlo mmoja baada ya siku 2. Kwa mukdhata huu, mtu yeyote makini na mwenye akili zilizotimia, hawezi kushangilia kujiuzuru kwa Nchimbi kwani kitendo alichofanya ni mzigo kwa taifa na walipakodi wa nchi hii. Kwa maana nyingine, Nchimbi ameamua kuwa mtumishi hewa kwa kuamua kukaa pembeni huku akiendelea kula bata 80% ya Makamu wa Rais mpya atakayeteuliwa. Huu ni zaidi ya uhaini. Watu wanalia kila siku kuhusu uhaini ambao hauwaumizi wanaacha uhaini wa Nchimbi utakaowachakaza kiuchumi moja kwa moja.
Hii nchi ina wananchi wenye akili za kinyumbu sana. Tazama Tundu Lissu anataabishwa kwa zaidi ya mwaka gerezani kwa uhaini wa mchongo huku wananchi hao hao wakishangilia uhaini wa Nchimbi na kumuona shujaa! Ama kweli ni bora mtu ukose mali upate akili. Watanzania ni nani aliyewaroga?
Tatu, kitendo cha kujiuzulu kwa Nchimbi kitawasahaulisha wananchi mambo muhimu yanayoendelea hapa nchini. Kwa mfano, ghafla bin vuu kesi ya uhaini wa mchongo wa Tundu Lissu sasa imepoteza mashiko. Sasa hivi watu wote wamehamia kwa Nchimbi. Yaani watu tunaacha kufuatilia mambo ya msingi yenye umuhimu wa kitaifa tunafuatulia tamthlia za CCM za "kujiuzuru" kwa Nchimbi. Na sio tu kwamba CCM wametupoteza maboya kwa hii tamthlia bali watatumia mwanya huu kuiba fedha za umma na kuzitorosha nje ya nchi kwa manufaa yao na vizazi vyao. Huu sasa ndio uhaini halisi.
MAONI YANGU
Nitamuona Nchimbi shujaa ikiwa ataendelea na msimamo wake ule ule wa kudai Katiba Mpya. Polepole alipojiuzulu aliendelea na msimamo wake hadi walipomuua. Naye anapaswa kusimamia msimamo wake bila kujali chochote, hata ikibidi auawe kama Polepole alivyouawa. Akifanya hivyo atakuwa shujaa wa taifa na kila mtanzania atamkumbuka kwa ushujaa wake.
Nawasilisha.
Jasusi anasema ile barua hajaandika Nchimbi.
Nchi ngumu hii.
Hatupoi, hatuboi na hatutoboi.
View: https://youtu.be/2LzPtAQi3z4?is=TaC1M5MTB9cAbGjO
This probably is a question of “descriptive vs normative”. In theory, that’s how it’s supposed to work, but in practice, the so-called president runs every show you can imagine. Kwenye hii nchi, uwezekano wa kuwa na VP ambaye Rais hamtaki is unsustainable. VP akifurushwa na chama atakuwa an ostracized outcast. Atatekelezaje majukumu yake?Ibara ya 50 ya katiba haitaji suala la uanachama, uanachama ni kigezo cha kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais lakini haujatajwa kama kigezo cha kumuondoa Makamu wa Rais.
50. Muda wa Makamu wa Rais kushika Madaraka
(1) Isipokuwa kama atajiuzulu atafariki mapema zaidi, mtu aliyechaguliwa, au kuteuliwa kwa mujibu wa ibara ya 37(5), kuwa Makamu wa Rais, bila ya kuathiri masharti mengine ya ibara hii, atashika kiti cha Makamu wa Rais kwa muda wa miaka mitano tangu alipochaguliwa kuwa Makamu wa Rais.
(2) Makamu wa Rais atashika kiti hicho hadi–
(a) muda wake utakapokwisha;
(b) akifariki dunia akiwa katika madaraka;
(c) atakapojiuzulu;
(d) atakapoapishwa kuwa Rais baada ya kiti cha Rais kuwa wazi;
(e) atakapotiwa hatiani kwa kosa la jinai linaloonyesha utovu wake wa uaminifu;
(f) atakapoapishwa Rais mwingine kushika nafasi ya Rais pamoja na Makamu wake;
(g) atakapoondolewa madarakani baada ya kushtakiwa Bungeni kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (3) ya Ibara hii;
(h) atakapoacha kushika kiti cha Makamu wa Rais vinginevyo kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii.
Indeed...kwanini astaafu hadi siasa...Lowassa aliwapa Uwaziri Mkuu..akaja kupambana tena. Ni kama hakuwa tayari kupigana..wahenga walisema "mchumia majanga..."This is not retreat, this is surrender.
Retreat is tactical. Nchimbi was not tactical.
Ndiyo maana hakuwa hata na insurance policy kwamba nasema maneno haya wakitaka kunitoa nitakuwa na kipi cha kuwatishia wasinitoe.
He is basically another Polepole.
Tofauti yake kaogopa kuuawa kakimbia kabla hawajamuua.
Sasa Nchimbi atarudi kwenye siasa wapi? CHADEMA?
Aisee..hili wazo linatisha. Ila nafikiri ni nafasi ya mtu mzeeUwezekano mkubwa ni Ridhiwani kupewa umakamu wa Rais.
Hicho kipengere (e) ndiyo cha kufikirisha.This probably is a question of “descriptive vs normative”. In theory, that’s how it’s supposed to work, but in practice, the so-called president runs every show you can imagine. Kwenye hii nchi, uwezekano wa kuwa na VP ambaye Rais hamtaki is unsustainable. VP akifurushwa na chama atakuwa an ostracized outcast. Atatekelezaje majukumu yake?
Hiyo tutabaki kuisikia Kenya na kwingineko tu!
Lakini huyu hajawa convicted. Of course, kama angekomaa angeweza kubumbiwa kesi ya jinai ili akitiwa hatiani ang’oke!Hicho kipengere (e) ndiyo cha kufikirisha.
Huyo Bharara aliteuliwa na Rais Trump?Naam, mimi nakuunga mkono mkuu, sijakupinga.
Hii tabia ya hawa watu ambao hawatakiwi kujiuzulu kirahisi wanajiuzulu kirahisi hivi inakera sana.
Mtu kama Ndugai Spika mzima unajiuzulu kibwege vile ni aibu. Grabted, Ndugai was a fucktard, but that is not the point.
Nchimbi is even worse kwa sababu yeye ana ubia katika urais huu, Alikuwa running mate on the same ticket as Samia, hakuna kura unayoweza kusema ni ya Samia ambayo si ya Nchimbi.
Sasa mtu kama huyo anajiuzulu vipi kiboya kama hivi?
Marekani pamoja na matatizo yao yote, kuna watu wana misimamo.
New York kulikuwa na muhindi mmoja raia wa US anaitwa Preet Bharara, alikuwa Federal Prosecutor wa Southern District of New York. Very powerful Federal Prosecutor anayeshughulikia kesi zote kubwa za New York City hapa kuanzia Wall Street frauds mpaka ma Mafia wa New York.
Donald Trump alivyoingia kwenye urais akawa anataka kuongea naye Mr. Bharara, probably amuagize kuzima kesi fulani asizozitaka Trump. Huyo mchizi Bharara alimgomea Trump akamwambia mimi sitakiwi kukutanakutana na wewe tu, inaweza kuharibu kazi yangu.
Mind you kazi yake ni mteule wa rais. Trump akamwambia jiuzulu, jamaa akakataa kujiuzulu, akamwambia Trump sijiuzulu, labda wewe unifukuze kazi.
Jamaa aligoma kujiuzulu akamwambia Trump kama vipi nifukuze watu wote wajue umenifukuza kazi.
Trump akamfukuza kazi.
Sasa hapo unaona mtu anayeteuliwa na rais tu kamdindia rais mpaka rais kamfukuza, kakataa kujiuzulu.
Sasa huko kwetu mtu hata hateuliwi na rais, lakini anawekeea pressure mpaka anajiuzulu.
Ni ujinga na uoga tu.
![]()
Preet Bharara - Wikipedia
en.wikipedia.org
Tanzania sio Kenya Tanzania inaongozwa kimafia kama Mexican cartels angegoma wangemkolimba.Kama umeninukuu vizuri, hata mimi msimamo wangu ni huu mkuu. Alipaswa kukomaa kama Gachagua alivyokomaa.
Mwache ajiuzuru kwani bado ana machungu ya kuondokewa na mpishi wake.Uhaini wake ni kuliingiza taifa katika gharama ambazo zingeweza kuepukika ikiwa angeonesha walau 1% ya ushujaa na kutokubali "kufukuzwa kazi" na genge la wahuni wachache wanaoogelea juu ya rasimali za taifa huku wananchi walio wengi wakiishi maisha ya kitumwa ndani ya nchi yao pendwa.
Wote wale wale tuu wanawachezea wananchi drama. Hapo wamemwambia ajiuzuru ili apate jina kubwa Kwa malofa kuelekea 2030. Nchimbi ni mtu wao wanamuandaa 2030 awe rais. SIASA MCHEZO MCHAFU.Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mambo ya leo ni mengi. Alichokifanya bwana Nchimbi kutangaza "kujiuzulu" umakamu wa rais ni zaidi ya uhaini. Nasema haya kwa sababu anuai.
Kwanza, kitendo cha kukubali kuachia nafasi yake baada ya kushinikizwa na wanaCCM mtandao, kinaashiria jinsi alivyo muoga kama kunguru, tofauti na watu wengine wanavyompamba na kumuona kama shujaa. Huyu jamaa sio shukaa bali ni mnafiq na muoga kama walivyo waoga wengine. Kama kweli Nchimbi ni mwanaume rijali, alipaswa kukomaa. Sio kuachia madaraka kirahisi rahisi kama alivyofanya. Kuachia madaraka kirahisi baada ya shinikizo dogo tu kutoka kwa wanamtandao, kutawapa kiki sana Msoga gang & Co. Sasa wataanza kuitafuna nchi kama mchwa na kuna tetesi Ridhiwani Kikwete ndiye anapigiwa chapuo kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais. Sasa manyang'au wataanza kuitafuna nchi hadi mfupa wa mwisho.
Nchimbi angekuwa jasiri, angepigana vita akiwa humo humo ndani hadi afukuzwe, kama alivyofanya Rigath Gachagua kule Kenya. Lakini, kinyume na matarajio ya wengi, amekubali kuwa kunguru muoga amekimbiza mbawa zake na kuwaachia mafisi waendelee kuitafuna nchi bila uwoga. Afadhali alipokuwa anaunguruma akiwa jikoni, mafisi walikuwa wanaogopa kuchukua minofu yote. Baada ya kuondoka sasa tutarajie mafisi kula hadi mzani. Na tusisahau wazungu wamemnyima misaada Samuya na genge lake. Kuanzia sasa, hicho kidogo kinachopatikana kutokana na vyanzo vya ndani kitakuwa kinapitiwa na mafisi kama upepo.
Pili, kwa mujibu wa katiba, Nchimbi anahesabika kama Makamu wa Rais mstaafu. Kwa maana hiyo, yeye na mwenza wake wataendelea kulipwa 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliyepo madarakani. Aidha, serikali itamjengea nyumba, kumpa walinzi, mafuta, madereva, wapishi, nk. Kwa ufupi, ataendelea kuenjoy maisha kama Makamu wa Rais. Na haya yote yanagharamiwa na kodi za wanachi maskini wanaokula mlo mmoja baada ya siku 2. Kwa mukdhata huu, mtu yeyote makini na mwenye akili zilizotimia, hawezi kushangilia kujiuzuru kwa Nchimbi kwani kitendo alichofanya ni mzigo kwa taifa na walipakodi wa nchi hii. Kwa maana nyingine, Nchimbi ameamua kuwa mtumishi hewa kwa kuamua kukaa pembeni huku akiendelea kula bata 80% ya Makamu wa Rais mpya atakayeteuliwa. Huu ni zaidi ya uhaini. Watu wanalia kila siku kuhusu uhaini ambao hauwaumizi wanaacha uhaini wa Nchimbi utakaowachakaza kiuchumi moja kwa moja.
Hii nchi ina wananchi wenye akili za kinyumbu sana. Tazama Tundu Lissu anataabishwa kwa zaidi ya mwaka gerezani kwa uhaini wa mchongo huku wananchi hao hao wakishangilia uhaini wa Nchimbi na kumuona shujaa! Ama kweli ni bora mtu ukose mali upate akili. Watanzania ni nani aliyewaroga?
Tatu, kitendo cha kujiuzulu kwa Nchimbi kitawasahaulisha wananchi mambo muhimu yanayoendelea hapa nchini. Kwa mfano, ghafla bin vuu kesi ya uhaini wa mchongo wa Tundu Lissu sasa imepoteza mashiko. Sasa hivi watu wote wamehamia kwa Nchimbi. Yaani watu tunaacha kufuatilia mambo ya msingi yenye umuhimu wa kitaifa tunafuatulia tamthlia za CCM za "kujiuzuru" kwa Nchimbi. Na sio tu kwamba CCM wametupoteza maboya kwa hii tamthlia bali watatumia mwanya huu kuiba fedha za umma na kuzitorosha nje ya nchi kwa manufaa yao na vizazi vyao. Huu sasa ndio uhaini halisi.
MAONI YANGU
Nitamuona Nchimbi shujaa ikiwa ataendelea na msimamo wake ule ule wa kudai Katiba Mpya. Polepole alipojiuzulu aliendelea na msimamo wake hadi walipomuua. Naye anapaswa kusimamia msimamo wake bila kujali chochote, hata ikibidi auawe kama Polepole alivyouawa. Akifanya hivyo atakuwa shujaa wa taifa na kila mtanzania atamkumbuka kwa ushujaa wake.
Nawasilisha.
Mnakosea mnapoilinganisha Tanzania na nchi kama Marekani. Rais wa Tanzania ana nguvu ambayo Rais wa Marekani hana. Marekani hata city mayors tu wanamdindia Rais na hana cha kuwafanya zaidi kuwatafutia a safe way ya kuwanyima federal dollars. Na hiyo asipoifanya carefully itakuwa nullified na mahakama!Naam, mimi nakuunga mkono mkuu, sijakupinga.
Hii tabia ya hawa watu ambao hawatakiwi kujiuzulu kirahisi wanajiuzulu kirahisi hivi inakera sana.
Mtu kama Ndugai Spika mzima unajiuzulu kibwege vile ni aibu. Grabted, Ndugai was a fucktard, but that is not the point.
Nchimbi is even worse kwa sababu yeye ana ubia katika urais huu, Alikuwa running mate on the same ticket as Samia, hakuna kura unayoweza kusema ni ya Samia ambayo si ya Nchimbi.
Sasa mtu kama huyo anajiuzulu vipi kiboya kama hivi?
Marekani pamoja na matatizo yao yote, kuna watu wana misimamo.
New York kulikuwa na muhindi mmoja raia wa US anaitwa Preet Bharara, alikuwa Federal Prosecutor wa Southern District of New York. Very powerful Federal Prosecutor anayeshughulikia kesi zote kubwa za New York City hapa kuanzia Wall Street frauds mpaka ma Mafia wa New York.
Donald Trump alivyoingia kwenye urais akawa anataka kuongea naye Mr. Bharara, probably amuagize kuzima kesi fulani asizozitaka Trump. Huyo mchizi Bharara alimgomea Trump akamwambia mimi sitakiwi kukutanakutana na wewe tu, inaweza kuharibu kazi yangu.
Mind you kazi yake ni mteule wa rais. Trump akamwambia jiuzulu, jamaa akakataa kujiuzulu, akamwambia Trump sijiuzulu, labda wewe unifukuze kazi.
Jamaa aligoma kujiuzulu akamwambia Trump kama vipi nifukuze watu wote wajue umenifukuza kazi.
Trump akamfukuza kazi.
Sasa hapo unaona mtu anayeteuliwa na rais tu kamdindia rais mpaka rais kamfukuza, kakataa kujiuzulu.
Sasa huko kwetu mtu hata hateuliwi na rais, lakini anawekeea pressure mpaka anajiuzulu.
Ni ujinga na uoga tu.
![]()
Preet Bharara - Wikipedia
en.wikipedia.org
Leo ndiyo nimemuelewa mantiki yake ya kusema 'komaeni kupigania Katiba mpya' kumbe ndiyo ilikuwa ni hii!Nchimbi kafanya double betrayal.
Kwanza kamsaliti Samia kwa kujivika u kiranja kwenye mambo ambayo Samia hayataki. Hii imepelekea apewe pressure kujiuzulu.
Halafu kabanwa ajiuzulu, kawasaliti wananchi "waliompigia kura" na wanaotaka mabadiliko kwa kukubali kujiuzulu bila kukomaa aendeleze show yake ndani ya CCM..
Kimsingi kazisaliti pande zote mbili kwa pamoja, wanaotaka na wasiotaka mabadiliko.
]Leo ndiyo nimemuelewa mantiki yake ya kusema 'komaeni kupigania Katiba mpya' kumbe ndiyo ilikuwa ni hii!
Watu walijiuliza sana, anawaasaje watu kupigania Katiba mpya huku mwenyewe akiwa ndani ya Serikali isiyotaka mabadiliko ya aina hiyo?
Kumbe alikuwa anatoa wosia kwamba hatakuwepo tena mamlakani!
Lakini tujiulize, kwani kustaafu kunamuondolea uTanzania wake na kumnyima haki zake za kutoa maoni kama tulivyo raia wengine?
Kwa hiyo madhila ya ukandamizaji yatokanayo na kudai Katiba mpya katuachia sisi, ye'hayamhusu kajitoa!
Kuna watu wabinafsi sana kuliko tunavyodhani!