Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba wakati wa kutambulisha harambee ya chama itakayofanyika Agosti 12, 2025, pia alitamka kuwa baadhi ya Waandishi wa Habari ni WanaCCM.
Soma, Pia